Papa amvua Kardinali Theodore McCarrick madaraka kwa kubaka mtoto miaka 50 iliyopita

Naona great thinkers hapa wapo kimya, ndio kwanza 18 saivi. Ila ingekuwa inasema shekh fulani amelawiti, hakika page ingeshafika 200 hapa na kashfa za kutosha,.

Ule uzi wa unguja jamaa kushtakiwa kwa kutaka kumuingilia mkewe kinyume cha maumbile, watu walidhihaki sana, wakahusisha hadi Qur ani, kuwa eti ni sunna. Lakini hapa toka nianze kusoma sijaona sehemu biblia inahusishwa, hii ni kwa sababu upande ambao unahusika kukosoa unaheshim sana vitabu vya Mungu, tukumbuke, kitendo kikifanywa na mtu, awe wa dini fulani, shekh, mchungaji, ustadh, padri. Naomba isihusishwe dini yake, hakuna dini hata moja inayoruhusu zinaa au kuingiliana kinyume na maumbile.
Kwa sababu tendo hilo limefanywa na mtu na sio dini.
Mfano kwa hili, padri katenda uovu na sio kanisa katoliki, wala sio ukristo.

Tuache kukashfiana humu, itakuwa haina umuhimu jamii Forum kuwa ni sehemu ya jamii kukerana, kudharauliana, kutiana hasira na kukebehi upande mmoja utadhani hatuishi pamoja huku mitaani, utadhani hatufanyi kazi pamoja, utadhani hatushirikiani kwa lolote lile. Tuna nn hii jamii.

Nahakika, hii forum ina watu wasomi na wastaarabu, hebu msifikie kuharibu usomi na utu wenu kwa kukashfiana humu. Tunataraji busara na elimu zenu zitusaidie, mtuelimishe na kutukosoa kwa busara, na si kuendeleza comment zinazozidi kutengeneza chuki kwenye jamii.

Nawatakia siku njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu NAUNGA MKONO HOJA kwa 100%,uko sahihi hakuna sehemu uliyoacha kuzungumzia..Hili Suala ndio WIMBO wangu humu ndani ktk kila thread yenye ubaguzi wowote kuhusu Dini,kabila na Siasa..Hivi vitu ni Hatari sana ktk kubomoa/kujenga utengamano wa Nchi..Nchi kama Rwanda,Africa ya Kati etc zilianza hivi hivi kidogo kidogo kwa baadhi ya watu kujiona wao ni Superior kuliko Jamii nyingine ktk Dini,Kabila/Ukanda na Siasa matokeo yake hujengeka Chuki Miongoni mwao..Kuna Wimbi la Ongezeko kubwa sanaa la thread zinazoanzishwa zikiwa na mrengo wa kukashifu,kutukana,kudhihaki Dini nyingine Hasa Uislam..Dada yangu,Mama yangu,Bibi yangu FaizaFoxy nakuomba uachane na Harakati zako za kudhihaki,kukejeli au hata kufurahi unapoona Ukristo unadhalilishwa or unasemwa vibaya maana kwa kufanya hivyo unaamsha Chuki Kiu ya watu kufanya Kisasi dhidi ya Dini yako..nimekutaja sababu ww ni Kinara wa kukosoa na kuponda kuhusu Ukristo,huu ni Ushauri wangu tu kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papa Francis amemvua madaraka
Kardinali wa zamani, ikiwa ni tukio la kwanza kwa Kanisa Katoliki kuchukua hatua baada ya Mmarekani huyo, Theodore McCarrick kutuhumiwa kumbaka mtoto miaka 50 iliyopita, taarifa ya Vatican imesema jana.

McCarrick, 88, ambaye alijitoa kutoka Taasisi ya Makardinali ya Vatican mwezi Julai, ni Kardinali wa kwanza duniani kutengwa kutokana na tuhuma za ngono.

Mahakama ya Vatican ilimkuta na hatia ya
kosa la kumbaka mtoto mwenye umri chini
ya miaka 20, uamuzi uliothibitishwa na Papa mwezi huu, na hivyo hauwezi kupingwa zaidi, kwa mujibu wa taarifa hiyo.
Ilisema McCarrick alipatikana na hatia ya
“kuzini kinyume na amri ya sita kwa kufanya uzinzi na mtoto pamoja na watu wazima, na tatizo kubwa zaidi ni kutumia vibaya madaraka”.

Taarifa hiyo inahitimisha kuanguka kwa aina yake kwa kardinali huyo aliyekuwa na
ushawishi mkubwa na kumekuja kabla ya
mkutano wa Vatican utakaofanyika Februari 21-24, ukihusisha maaskofu kutoka kila kona ya dunia kujadili namna ya kulinda watoto ndani ya kanisa.

Kashfa za ngono duniani, na hasa hivi
karibuni katika nchi za Marekani na Chile
zimeyumbisha Kanisa Katoliki na kumfanya Papa Francis kuahidi kuwa na sera isiyovumilia makosa hayo, hata kwa viongozi wa juu wa kanisa.

McCarrick, askofu mkuu wa zamani wa
Washington, alizuiwa kufanya shughuli za
kipadri Julai mwaka jana, baada ya kujivua
ukardinali wake wa heshima. Kwa sasa
anaishi Kansas.

McCarrick anajulikana kwa kufanya ngono na waseminari ambao ni watu wazima kabla ya kukumbwa na kashfa hiyo ya kumbaka mtoto mdogo.

Mwaka jana, waendesha mashtaka wa jimbo la Pennsylvania, Marekani walibaini kuwa viongozi wapatao 300 wa dini walihusika katika kashfa za kubaka watoto kuanzia miaka ya arobaini, lakini kashfa hizo zilifunikwa na maaskofu kadhaa.

Waendesha mashtaka katika majimbo
mengine wameahidi kufanya uchunguzi kama huo.

Mwaka jana, Papa alikubali kujiuzulu kwa
maaskofu kadhaa wa Chile baada ya
uchunguzi kubainisha vitendo kadhaa vya
uzinzi vilivyofanywa na viongozi hao wa dini.

Machi mwaka 2015, Papa alimruhusu Keith O’Brien kuendelea na ukardinali baada ya askofu huyo wa zamani wa Edinburgh na kiongozi wa zamani wa Kanisa Katoliki nchini Scotland kujiuzulu kwa tuhuma za uzinzi.

Chanzo: Mwananchi

Hakika Mwenyezi Mungu sio mnafki,alijua ili mapema akaruhusu kuoa na kuolewa ,tena kwa udhaifu alio nao mwanaume akaruhusiwa wa4.,nani alileta sheria hizi za ajabu na kupingana na maamrisho ya Allah?
Kuijua dini ya haki ni jambo raisi sana hakika Quran ndio kitabu cha haki kimetoa ufafanuzi kwa binadamu tangu anaamka analala.

Kimeelekeza mambo yote kiuchumi,siasa,tamaduni...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila binadamu ana mapungufu yake. Kuwa Kasisi haimaanishi wanakuwa wakamilifu. Watu wangapi wanaingia kwenye ndoa, tena wengine zile za wake wengi, lakini bado wanakuwa na michepuko, nyumba ndogo, walawiti, n.k?

Tunapongeza Kanisa Katoliki kuwachukulia hatua za wazi wale wote wanaokiuka viapo vyao, amri na sheria za Kanisa. Hata hivyo, lengo la adhabu hizi ni kuwarekebisha ili watambue makosa yao na wamrudie Mungu, sio kuwakomesha na kuwadhalilisha kama wengi mnavyodhani.

Tunawaombea Makasisi wote ili waishi viapo vyao na wamtumikie Mwenyezi Mungu kwa moyo mmoja na kwa Uaminifu. Mwenyezi Mungu bariki Kanisa Katoliki, Mwenyezi Mungu mbariki Baba Mtakatifu Francis.

Amina.

Hivi unateteaje mbakaji kwa vile tu ni Kasisi? Una akili gani wewe, ingekuwa mwanao au wewe umebakwa ungeandika haya? Unaelewa maana ya kulawitiwa na hawa watoto wanapitia uchungu gani? Unadiriki kusema wapewe adhabu ila isiwe ya kuwakomoa makasisi? Acha upumbavu
 
Hakuna Mbingu/Pepo inayopatikana kwa Kutukana,Kukejeli,kudhihaki wala kubagua asiekuwa wa Upande wako..Dini Zote zinahimiza Upendo,Amani,Umoja na Mshikamano..Huwezi kumbadili asiekuwa wa Upande wako kwa kumtukana na kumdhalilisha kama njia ya kumfanya akufate..Njia sahihi ya kumbadili mpinzani wako or mshindani wako ni kumpenda na kumtendea Mema kama njia ya kumshawishi ili aje upande wako..Usahihi unaouona ktk dini yako ndivyo ambavyo kila mmoja huuona pia ktk dini yake hivyo hakuna haja ya kushambuliana pasipo sababu zozote za msingi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilaa kuna baadhi ya makasisi wanaharibu iman kuna jamaangu alikua anagombania demu na padri jamaa mpaka leo akienda kanisani hua anasal mwenyew kwa mwongozo wake akimaliza anaondokaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili kanisa ni uozo, mwingine huyu hapa rafiki ya Papa Francis kafanya kweli Australia. Huyu ni namba tatu kutoka papa na papa yupo kimya! Wanangoja ipite miaka 50?

World
Australian court convicts once-powerful Vatican official on sex-abuse-related charges

TPLJOBH6GEI6RBRKW2TPHTUBTE.jpg

Cardinal George Pell walks to a car in Melbourne on Monday. (William West/AFP/Getty Images)
By Chico Harlan
December 12, 2018
VERONA, Italy — Cardinal George Pell has been found guilty in Australia of charges related to sexual abuse, according to two people familiar with the case and other media reports, becoming the highest-ranking Vatican official to face such a conviction.
The conviction provides one of the clearest examples of how the sexual abuse scandal has eroded the church’s credibility while ensnaring figures in the upper echelons of power. Pell, who has categorically

Soma zaidi: https://www.washingtonpost.com/worl...ory.html?noredirect=on&utm_term=.b699500bf2ef

Wewe kutwa kushadadia tu imani za watu
 
Utakuta watu wanatetea ufuska huu badala ya kukemea au kupita kimya kama wanaona aibu
Lakini haya yanajulikana sana na Wazungu wana uthubutu wa kujiweka wazi na kusema kuwa walilawitiwa wakiwa wadogo.

Lakini je kama na waafrika wangetoa siri zao kuwa walipitiwa nyuma wakiwa wadogo, je wangapi wataumbuka?
Maana wote ni binadamu

Hata kama ni muumini wa hawa ni lazima ukemee la sivyo ni unafiki tu
Haya mambo yalikuwepo tangu zamani na sasa wanaukubali kabisa ushoga kila mahali kuanzia Ulaya, USA, Australia na hata Israel

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hivi unalitetea kanisa katoliki, unatetea Makasisi, unatetea nafsi yako?

Unafahamu maana ya 85% ndani ya makao makuu ya ukatoliki kuwa mashoga? Na hauoni tatizo lolote hapo?

Unafahamu maana ya mpaka Rais wa nchi (Duterte wa Ufilipino) kulalamika kuwa alishafanyiwa mambo ya kishoga na mapadri wa kanisa katoliki? Na huoni tatizo lolote hapo?

Unafahamu maana ya Umoja wa Mataifa kulilalamikia kanisa katoliki kuwa linaharibu maelfu ya watoto duniani kwa liwati?

Dah! Kama yote hayo unafahamu na hauoni tatizo lolote nikuweke kundi lipi?

Huna jipya tunakujua , endelea kukumbatia ugaidi.
 
Hili kanisa ni uozo, mwingine huyu hapa rafiki ya Papa Francis kafanya kweli Australia. Huyu ni namba tatu kutoka papa na papa yupo kimya! Wanangoja ipite miaka 50?

World
Australian court convicts once-powerful Vatican official on sex-abuse-related charges

TPLJOBH6GEI6RBRKW2TPHTUBTE.jpg

Cardinal George Pell walks to a car in Melbourne on Monday. (William West/AFP/Getty Images)
By Chico Harlan
December 12, 2018
VERONA, Italy — Cardinal George Pell has been found guilty in Australia of charges related to sexual abuse, according to two people familiar with the case and other media reports, becoming the highest-ranking Vatican official to face such a conviction.
The conviction provides one of the clearest examples of how the sexual abuse scandal has eroded the church’s credibility while ensnaring figures in the upper echelons of power. Pell, who has categorically

Soma zaidi: https://www.washingtonpost.com/worl...ory.html?noredirect=on&utm_term=.b699500bf2ef
Ukisota kidole kimoja vitatu vinakuangukia wewe na Kumbuka sio mapadre tu baadhi hukosea hata masheke,na wachungaji unaowajua umeona weakness huku tu?
Mbona kwa mashelk na wachungaji huko husemi eti uozo pengine ma wewe ni mzinzi au wazazi au jamaaa zako waseme humu pia tuwasikie afu Kuna wengine wa naongea sana Kumbe ni kizazi kimezaliwa nnje na utaratibu (nnje ya ndoa afu hawasomi udhaifu wao)
 
Mi wala sishangai ndio kawaida ya dini hii
 
NASIKIA PAPA HUWA ANA CHUMBA CHAKE MAALUMU HAINGII MTU CHUMBA HICHO KWA AJILI YA KUFANYA SALA KAMA WAIISLAMU, wao hiyo ni kazi ya kuingiza kipato lakini waumini wazuri wa kislamu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom