Panya wa dar - serikali iingilie kati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Panya wa dar - serikali iingilie kati

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Taifa_Kwanza, Jan 12, 2011.

 1. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hello

  Nimekaa maeneo tofauti tofauti hapa dar es salaam kwa kipindi cha miaka minne sasa, katika kila
  sehemu niliyopata kuishi kumekuwa na MAPANYA MAKUBWA MAKUBWA (PANYA BUKU). Panya hawa
  ni kero sana jamani.

  Weekend nimejaribu kumshawishi irani zangu mmoja kulizungumzia tatizo la MAPANYA hawa
  katika eneo letu, alionyesha kukata tamaa sana, alinishauri nitafute paka tena kutoka mikoani sio PAKA
  wa Dar es Salaam.

  Panya hawa wanafanya uharibifu wa hali ya juu sana jamani
  naomba serilaki iingilie kati.

  Nategemea kuwasilisha maombi haya kwa serikali ya mtaa wangu jioni ya leo
   
 2. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  mbona kuna dawa nyingi tu mitaani za panya na kwenye maduka ya dawa za wanyama
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  nakukaribisha muhimbili jioni ama usiku wadini
   
 4. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Hii mijipanya ni mwisho wala haikai ndani yaja kula tu nayanapitia popote pale, mie kwangu mpaka kweye waya wa umeme yapita ule mkubwa wa Dowans. Serikali ya mkoa needs to do something maana siku likilipuka gonjwa la town tumekwisha
   
 5. L

  Leornado JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  hahahaa paka wa dar wameshachakachuliwa na wachawi hawana mda na panya. Paka is the only solution for panya. Na huyo paka mtoe kizazi na kumshindisha njaa ndo atakamata panya. Pole kwa yanayokusibu.
   
 6. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mbona kero ni nyingi za huko daslam.
   
Loading...