Pangua ya Baraza la Mawaziri yanukia

Kwa mara ya pili Tanzania Waziri Mkuu anaenda kusitishwa uongozi katikati tukumbuke Warioba na Sokoine waliwai kusitisha uwaziri mkuu kwa sababu mbali mbali....
Inaniongezea nini wakati wamezulumu haki ya Baba wa watu kuwa huru na familia yake? Wanamwita gaidi? Mungu nakuomba u rehemu ili taifa, Maana ghadhabu yako yaweza kuwa kubwa mno!
 
Itakuwa makosa makubwa sana kuwaacha gaidi Mwigulu Nchemba na Majaliwa ndani ya Cabinet pia yule anayependa kuonyesha ufundi wake wa kukata viuno na kutingisha mabega.
Kwa mara ya pili Tanzania Waziri Mkuu anaenda kusitishwa uongozi katikati tukumbuke Warioba na Sokoine waliwai kusitisha uwaziri mkuu kwa sababu mbali mbali...
 
Kwa mara ya pili Tanzania Waziri Mkuu anaenda kusitishwa uongozi katikati tukumbuke Warioba na Sokoine waliwai kusitisha uwaziri mkuu kwa sababu mbali mbali...
PM hawezi kubadilishwa bila Baraza la Mawaziri kuvunjwa kwanza. Uamuzi wa kuvunja Baraza la Mawaziri ni uamuzi mgumu!
 
Watu wanafikiri uPM ni kitu cha mchezo mchezo. Mh Rais anataka afanye experiment kwenye mambo nyeti ya kiuongozi. Mh Mwigulu JPM alimtoa akamrudisha hamkujifunza kitu. Wanaompiga vita wanataka wachezee hazina ya nchi na wameona jamaa haingiliki kirahisi rahisi.
 
Hivi unaelewa kwamba wazo la tozo la simu limetoka kwa Ummy Mwalimu na kupata support ya raisi?

Mwigulu kama waziri inabidi alisimamie tu na kuli-backup kama sehemu ya uwajibaki wa pamoja...
Huu ni uongo na upotoshaji mkubwa sana kuhusu wazo la Tozo kutolewa na Ummy Mwalimu sio kweli. Hilo ni Wazo la Mbunge wa Ilala Zungu ndo alilitoa bungeni Serikali Wizara ya Fedha na Mipango ikalichukua kwa ajili ya Utekelezaji. Tusipotoshane bila sababu. So far Wizara imefanya vizuri na makubwa ni Ofisi ya Rais TAMISEMI Chini ya Ummy Mwalimu
 
Ebu nenda kamuulize raisi mwenyewe hilo wazo kalitoa

Either way chill.....

Dedication from me; ni muda wa kumtwangwa huyu fala Makamba.

His he the real deal or another sakapoko.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom