Pana wanafunzi wanaopata "A" ya Economics A-Level?

Wale jamaa kule NECTA sijui huwa wanasahihishaje hiyo mitihani..

Mi mpka leo huwa sielewi nilipataje D ya uchumi.. Ihali mock nilipata A na nikawa na one ya 6...Necta nikawa naiwinda one ya 3 au 4..maana kwenye hesabu na Geog uhakika wa A ulikuwa asilimia mia.

Mi nadhan huwa wanafanya tu kukomoa, somo lionekane gumu lakini kiuhalisia sio hivyo, inawezekana ikawa ngumu kupata A ya geog lakini sio uchumi.
 
Zamani nini ilikuwa inshu?
Tuliaminishwa hivyo na kweli ulikuwa ukifatilia matokeo unakutana na C kibao.
Ila somo lenyewe ni simple kama maji,watu wa EGM ilikuwa ni kula bata na msuli kiasi kwenye Math, maana geography kulikuwa hakuna kitu kipya.
 
Back
Top Bottom