Panda daladala za kwenda Kihonda ukisikia harufu kali utakuwa umefika

Midavudavu

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
287
59
Jamaa mmoja mkazi wa Kihonda Kwa Mkomola aliwavunja wenzie Mbavu katika daladala. Akiwa ndani ya daladala alipigiwa simu na mgeni wake ambae alikuwa anafika Morogoro kwa mara ya kwanza. Mgeni alitaka kujua jamaa anakaa wapi ili amtembelee. Basi yeye akamjibu " kwangu huwezi kupotea, wewe panda daladala za kihondo ukisikia harufu mbaya tu utakuwa umefika kwangu mwambie konda akushushe". kazi kwenu Viongozi wa Manispaa ya Morogoro; harufu kali ya viwanda imekuwa kituo cha daladala kwa wageni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom