Papa Benedikt akubali matumizi ya kondom kwa kesi maalumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Papa Benedikt akubali matumizi ya kondom kwa kesi maalumu

Discussion in 'International Forum' started by Kipala, Nov 21, 2010.

 1. Kipala

  Kipala JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 3,537
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  "Pope Benedict XVI has condoned the use of condoms in exceptional cases in a move described as an historic shift for the Roman Catholic Church.

  In a new book – excerpts of which appeared in the Vatican newspaper – he says condoms are not a moral solution, but can sometimes be justified to stop the spread of infection.

  The book is based on a series of interviews the Pope gave earlier this year.

  ...

  The Pope says male prostitutes could use condoms as a "first step towards moralisation". But he adds they are "not really the way to deal with the evil of HIV infection." His comments have been welcomed by health campaigners, who have long criticised the Vatican's hardline stance on contraception."


  Chanzo: Pope says use of condoms can be justified | euronews, world news


  Kumbe mambo yanatokea!

  Sasa watashangaa wengi waliowahi kumtukana baada ya taarifa kuhusu alichosema kuhusu kondomi kwenye ziara yake kwenda Afrika eti matumizi yao hayawezi kusimamisha UKIMWI suluhisho ni uaminifu tu.


  Na watashtuka wengi waliopiga makele kwa kudai kondomi zinaleta UKIMWI , hao wachomaji na wengine wanaodai hazina faida yoyote.


  Tena alichagua mfano utakaoshtusha wengi: heri washoga waitumie badala ya kufanya ngono bila kinga.
   
 2. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  People should not "mis-misunderstand" the pope. Condom haikubaliki maana si mpango wa Mungu. Lakini kwa waliohamua kuwa wafuasi wa SHETANI ni heri watumie condom ili kuwepo nafasi ya kuwapelekea neno la wokovu. Once umeokoka condom is forbidden na huo ndiyo ujumbe.

  Briefly, fanya tendo la ngono kimalaya kama wewe ni malaya tu na hivyo mfuasi wa shetani. Full stop.
   
 3. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Baina ya mke na mume wa ndoa pia haikubaliki?
   
 4. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Source: BBC Swahili - Habari - Wafurahia uamuzi wa Papa 'kuruhusu' kondom

  Bado kidogo tu wataruhu mapadre kuoa. Huyu papa namwamini sana ila miaka mingine kumi atakuwa amesambaratisha kanisa. Kidogo kidogo kuelekea....

  Wafurahia uamuzi wa Papa 'kuruhusu' kondom

  Wapenda mabadiliko katika Kanisa Katoliki na makundi ya kupambana na UKIMWI yamefurahia matamshi ya Papa Benedikt kuwa matumizi ya kondomu sio mara zote ni ya nia mbaya.

  [​IMG]

  Ruksa... Ingawa katika mazingira fulani tu.

  Papa amesema matumizi ya mipira hiyo ya kiume inaweza kuhalalishwa kutokana na hali ilivyo, ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya HIV/UKIMWI.

  Matamshi hayo yanayotarajiwa kuchapishwa katika kitabu wiki ijayo, yanaashiria kulegeza msimamo wake mkali wa zamani dhidi ya matumizi wa kondomu kupambana na HIV.

  Vatikana kwa muda mrefu imekuwa ikipinga matumizi ya kondomu, kama njia ya kupanga uzazi.

  [​IMG]

  Wanaharakati wamefurahishwa na uamuzi wa Papa

  Hatua hiyo ilizua shutuma kali, hasa kutoka kwa wanaharakati wa kupambana na UKIMWI, ambao wanasema kondomu ni moja ya njia ambazo zimethibitishwa katika kupambana na maambukizi ya HIV.


  Papa Benedikt katika ziara yake nchini Cameroon mwaka jana alisema kugawa kondomu kunaweza kuchochea maambukizi ya HIV, matamshi ambayo yalizua shutuma kutoka kwa nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya.

  Hata hivyo, katika matamshi yake ya hivi karibuni, amesema matumizi wa kondomu yanaweza kuhalalishwa katika mazingira fulani ya kipekee.

  Ametoa mfano wa makahaba wa kiume, ambapo amesema matumizi wa kondomu kuzuia maambukizi ya UKIMWI yanaweza kuonekana kama kitendo cha mtu kuwa na majumuku, ingawa amesema kondomu "sio njia halisi ya kupambana na uovu wa kuambukiwa HIV".
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  I wish yule 'rafki yake' Mwinyi angekuwepo hapo wakati papa anaruhusu hiyo kitu.
   
 6. p

  paul p raia Member

  #6
  Nov 21, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Msimamo wa Papa na Kanisa juu ya matumizi ya kondom haujabadilika ukisoma maandishi hayo ambayo yalikuwa ni mahojiano ya Papa na mwandishi mmoja wa habari utagundua alikata baadhi ya sehemu na kuziondoa ila ukisoma maandishi yote utagundua kuwa wameandika kile tu wanachotaka wao na kumfanya Papa aonekane anamaoni tofauti dhidi ya msimamo wake wa mwanzo.

  So hayo machapisho sio tamko rasmi la kanisa na hayajatolewa na mamlaka funzi ya kanisa.
   
 7. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sasa Papa :A S crown-1: aungana na Minyi ila bahati nzuri yeye hajazabwa kibao tu.
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,321
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Mmmmh! I need to cross check this information. Kanisa liko so rigid kwenye baadhi ya mafundisho yake. I don't think wamebadilika katika misimamo hiyo.
   
 9. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  papa huyu hayuko rigid kama wengine wanavyodhania. Si mhafidhina kama waliomtangulia na anaweza badili kanisa
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  peleka jukwaa la dini bana
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Nov 22, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  naona jina kanisa litapotea muda si mrefu na jina litakalo baki ni mkristo...
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,014
  Likes Received: 416,666
  Trophy Points: 280
  Kanisa Katoliki limekuwa likipinga kwa nguvu zote matumizi ya kondomu kuwa yanachochea ukiukwaji wa maadili na hivyo kushamiri kwa ngono lakini baada ya kutafakari uenezaji wa ukimwi na jinsi soksi inavyoweza kuokoka maisha ya mwanadamu hata kwa wale waliomo kwenye ndoa Kanisa katoliki sasa limeruhusu kwa waumini wake kutumia mipira ya uzazi ili kuzuia uenezaji wa ukimwi ila kwa wanandoa tu kati yao lakini siyo kwa matumizi mengineyo..............Ni hatua kwa kanisa limepiga...................
   
 13. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #13
  Nov 22, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,402
  Likes Received: 3,728
  Trophy Points: 280
  Sijaona alichosalimu............. Nilichoona ni kuwa amebadirika kutokana na wakati........... na ameeleza wazi wapi kondomu inafaa itumike na wapi haifai................. DO NOT GENERALISE MAMBO
   
 14. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  THE Vatican has played down the importance of Pope Benedict's remarks appearing to temper the opposition of the Roman Catholic Church to condoms.

  The Vatican spokesman said the pontiff's comments were not "revolutionary", but added it was the first time Pope Benedict had commented on the issue informally.

  The Pope made clear in his view condoms were no answer to the Aids pandemic.

  But he said their use could sometimes be justified in exceptional cases.

  Vatican spokesman Fr Federico Lombardi said the Pope was speaking about "an exceptional situation" in one of the interviews in the book Light of the World: The Pope, the Church and the Signs of the Times, which is being published on Tuesday.

  "The Pope considered an exceptional situation in which the exercise of sexuality is a real danger to the life of another," said Fr Lombardi.

  Benedict used the specific example of a male prostitute using a condom to illustrate his apparent shift in position.

  "The Pope maintains that condom use to lessen the danger of infection is a 'first assumption of responsibility,'" said Fr Lombardi, quoting from the book.

  "In this, the reasoning of the Pope certainly cannot be defined as a revolutionary breakthrough."
   
 15. M

  MILKYWAY GALAXY JF-Expert Member

  #15
  Nov 22, 2010
  Joined: Dec 12, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Pope could be right or wrong,
  Vatican could be right or wrong as well,
  I could be right or wrong,

  But what I have learned for sure,
  Abstain from unprotected sex,
  If you cant, use condoms,

  Simple and clear!!!!!!!!!!!:teeth:
   
 16. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #16
  Nov 22, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  huyu PAPA huwa anawasiliana na MuNGU au yeye ndio MUnGu?, naona kama vile ana nafasi ya kuhalalisha na kuharamisha!
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG] AP – Matthew Alexander worships during mass at St. Dominic's Catholic Church on Sunday, Nov. 21, 2010, in …

  By JEANNIE NUSS, Associated Press Jeannie Nuss, Associated Press – Sun Nov 21, 9:25 pm ET
  COLUMBUS, Ohio – Some believers in the Americas greeted Pope Benedict XVI's comments on condoms as a sign that the church was stepping into the modern debate in the fight against AIDS, though the church was adamant Sunday that nothing has changed in its views banning contraception.
  Churchgoers had praise and wariness for the that condoms could be morally justified in some limited situations, such as for male prostitutes wanting to prevent the spread of HIV.
  Others cautioned it could open a doctrinal Pandora's box. And the exact meaning of what the pope said was still up for interpretation.
  "That's a theological mind trap," said Wendy Lasekan, a 47-year-old stay-at-home mom, after Sunday morning Mass at Saint Michael Catholic Church in Worthington, Ohio, a suburb of Columbus.
  "In some cases, it would be justifiable — or acceptable — to use a condom," she said. "If your goal would be to prevent the, that would be a charitable act."
  Ellen Reik, a 79-year-old retired housewife who attended Saint Michael, said if taken out of context, the pope's remarks could renew the debate over the morality of — both as a

  contraceptive and a means to curb the spread of sexually transmitted diseases.
  Several more believers who spoke to The Associated Press following Sunday services in the United States and South America felt the pope's comments marked a tentative step into a more modern stance in the .

  Jean Jasman, an 81-year-old state worker from Montpelier, Vt., called the stance a departure from church doctrine on condom use, "but it's to the betterment of humanity, if we can help prevent the spread of this horrendous disease."

  [Related: Pope meets with abuse victims as thousands protest]
  Lois Breaux rolled her eyes when asked about the Pope's statements as she was leaving Mass at St. Kieran Church in the Coconut Grove neighborhood of Miami.
  "About time and it wasn't enough," she said. "As a Catholic, they need to recognize this is an epidemic. The church needs to stand up and say what he did, but he should have gone further."

  strongly emphasized Sunday that the church's position on contraception has not changed.

  The pope spoke in an interview given to a German journalist. Vatican newspaper L'Osservatore Romano on Saturday published excerpts from the book, "Light of the World," three days ahead of publication. In the interview, Benedict says that in certain cases, such as for a male prostitute, condom use could be a first step in assuming moral

  responsibility for stemming the spread of the virus that causes AIDS.
  The Holy See's chief spokesman, the Rev. Federico Lombardi, stressed that Benedict was not "morally justifying" the unbridled exercise of sexuality and the church's main advice in the fight against AIDS remains the same: promoting sexual abstinence and fidelity among married couples.

  The pope's comments caught some followers off-guard with the frank discussion of a taboo topic.
  "I was shocked. I thought, 'Why even mention that?' It was unnecessary," said Joan Caron, 86, of Oldtown, Maine, who attended Mass at the Basilica of the Assumption in Baltimore, the nation's oldest Roman Catholic cathedral. "I was just shocked that he'd even bring the word up."

  [Rewind: AIDS activists welcome Pope’s words]
  In Brazil, home to more Roman Catholics than any other country, 71-year-old Idalina Fernandes said she thought it was strange when she first heard the news.


  "The pope and the church had been criticized for being too strict regarding this subject, but I guess we can't close our eyes to the problems we have today in the world," said Fernandes, who helps organize Masses at a small church in Sao Paulo. "I never thought the pope would say something like that, but the world is different today, the Church seems to know that."

  The fine distinctions in the pope's comments were clear to Cliff Krieger, 68, of Lowell, Mass., who said it was good that the discussion on preventing disease was taking place, though he generally approves of the church's position on contraception.
  "I think that the church is saying that use of condoms is missing the point about what sex is about," he said. "There are a lot of people who are ... just using it for pleasure for themselves, as they might be using cocaine on the weekend. So I think the church's

  stand is generally a pretty good one."
  Speaking shortly before Mass began at St. Mary of the Lake Roman Catholic Church in Lakewood, N.J., 42-year-old Jason Randall said he strongly supports the church's position that forbids the use of condoms and other contraceptives.

  [Related: Gay kiss protest against Pope]
  But he felt the pope's comments show that sometimes exceptions are needed for almost every rule.

  "I know it's a cliche to put it this way, but if it helps prevent even one death or one person getting sick, it's worth it," Randall said. "I believe in a loving God, one who does not want people to suffer, whether they be saints or sinners."
  "I think that the church needs to realize that sometimes you have to make adjustments with the times and that saving people's lives and protecting life is ultimately the most important thing," said Josephine Zohny of Brooklyn, N.Y., after leaving Mass at St. Patrick's Cathedral in New York.

  Source: Believers find mixed blessings in Pope's comments - Yahoo! News
   
 18. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Ignorance is a disease.alichosema papa ni mafundisho ya kawaida ya kanisa katoliki.kwamba matumizi ya kondomu hayaruhusiwi,hata kwa wanandoa.kondomu na dawa za uzazi wa mpango haziruhusiwi na ni dhambi kwani zinaharibu mpango wa mungu kuhusu ndoa.ila kuna exceptions.kwa makahaba na *******,wanaweza kutumia.so hao ndo wameruhusiwa na wala siyo juzi na papa bali mafundisho yako hivyo.
  Sasa kuna propaganda za vyombo vya habari vya magharibi jumlisha ujinga wa wengi wetu hapa,jibu ni upotofu zaidi.so kama wewe ni malaya,msagaji au ****** tu unaruhusiwa.nasubiri mjitokeze
   
 19. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  We need to understand what he really meant otherwise we might be shaken by media distortion. His book/ apostolic exhortation is due to be issued to day in the afternoon (Italian time) lets wait and see the original quotation instead of all these rumors. If i manage to get its soft copy I'll bring it here. But as for me, it can't be as the media has popularized it to be!
   
 20. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
Loading...