Panga kazi yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Panga kazi yako

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MziziMkavu, Nov 8, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Upangaji wa kazi humaanisha kwamba badala ya kuchukua kazi nzuri iliyopo, unapanga mikakati ya kupata kazi inayoenda sawia na maazimio na mahitaji yako ya kibinafsi.

  Unavyofanya kazi
  Ratiba ya kazi ina sehemu nyingi:

  • Kulinganisha azimio lako na kazi ambazo zitakutosheleza.
  • Kufanya utafiti kikazi ili kujua hali ya kazi nyingine zilizopo.
  • Kutathmini maarifa na elimu yako ili uone kama unahitaji mafunzo zaidi.
  • Kutafuta kazi kwenye taaluma unayoichagua.
  • Kutengeneza wasifukazi na barua tangulizi pindi unapopata nafasi na uwe tayari kwa mahojiano baada ya kutuma ombi.
   
 2. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45

  Big up mzizi mkavu and keep it up, endelea kutupostia post za maana, nimechoka na posts zihusizo ngono. Mie naomba ufafanuzi zaidi katika nukta namba 1 na 2, sijazielewa sawasawa.
   
Loading...