Panua basi

mutant gene

JF-Expert Member
May 18, 2014
876
322
Sauti 1: PANUAA!

sauti 2: naogopa!

Sauti 1: PANUAA BASI!

Sauti 2: Naogopa!

Ni maneno yakitokea chumbani yakamfanya mpita njia ajisogeze dirishani...

Sauti 1: waogopa nini?

Sauti 2: nitatoka damu nyingi...

Sauti 1: kwani ndiyo mara yako ya kwanza?

Sauti 2: ndio!

Sauti 1: jikaze basi sikuumizi...

Sauti 2: aiiiih!! Siwezi...!

Sauti 1: yani haujawahi hata siku 1?! Tangia uzaliwe?!

Sauti 2: ndio, tangia nizaliwe sijawahi kung'oa jino!!

Mpita njia akakasirika: us****e mtupu!! kum****na zenu!!! tunatiana ny*ge bure kumbe hii ni hospitali!!!! ufala huo...

HAHAHAHAH!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom