Panya road tukiwaacha tutegemee kuwapata hells angels wa tanzania

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
HII THREAD NILIANZISHA SIKU ZA NYUMA KAMA MWAKA UMEPITA HIVI...
HILI JAMBO NILILIONA TOKEA SIKU NYINGI....
KUHUSU HAWA WATU WAENDESHA BODABODA HAWA UKIANGALIA NA KUFUATILIA ASILIMIA 70 YA PANYA ROAD NI WAENDESHA BODABODA WA MAENEO MBALIMBALI

KIMSINGI NIMESIKITISHWA SANA NA WALICHOKIFANYA PANYA ROAD JUZI ILA NILITAHADHARISHA KUHUSU HILI

LOWASSA ALIPOSEMA KUWA VIJANA NI BOMU LINALOTEGEMEA KULIPUKA ALIKUWA NA MAONO KAMA YANGU

HAWA WATU WA BODA BODA NI SHIDA








HII NI THREAD YANGU YA MWAKA ULIOPITA

watu wetu hawa wa boda boda walianza taratibu kama watu wa usafiri
ikawa ni njia rahisi ya usafiri kwenda sehemu mbalimbali hapa Tanzania

kwenye miji inayokuwa kwa kasi kama Dar , Mwanza na Arusha hawa watu ni muhimu sana kwa shughuli za kimaendeleo

ila taratiibu hawa watu walianza kuwa shida taratiibu hawa watu walianza kuvunja sheria, kiasi kwamba mtu anajifunza leo boda boda kesho yuko barabarani mie ninaona kuwa hawa watu ni shida na ni FUTURE HELLS ANGELS hapa Tanzania

uvunjaji wa sheria ukawa ni mwingi, na ajali zikawa ni nyingi sana kwa hawa watu...


hawa watu wakaunda umoja wao (its nice) ila sasa taratiibu naona wanakoenda ni siko

dereva wa bodaboda anaweza akakugonga wewe na pikipiki yake wewe ukiwa na gari halafu wakaja wenzake wakakupiga makofi....


sasa hivi uhalifu mwingi ni wa pikipiki,
mnakumbuka yale mauaji ya kufululiza ya mtu ambaye alikuwa yuko kwenye pikipiki akija anachomoa bastola then anakupiga wewe dereva wa gari...??


mi uhalifu kiasi gani tumesikia chanzo ni madereva wa boda boda wamehusika ??

juzi tu tulisikia wale jamaa wamebeba mwili wa mwenzao kisa ibada ilichelewa

hivi huu ndio hulka yetu sie sisi watanzania?

hivi huu kukosa ustaarabu wa namna hii tumepata wapi??

majambazi ambao wanapora huwa wanaondoka na nini??

si bodaboda??


jamani HELLS ANGELS inakuja Tanzania na ni lazima serikali ifikirie jinsi ya kufanya before it is too late









HELLS ANGELS NI AKINA NANI??





Hells Angels ni kikundi cha waendesha pikipiki ambao ni wanafanya uhalifu kuanzia marekani na nchi nyingine za kimataifa

wao ni organised crime ambao wako chini ya mwamvuli wa motocycle club na wanajiita Hells Angels Motocycle Corporation


hawa jamaa ambao walianzia marekani na kusambaa maeneo mbalimbali duniani wanajulikana sana na sign yao ya kuendesha pikipiki maarufu kwa jina la chopper na kuwa wamejichora ma tatoo karibia mwili mzima

hawa jamaa ambao ni genge maarufu la uhuni nchini marekani


Hells%20Angels.jpg



Hells Angels hawa wanaogopwa sio marekani tu ila hata duniani kote kwani ni kundi ambalo linafanya mauaji, kidnaping na mambo mengine ya uvunjaji wa sheria



ili uwe member wa Hells Angels kwanza unatakiwa uwe na leseni ya udereva, pili ni lazima umiliki pikipiki ya 750cc na inasemekana polisi wala askari magereza huruhusiwi kuwa member wa Hells Angels

na lazima wakufanyie investigation ya kutosha na background yako na ukifanikiwa au ku qualify basi unakuwa full members wa Hells Angel


hells_angels_0731.jpg







yafuatayo ni baadhi ya uhalifu uliofanywa na hawa watu

mwaka 2008 Hells Angels walimpiga risasi jamaa mmoja anaitwa Brendan Keiler na kujeruhi wengine wawili kwa kosa ambalo linahusisha maswala ya kimapenzi



Hells Angels inasemekana walihusika incidence ya Clash ya sidney airport iliyotokea huko Australia mwezi march 2009 tarehe 22

zingine kwa msaada wa mitandao hizi ni baadhi ya matukio yaliyofanywa na hawa hells angels




Lindsay and Bonner trialIn 2002 Crown Prosecutor Graeme Williams sought to have the Hells Angels formally declared a "criminal organization" by applying the anti-gang legislation (Bill C-24)[SUP][9][/SUP] to a criminal prosecution involving the Hells Angels and two of its members, Stephen (Tiger) Lindsay and Raymond (Razor) Bonner.
The prosecution team launched a three-year investigation with the aim of collecting evidence for the trial.
At the conclusion of the trial in June 2005, Ontario Justice Michelle Fuerst ruled that Lindsay and Bonner had committed extortion in association with a criminal organization and had used the Hells Angels' reputation as a weapon




Ruling
On March 27, 2008, the SCBC Justice MacKenzie ruled against prosecutors who had attempted to convict a Hells Angels member of possession for the benefit of a criminal organization. Although two associates of the Hells Angels, David Roger Revell, 43, and Richard Andrew Rempel, 24, were convicted of possession for the purpose of trafficking, Justice MacKenzie concluded that with the acquittal of the only Hells Angel member being tried, David Francis Giles, on a charge of possession of cocaine for the purpose of trafficking, a second charge against him (count two) of possessing it for the benefit of a criminal organization had to fail as well



Ontario

In September 2006, after an 18 month investigation conducted by numerous law enforcement agencies and dubbed "Project Tandem," 500 officers and 21 tactical teams raided property connected to the Hells Angels chapters in Ontario. At least 27 members were arrested of which 15 were members of the Hells Angels. Property seized was worth more than 1 million dollars and included $470,000 in cash, $300,000 in vehicles and $140,000 in motorcycles. During the raids, drugs such as cocaine and ecstasy were seized; the total street value of drugs seized was more than 3 million dollars





United Kingdom

In 1998, two Outlaws were killed at the Rockers Reunion in Battersea, London. A Hells Angel was convicted in relation to the incident.
In August 2007 a Hells Angels member, Gerry Tobin, was shot dead on the M40 motorway by members of a rival motorcycle gang, the Outlaws.[SUP][[/SUP] Those responsible received life sentences in November 2008. Tobin was returning home to London, where he worked as a Harley service manager, from the Bulldog Bash.
In January 2008, there was a brawl between up to 30 Hells Angels and Outlaws at Birmingham International Airport. Police recovered various weapons including Knuckledusters, hammers and a meat cleaver. Seven Outlaw members and five Hells Angels faced trial as a result






California

One major event in Hells Angels' history involved the December 6, 1969, Altamont Free Concert at theAltamont Speedway – partially documented in the 1970 film Gimme Shelter[SUP][113][/SUP] – featuring Jefferson Airplane, The Flying Burrito Brothers, and The Rolling Stones. The Grateful Dead were also scheduled to perform but cancelled at the last minute owing to the ensuing circumstances at the venue. The Angels had been hired by The Rolling Stones as crowd security for a fee which was said to include $500 worth of beer. The Angels parked their motorcycles in front of the stage in order to create a buffer between the stage and the hundreds of thousands of concertgoers.

Crowd management proved to be difficult, resulting in both spectator injury and death. Over the course of the day, the Hells Angels became increasingly agitated as the crowd turned more aggressive. At a later murder trial of Hells Angel Alan Passaro, a security guard testified he heard the Hells Angels being summoned over the loudspeakers when the helicopter bearing The Rolling Stones landed. Debate after the event was over whether the Hells Angels were to manage security for the entire concert or just for The Rolling Stones. Sam Cutler, the Stones' agent who had arranged to pay the Hells Angels said their role was as bodyguards to the Rolling Stones. This was denied by the Hells Angels as well as others connected to the event. During the opening act of Santana, the Hells Angels surged into the crowd numerous times to keep persons off stage



Nevada

The River Run Riot occurred on April 27, 2002, at the Harrah's Casino & Hotel in Laughlin, Nevada. Members of the Hells Angels and the Mongols motorcycle clubs fought each other on the casino floor. As a result, Mongol Anthony Barrera, 43, was stabbed to death, and two Hells Angels, Jeramie Bell, 27, and Robert Tumelty, 50, were shot to death. On February 23, 2007 Hells Angels members James Hannigan and Rodney Cox were sentenced to two years in prison. Cox and Hannigan were captured on videotape confronting Mongols members inside the casino. A Hells Angel member can be clearly seen on the casino security videotape performing a front kick on a Mongol biker member, causing the ensuing melee


New York

In September 1994, near Buffalo at the Lancaster Speedway drag races, there was a clash between the Hells Angels and a rival biker gang resulting in 2 deaths, and multiple injuries.



Washington

In 2001 Hells Angels Rodney Lee Rollness, a former Hells Angel, and Joshua Binder murdered Michael "Santa" Walsh, who had allegedly falsely claimed to be a member of the Hells Angels.[SUP][134][/SUP] Paul Foster, hoping to join the Hells Angels, aided in the murder by luring Walsh to a party at his house and helping cover up the crime.[SUP][135][/SUP] West Coast leader Richard "Smilin' Rick" Fabel, along with Rollness and Binder, were also convicted of various racketeering offenses

life_hells_angels_073.jpg






1eG3bY.AuSt.6.jpeg


Hells_Angels_New_York_by_David_Shankbone.jpg











5.bild.jpeg





DOCUMENTARY YAO




Hells Angels - Americas Book Of Secrets [Full Documentary] - YouTube
 
mda si mrefu itakuwa hivyo na hawa wengine watakuwa kama Black Disciples au Black Souls wa Chicago na makundi mengine ya kihuni (Gangs), kama jeshi la polisi letu lingekuwa makini na serious basi lingewafanyia kama kilichowapata Komando Yosso au Kiboko Msheli.
 
Mwaswali

1. Ugaidi ni nini?

2. Serikali na vyombo vya habari vimefanikiwa kuaminisha jamii kuwa ugaidi hawezi kufanya yeyote
zaidi ya muislam. Ndio maana hata rwakatare aliposhtakiwa kwa kosa hilo, mahakama ilimuona hana kosa hatia kwa kuwa maana ya ugaidi ni ngumu kuifasiri kwani unaemwita gaidi kwa upande mmoja huenda akawa shujaa au mpigania haki za watu wake.


Lakini tafsiri hii ni ngumu kutolewa iwapo anaeshitakiwa kwa kosa hilo ni ustadh. Mf sheikh farid na wenziwe ni wapigania haki za wazanzibar lkn kwasasa wamebandikwa label ya alshabab na boko haram

3. Taharuki khofu na kufungwa kwa maduka eneo kubwa la jiji iliyofanywa na panya road na kama ingefanywa na maustadhi walio vaa kanzu na kufuga ndevu kisha wakawa wanapiga takbiiir unadhani itv na media zingine zinge fanya nini?

Kova angesema nini? Bbc unadhani wangefanya kipindi maalum kwa jina gani? Udaku yange andika vipi?


Eleza ukweli acha chuki za kidini lakini wajinga badala ya kujibu hoja nzito kama hii watajibu
acha udini, kasome, acha upuuzi.

Ila wangefanya waislamu post zao na coment zao zinge kuwa na sura nyingine na makanisa yangeitisha misa maalum ya kuiombea nchi dhidi ya ugaidi na raisi kushindwa kuongoza

tujadili
 
Back
Top Bottom