Msiwahukumu wa mapenzi ya jinsia moja: Papa Francis

Samahani lakin tangia uzaliwe ni dhambi ngapi umefanya na ulishawahi kuhukumiwa kwa hizo dhambi ulizo fanya? Kama bado kwann unataka kuhukumu mashoga au ww ni mwema sana kuliko wao. Sio kama na tetea ushoga hapana tena siupendi lakin chakufanga ukiona mtu anapotea inabidi umshauri na asipo sikiliza muache lakini sio kuhukumu kana kwamba ww ni bora kuliko yy papa alichosema ni tusiwahukumu sasa unacholalamika ww ni nn. Basi na ww tukuhukumu kwa dhambi unazofanya au unafikiri dhambi zako ni ndogo kuliko zao. Tumia busara kufanya mambo na hekima ina hitajika

....kuna watu humu mna vichwa vizuri sana!,
wengi wanapenda kujadili mada kishabiki ili kuzifurahisha nafsi zao, wanajitoa akili kabisa!, kama wao ni malaika fulani walioshuka toka mbinguni!

big up!
 
Sisi hatuhukumu bali tunaukemea huo ushenzi! Na yeye kama kiongozi wa kanisa anapaswa kuwa mstari wa mbele kukemea huo ujinga, Biblia iko wazi kabisa kuhusu hayo mambo au yeye ana Biblia yake nyingine? Yeye haitwi Mkristo? Haamini maandiko katika Biblia? Kwa nini asiwe na msimamo unaoeleweka?
yaani si kucha kuwakemea tu, anataka waombwe radhi kabisa! Kwa maana nyingine jamii inayokemea haya mambo ndio wanakosea ila hawa jamaa wako sahihi. Sasa sijui ni nini maana ya kuwa kiongozi kama wattu wanaknsea lakini kiongozi anasema waachwe tu..Dah! Ukistaajabu ya musa utayaona ya papa Fransis
 
Samahani lakin tangia uzaliwe ni dhambi ngapi umefanya na ulishawahi kuhukumiwa kwa hizo dhambi ulizo fanya? Kama bado kwann unataka kuhukumu mashoga au ww ni mwema sana kuliko wao. Sio kama na tetea ushoga hapana tena siupendi lakin chakufanga ukiona mtu anapotea inabidi umshauri na asipo sikiliza muache lakini sio kuhukumu kana kwamba ww ni bora kuliko yy papa alichosema ni tusiwahukumu sasa unacholalamika ww ni nn. Basi na ww tukuhukumu kwa dhambi unazofanya au unafikiri dhambi zako ni ndogo kuliko zao. Tumia busara kufanya mambo na hekima ina hitajika
Unautetea ushoga huna lolote ww....subiri mwanao au ndugu yako wa karibu aanze kupumuliwa kisogon thn ulete marejesho hapa umechukua hatua gan
Mm kwa mujibu wa din yangu
Nimeamrishwa kufanya haya
Pale zambi inapotendeka
1/kuizuia kwa mikono yako isitendeke
2/kuikemea
3/kuichukia
Sintokupa maelezo marefu ya hizo hoja ila nimechukizwa na ww kuutetea ushoga
 
Hamjamuelewa Papa, Binadam hana haki ya kumhukumu binadam mwenzake kwa mambo ya kiroho isipokuwa anahaki ya kumkemea kama anafanya sivyo! Anayehukumu ni Mungu peke yake, sasa kipi kigumu kuelewa hapo?[/QUOTE
Sasa yeye huyo hayo maneno ameongea kutoka wspi?? Kwani ameatuhumiwa j
Kuhukum?? Kila mtu abajua hakuna binadamu wa kuhukum juu ya mwingine ispokuwa kukemea vikali kwa nguvu zote vitendo vya uashersti na hasa usagaji na ushoga.
Bibilia iko wazi kule sodoma na gomora watu walifanya maasi kama hivi leo lkn walipojaribu ushoga tu na kufirana Mungu aligadhabika akashusha adhabu kali papohapo.

Biblis inasema mtu afanyapo kitendo hicho dunia na mbingu hutetemeka. Hii huonesha jinsi dhambi hii Mungu anavyoichukia na hupaswi kuweka kisingizio chochote ktk kuonya na kukemea jambo hili.

Anyways yaliyotabiriwa yanatimia tujiandae na moto wa milele
 
Dunia ya leo na walimwengu wake Mungu tu aje atuchome maana hama namna eti mtu ukimuonya jambo lolote baya anakwambia umwache kwani wewe mtakatifu?? Maajabu haya, ngoja jambazi aje akukate mkono nyumbani kwako halafu tusikie ukilalamika.

Binafsi nimeamua kuishi maisha yangu tu lolote na liwe, sitoi msaada kwa mtu yeyote kwani mwathirika wa maovu haya kabla hajaathirika na mauaji, ufiraji, ubakaji n.k ukionekana mkemeaji atakwambia kwani wewe malaika?? Atakufunga mdomo lkn yatakapomkuta utaona kilio chake cha kinafiki wakati aliyapigia chapuo.
Thank you. Maana watu siku hizi ukimkemea tu kitu, basi wewe unajifanya mtakatifu sana. Kwa sababu wote tunatenda dhambi, ndo tutiane moyo kuwa tuendelee kuzifanya? Au mtu akifanya kosa A, unamwambia ongezea na kosa B kabisa? Basi hata watoto wetu Tuache kuwakanya, maana hata sisi wazazi wao ni wadhambi pia. Dhambi zote zitatupeleka motoni, ila daah sipati picha nakugundua mwanangu ni shoga, dammit. ....
 
We naye naona tu unatetea ushoga. Jiulize kwa nini kaongea hayo, kwani kuna mtu kamhukum mwenzake?? Nani kamhukum shoga?? Au maana ya kuhukumu siku hizi tumejifanya hatujui??
Hakuna mtu msafi mbele za Mungu wote tuna dhambi ndio maana kila siku tunamuomba Mungu atusamehe dhambi zetu. Kuna wakati tunatenda dhambi kwa kujua au kutojua lkn Mungu wetu ni mwema anatusamehe.
Sisi binadamu hatuna uwezo wa kumuhukumu mtu kwa dhambi zake ila tunauwezo wa kumtenga mtu. Sio km nashabikia ushoga la hasha ila alichosema pope yupo sahihi hatupaswi kuhukumu mtenda dhambi ila tunauwezo wa kumtenga mtu kwa dhambi zake. Mwenye uwezo wa kuhukumu ni MUNGU pekee.
Hebu jiulize ww hapo umetenda dhambi ngapi?
Shoga na ww mfiraji au mfirwaji kuna utofauti gani? Kwann unanyonya sehemu za siri za me au ke? Je, Mungu anaruhusu au dini yako inaruhusu hivyo?
Mwingine jana tu katoka kula tigo au kuliwa tigo au kunyonya sehemu za siri uke au ume wengine mpaka wananyonywa tigo lkn mbona hawajahukumiwa ni mashoga tu? Utakuta mtu hawezi kuwasamehe waliimkosea lkn kweny ibada anamuomba Mungu amsamehe. Huu ni sawa na unafiki, samehe ili nawe usamehe.
Je, Bibilia au Quran inasemaje kuhusu uchafu huu?
Mm huwa nachukia sana nionapo mtoto wa kiume anafanya mambo ya kike(ushoga), kunyonya sehemu za siri km uke, ume, tigo na pia wafiraji na wafirwaji. MUNGU anakataza uchafu huu tuviache mara moja. Ndio maana ndoa za siku hizi hazidumu sbb shetan amezimiliki.
Mfano. Mtu aliyeolewa lkn anatoa tigo, ananyonya sehemu za siri sasa ww unapishana nn na malaya wanaojiuza sinza au vitunguu mwanza? Hata akikuacha hajutii sbb hauna tofaut na malaya wengine sbb style zenu ni mmoja. Sio km nawashutumu wanawake hata wanaume pia sbb ktk suala mapenz mwanamke ananguvu kuliko mwanaume. Siwez kufanya uchafu huu kamwe.
Ni sawa sawa na mvuta sigara anamnyooshea kidole mvuta bangi.
Mwenye mamlaka ya kuhukumu ni MUNGU ila ss wanadamu tunaweza kuwatenga wenye dhambi.
Tupige vita ushoga, ufiraji, ufirwaji, ubakakaji, wizi, uongo, unyonyaji sehemu za siri n.k
sbb hiz ndizo njia za shetan ukifuata haya hautaweza kudumu hata kweny uchumba au ndoa. Wengine wana picha za ngono lkn kweny ibada yupo, mwingine jana tu kalala na mke au mume mtu lkn kuhukumu ni wa kwanza. ndio maana YESU aliwaambia km mtu anajiona yy hana dhambi awe wa kwanza kumrushia huyu mwanamke'
Tuwatenge wenye dhambi ila hatuna mamlaka ya kuhukumu'
 
K
Mi km nimemwelewa papa kasema msiwahukumu hajasema muwasapoti. Kwa sbb hata bible inasema usihukumu usije ukahukumiwa. Mwenye haki na wajibu wa kuhukumu ni MUNGU mwenyewe. Yeye ndo anajua amewatunzia hukumu gani watu wa hv na wengineo wenye dhambi mbalimbali. Badala ya kuhukumu fanya ur best kueleimisha ulio nao na kujitahd kutofanya dhambi hy au nyinginewe
Kwani kuna mtu kawahukum?? Mbona mnazungukazunguka tu, semeni tu kama mnasapoti tu la basi.
 
Hamjamuelewa Papa, Binadam hana haki ya kumhukumu binadam mwenzake kwa mambo ya kiroho isipokuwa anahaki ya kumkemea kama anafanya sivyo! Anayehukumu ni Mungu peke yake, sasa kipi kigumu kuelewa hapo?

Mkuu na wewe ukikutana na hao wapenzi wa jinsia moja waombe radhi, Papa kasema...
 
Ukweli papa kachemsha..kinachotakiwa ni kukemea maovu mwanzo mwisho ili waache ushoga...mi hanihusu papa ila upotoshaji wake tu ndio napiga basi vinginevyo amini utakavyoona ila dhambi lazima ikemewe mkuu hakuna kulemba
Safi kabisa mkuu mimi mwenyewe ni mtenda dhambi lkn kamwe sifungi midomo wanaikemea gmdhambi kama kweli papa kasema hayo ni dhahiri kabisa ni wakala wa shetani yuko kazini
 
Mkuu na wewe ukikutana na hao wapenzi wa jinsia moja waombe radhi, Papa kasema...
elewa thread inasemaje
kinachozungumziwa ni mambo ya kiroho.
Sasa ww ulikuwa unataka wapigwe wauawe?
Haturuhusiw kuhukumu sbb Mungu pekee ndiye anayehukumu na s binadamu.
Kuwakemea na kuwatenga hiyo ruksa tunaruhusiwa.
Bac ww ukiwaona wapige risas bac
 
...ndio tulishaambiwa, amri kuu ni UPENDO, wewe mpende tu hata kama anakukera!, kama papa alivyosema, kama Mungu angekuwa anahesabu maovu yetu ingekuwaje?, nani angepona hata kama sio gay?
Sasa ngoja nianzishe dini ya shetani ya dhahiri kabisa nitafute na wafadhiri kutoka kuzimuni maana naona wafuasi ni wengi mnajizungusha tu nyuma ya vi quotes vya bible lkn hamna kitu
 
Samahani lakin tangia uzaliwe ni dhambi ngapi umefanya na ulishawahi kuhukumiwa kwa hizo dhambi ulizo fanya? Kama bado kwann unataka kuhukumu mashoga au ww ni mwema sana kuliko wao. Sio kama na tetea ushoga hapana tena siupendi lakin chakufanga ukiona mtu anapotea inabidi umshauri na asipo sikiliza muache lakini sio kuhukumu kana kwamba ww ni bora kuliko yy papa alichosema ni tusiwahukumu sasa unacholalamika ww ni nn. Basi na ww tukuhukumu kwa dhambi unazofanya au unafikiri dhambi zako ni ndogo kuliko zao. Tumia busara kufanya mambo na hekima ina hitajika

Papa kasema Wakatoliki muwaombe radhi Mashoga, mbona sentensi inaeleweka unawasiwasi gani mkuu, haya maswala mtu kafanya dhambi ngapi Ni kitu kingine n wala havihusiani
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom