PANAFRICAN ENERGY LTD ni ya nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PANAFRICAN ENERGY LTD ni ya nani?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Nzi, Feb 25, 2011.

 1. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,859
  Likes Received: 4,544
  Trophy Points: 280
  Salaam wanaJF!

  Hii kampuni kwa kweli ninapata shida sana juu ya uwepo wake na mchango wake kwa TZ. Hivi mnafahamu hii kampuni ndo main supplier wa natural gas ambayo inatolewa huko Songosongo na SONGAS (PANAFRICAN ENERGY LTD ni one of the major shareholders wa SONGAS).

  Hawa PANAFRICAN wana supply gas TBL, SBL, Twiga Cement, YUASA, Murzah Oil, Detergents and Soap Industries, KAMAL Steel, KIOO LTD, Simba Steel, SILAFRICA LTD (mali ya Somaiya), NIDA Textile, URAFIKI Textile, TCC, Bora Industries, OK Plastics, Bakhresa Food and Processing Industries etc.

  Sasa kwa makampuni yote hayo, PANAFRICAN wanatengeneza billions of money ambazo TANESCO ingeweza kupata kama uzalishaji na usambazaji wa gesi ungekua chini yao.

  Ila kwa sababu BWM aliidhinisha mkabata mbovu ulioipa mandate SONGAS kuwa na power over our own gas, ndo mana tunaona upupu huo. Yaani eti hata TANESCO wanaununua gesi kutoka PANAFRICAN via SONGAS!

  Hii nchi kwakweli mpaka tuingie barabarani kuutoa utawala dhalimu wa CCM ndo angalau tunaweza kua na dira ya namna ya kutumia rasilimali zetu kwa maendeleo ya taifa letu.

  Amandlah.
   
 2. k

  kishanshuda Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  kwel jaman wana JF mtuambie walau mnaoelewa juu ya hili, dahhhh nchi hii ina uozo na uwiz mwing mhhhhhhhhhhhh......., wallah hii CCM na serikali yao hiii, mwisho wao umefika , tenaaa............
   
 3. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  POLENI NA KAZI WOTE
  Ni furaha yangu kuwa na wakati huu kuzungumza yangu machache. MOJA nchi yetu inayumba.viongozi hawapo makini. mikataba mibovu wanaikubali.... wanasababisha hasara kwa taifa, hawana uchungu na nchi.

  Kwa mfano ninapata shida sana juu ya uwepo wa kampuni hii na mchango wake kwa Tanzania.

  Kwa taarifa ya wadau hii kampuni ndo main supplier wa natural gas kutoka Songosongo na SONGAS (PANAFRICAN ENERGY LTD ni one of the major shareholders wa SONGAS). Ni kampuni ambamo mafisadi nao wana share

  Ndio maana mnaona inaweza kujiingiza ubia na makampuni mengine mengi. Sasa kwa makampuni yote hayo yanatengeneza mabillions ya pesa ambazo TANESCO ingeweza kupata kama uzalishaji na usambazaji wa gesi ungekua chini yao.

  Ila kwa sababu za kifisadi na mikabata mibovu iliyo sababisha kampuni hii kupata tenda ndo mana tunaona madudu.

  Siku ambayo tutaingia barabarani kuiondoa CCM ndo angalau tunaweza kusahau madudu haya
   
 4. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Panafrica hawajihusishi na gas tu...Mitambo kwenye mogodi ya uchumbaji dhahabu...wako join venture na Komatsu...ya Japan zamani kwenye migodi kulikuwa na catapilar sasa hivi sijui wamebaki na Generattor...na kwa ufupi hawa mabwana wanalipa vizuri na wanafanya akzi...kama sijiui vizuri hii panafrica..ni ya wajapani...Hii inaniambia kama ni ya mbogo basi kampiga bao RA.

  Pili Jamani tanesco hata hili tu la kusambaza dar haiwezekani...kivipi mnataka viwanda vyote hivyo muwape...?Hii si ni kuidhalilisha..kwa kifupi tanzania hatujiwezi wenyewe wenyewe...kwa umeme na Gas...hatuwezi kumdhibiti mwekezaji kwa kuwa hatuna uwezo wa kumpa mahitaji yake kwa wakati na kwa uhakika....ya kutosha...hii inapelekea kulazimishwa hata mikataba mibovu..jamaa anataka kuwekeza anakwambia ntakupa 5% kwa kuwa ntatumia ardhi yako..lakini ntaleta vingine vyote toka kwetu au nakojua mie...achilia mbali nguvu kazi.
   
 5. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
 6. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Fanya kama #bouazizi tujue unauchungu!!!

  Ofisi za panafrica si unajua zilipo? Kajilipue getini kwao! Sote tutakuunga mkono!!!
   
 7. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Duh! nyuma yake tena? atapona kweli nyie wote nyuma yake?
   
 8. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Takaataka mwenyewe....website yako haionyeshi panafrican Energy wanajihusisha vipi na Orca...unafikiri hatujui Orca...Takataka mwenyewe na website yako...Muone...
   
 9. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wapewe Tanesco, wanapokea mabilioni mangapi toka kwenye umeme na hakuna kitu wanachofanya. Sasa uwape na Gas si wataanzisha na mgao wa gesi!?
   
 10. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Una sound kama bado katoto...umefungua tu wala huaapekenyua unaanza ubishi....Panafrican Energy ni subsidiary ya Orca Exploration...acha kukenua mimeno bure.

  Orca Exploration Group Inc. is a well-financed, international public company listed on the Canadian TSX Venture Exchange.
  In Tanzania, Orca operates through its subsidiary PanAfrican Energy (PAE) Tanzania Ltd. where since 2004 it has created and operated a highly successful, integrated African gas business through the operatorship of the Songo Songo gas field and the marketing and distribution of Additional Gas to the power and industrial sectors in Dar es Salaam.

  The 1.5 Tcf Songo Songo field was the first, and remains the largest commercial producing gas field in Tanzania and the East African Communities, providing gas to powers stations that generate in excess of 50% of Tanzania's electricity requirements, and supplying industrial customers in Dar es Salaam.

  In 2011 Orca in planning to test the low risk Songo Songo West (SSW) prospect, a major potential source of reserves upside in the Songo Songo area. If successful SSW could provide the resources to underwrite a significant expansion of the gas infrastructure and growing markets both in Tanzania and beyond.

  In 2010 Orca has an aggressive expansion programme to capture multiple additional assets with a focus on oil exploration, leveraged from a strong financial base. This is intended to diversify risk and lead to a step change in company value
   
 11. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  TANESCO can not manage gas reserves, it requires some speciality other than power generetion. Watu hata kukusanya madeni wanashindwa leo waendeshe gas field. Acheni hayo, oil and gas industry hapa nchini ya TPDC in mikataba iliyo wazi na yenye manufaa kwa taifa. Tembele website ya TPDC na uangalie PSA models.
   
 12. M

  Mwanagenzi JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 11, 2006
  Messages: 690
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
 13. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Not sure who are all Pan African shareholders, especially their local shareholders if any. Sababu hawa jamaa walichafua mitambo ya Songas na kusababisha mitambo kuharibika ila hautasikia Pan African wamesababisha mgao.

  However the owners of Songas are Pan African, TANESCO, TDFL and TPDC. Pan African is major shareholder with 55% of Songas.

  There should be transparency on companies shareholding where any government authorities are doing business on any PPP project.

  Watanzania inabidi pia tuanze kuangali how can we invest in the energy sector instead of kusubiri companies like Pan African kuja na ku-control resources zetu. We can't blame them but we need to wake up now.
  In the future projects, we need to engage such companies as consultants only. They will be working for us and our interests.
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Nchi inaendelea katufunwa imeishabakia mifupa na yenyewe inaendelea kutafunwa
   
 15. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Hapo kwenye RED:

  **Mitambo gani ya songas ilichafuliwa na PanAfrican? Kweli mambo mengine kama mtu hujui bora ukae kimya. PanAfrican ni contractor wa Songas kuendesha gas processing facilty, sasa wamechafua nini?
  ** PanAfrican haina share yeyote Songas, ila tu ni contractor aliyepewa kazi ya kuendesha mitambo ya kuzalisha gesi Songosongo.
  ** PnaAfrican wana PSA na TPDC (si Songas) ya kuendeleza, kuzalisha gas na kuuza gas ambayo ni ziada ya inayotakiwa na Songas (additional gas). ukisema PaNAfrican ni mbia wa TPDC hapo sawa sio Songas.


  Nilitoa website ili watu wabukue waelewe lakini bado naona mna-fumble tu!
   
 16. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  TzPride,

  Take a chill pill and chill out dude.

  Songas wamewapa contract Pan African to process and distribute their gas.
  As I said above, sijui who are all share holders of Pan African, but for Songas, these are the share holders: >>>>> Songas Limited - Intranet <<<<<
  Too see how Pan African comes into Songas read here: Songo Songo Gas-to-Electricity Project

  "The main project sponsor was AES Sirroco of the USA, a large electricity company operating worldwide. The other sponsor is Pan African Energy, formerly Ocelot International, a gas development company, with operations in several African countries. Project investors are AES, Pan African Energy, TANESCO, TPDC, CDC, TDFL, EIB and World Bank, the later two through the Government of Tanzania. Project costs are estimated at US$ 350 million. The project will be implemented by SONGAS, a local joint venture company formed by Globeleq, TANESO, TPDC and CDC. Ocelot, now Pan African Energy will operate the gas field on behalf of Globeleq"

  Since you know so much about Pan African, may be you can share more details but Pan African is one of Songas shareholder.
   
 17. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,859
  Likes Received: 4,544
  Trophy Points: 280

  Sasa mkuu unataka kusema nini? Umeelewa theme ya thread hii? Ukweli ni kua PANAFRICAN wanavyofaidika haikupaswa iwe hivyo. Mimi nikasema TANESCO wangeweza kumanage. Hivi unafikiri kama TANESCO ingekua haingiliwi na politicians ingeshindwa kumanage gas and electricity supply? Siasa ndo linaua shirika ilo.

  However back to PANAFRICAN's case,tungekua na a reliable and firm state owned gas producer and supplier,tusingewahitaji hao PANAFRICAN. Again corrupt government systemi is to be blamed in this context!

  Mkuu umeongea sana lakini bila kutoa way forward. Ilo ndilo tatizo letu waTZ,tunaongea sana bila kutoa suluhisho. Au unaenjoy cake ya PANAFRICAN nini?
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Au mdau alitaka kumaanisha TPDC?
   
 19. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Hujamsaidia mtoa mada na sisi wengine kwa kutueleza uhusiano kati ya ORCA na Panafrica Energy Ltd
   
 20. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Still fumbling!
  Hapo hujaambua kitu dogo...yes, I know PanAfrican very well. Kwa taarifa yako hiyo project ilikuwa GAS TO POWER, na hapo GAS ni deal ya Panafrican & TPDC na POWER ni Songas to generate and sell to TANESCO. Kwa taarifa yako Songas is entitled to only 45 MMSCFD of gas na the rest ni mali ya TPDC na PanAfrican (additional gas). Panafrican has a deal with TPDC to produce, transmit and distribute natural gas. The revenues obtained are shared the two parties according the joint operation agreement.
  Naisikitika unang'ang'ania issue ambayo unijua only in nutshell!
   
Loading...