Pamoja na Zimbwe kusaini mkataba, Mo Dewji usimuite kunywa naye chai

Meneja wa Zimbwe anajitambua amekataa kufuga panya kwenye debe la unga. Alisha sema Kama hawakupata maslai mazuri Bora mchezaji aende Gwambina au ihefu kuliko kupata umaarufu Simba alafu unastaafu mpira ukiwa maskini.
Akili za darasa la nne utazijua tu!! Kulipwa pesa nyingi za usajili ndio utastaafu ukiwa tajiri?!! Hizo ambazo amelipwa toka ameanza kucheza Simbasc zimemfikisha wapi?!!
 
Mchambuzi Uchwara Yule
Hizo ni allegations nzito sana na usisahau kwenye hili sakata Zimbwe junior kamtumia huyo jamaa kama attack dog wake, kwa hiyo Kapombe au Zimbwe wasipokanusha alichopost Dauda kuanzia mechi zinazofata tutawaangalia kwa jicho la tatu kufuatilia kwa karibu hujuma maana haiwezekani una kishika uchumba cha GSM usilipe fadhila ya kuhujumu simba
 
Hizo ni allegations nzito sana na usisahau kwenye hili sakata zimbwe junior kamtumia huyo jamaa kama attack dog wake ,kwa hiyo kapombe au zimbwe wasipokanusha alichopost dauda kuanzia mechi zinazofata tutawaangalia kwa jicho la tatu kufuatilia kwa karibu hujuma maana haiwezekani una kishika uchumba cha gsm usilipe fadhila ya kuhujumu simba
Ndio ndio..
 
hamjui siri za hawa watu. hawa ni madalali wa watu washenzi kwenye soka. Wanapewa hela kuanzisha vurugu. Dauda amelipwa na Mzozo kusukuma ajenda. Mwaka jana alilipwa mara kadhaa na Eng.Hersi kupiga propaganda kuhusu Simba ila mafanikio ya Simba ndio yana mfua nguo
Muoneeni huruma amesoma MBUYUNI Primary
 
Back
Top Bottom