Wale jamaa kule NECTA sijui huwa wanasahihishaje hiyo mitihani..
Mi mpka leo huwa sielewi nilipataje D ya uchumi.. Ihali mock nilipata A na nikawa na one ya 6...Necta nikawa naiwinda one ya 3 au 4..maana kwenye hesabu na Geog uhakika wa A ulikuwa asilimia mia.
Mi nadhan huwa wanafanya tu kukomoa, somo lionekane gumu lakini kiuhalisia sio hivyo, inawezekana ikawa ngumu kupata A ya geog lakini sio uchumi.
Tuliaminishwa hivyo na kweli ulikuwa ukifatilia matokeo unakutana na C kibao.
Ila somo lenyewe ni simple kama maji,watu wa EGM ilikuwa ni kula bata na msuli kiasi kwenye Math, maana geography kulikuwa hakuna kitu kipya.
St christina 2020 kuna demu ana 1 ya 3 ECA korona batch
Pia ahmes mwaka jana wamefumua uchumi kweli kweli hivyo siku hizi zinapatikana tu kinagaubaga mkuuuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.