Panya Road walinitembezea kichapo kikali

Daaah wakuu hawa madogo ..omba usikutane nao hawafai jana nilikutana nao toka club. ...walinitembezea kichapo. Na nilipo pata upenyo ..niliwatoka spidi hatar .. hapa nilipo nipo hospitalini tegeta APA...naugulia maumivu ...hakika shikamoo panya road daaahah hutu tudogo hatufai tunachapa...

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Hahahha..pole
 
daaaahh pole mkuu. Sisi tulioko mikoni huku tunaona Kama Ni story tu.
 
Daaah wakuu hawa madogo ..omba usikutane nao hawafai jana nilikutana nao toka club. ...walinitembezea kichapo. Na nilipo pata upenyo ..niliwatoka spidi hatar .. hapa nilipo nipo hospitalini tegeta APA...naugulia maumivu ...hakika shikamoo panya road daaahah hutu tudogo hatufai tunachapa...

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Hao ni vibaka PR wao wanafunga mtaa kisha ni mlango hadi mlango
 
Mbona umeandika as if unawapa shime?

Unaandikaje kwa kutengeneza wasifu wa vibaka?

Unanufaishwa nini na ubazazi wao?
 
Daaah wakuu hawa madogo ..omba usikutane nao hawafai jana nilikutana nao toka club. ...walinitembezea kichapo. Na nilipo pata upenyo ..niliwatoka spidi hatar .. hapa nilipo nipo hospitalini tegeta APA...naugulia maumivu ...hakika shikamoo panya road daaahah hutu tudogo hatufai tunachapa...

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Kwa sifa hizi inawezekana wewe ni mmoja wao hao vijana ila unataka kutukoga.
 
Daaah wakuu hawa madogo

Omba usikutane nao hawafai jana nilikutana nao toka club. Walinitembezea kichapo. Na nilipo pata upenyo niliwatoka spidi hatari .. hapa nilipo nipo hospitalini Tegeta hapa...naugulia maumivu ...hakika shikamoo panya road daaahah hutu tudogo hatufai tunachapa...

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Simu wamekuachia upate kuingia JF kuleta ripoti?
 
Daaah wakuu hawa madogo

Omba usikutane nao hawafai jana nilikutana nao toka club. Walinitembezea kichapo. Na nilipo pata upenyo niliwatoka spidi hatari .. hapa nilipo nipo hospitalini Tegeta hapa...naugulia maumivu ...hakika shikamoo panya road daaahah hutu tudogo hatufai tunachapa...

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Hongera kwa kuwapa promo

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Hao Panya mafala tu kama mafala wengine hawana lolote,sema wanakutana na mabwege kama ilivyo ww ndio mana wanaonekana tatizo.
Trust me,tuna watatua soon mana matatizo yapo ili yatatuliwe.
 
Hao ni vibaka PR wao wanafunga mtaa kisha ni mlango hadi mlango
Historia ya hawa watoto wanaongozwa na watu wazima ambao Wana ukwasi tu hii ni suala linafanyika kiweredi sana sijajua lengo nini

ipo hivi wanapita kwenye vijiwe vya wauza mihadarati wanauliza kama wanawajua vijana watukutu nundaz wanatajiwa hao vijana wanaenda waanawashawishi kwa pesa nk Kisha waanaaombwa wawatafutie vijana wenzao so hupita kwenye mashule hizi shule za mijini wanachukuliwa hao vijana Kisha linaundwa kundi

Wingi wao unatoka wapi bwana mshana kama una kijana yupo shule kidato cha kwanza au cha pili na hapo shule Kuna kundi la vijana wenzao watukutu basi kijana wako anatishwa kuwa usipojiunga na sisi utaona kama unavyojua watoto wetu wanatabia ya kuogopana so kijana wako anabebwa anaenda kupewa muongozo wa kutenda tukio pasipo wewe mzazi kujua

So sijui watoto wa mbwa, panya road, Mara roho Saba tunaowasikia huu ni mtandao unaongozwa na watu wazima kuwatumia watoto

Wito wangu serikali pigeni marufuku madrasa zinazoendeshwa mda wa masomo yani madrasa zote katika misikiti yote zianze baada ya mda wa masomo kuisha na mambo ya waumini kukaa msikitini kwa kigezo Wana Sali kipigwe marufuku watoto sas hivi hawataki shule wanasingizia madrasa na uko madrasa Kuna ujinga unaofanyika Kuna watu wamekusanya watoto wanawafundisha mambo ya ajabu vyombo vya ULINZI na usalama mikoa na wilaya futilieni ujinga unaanzia uku hawa watoto wanatumwa na wanafugwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom