Pamoja na yote, kupendeza anapendeza sana

Ha ha haaa. . Preta mchokonozi. . .Mshua anajua saana.. . . .Na hivi Jumapili. . . . .

Itakuwa kapulizia na ile mambo . . . . . .
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa. . Preta mchokonozi. . .Mshua anajua saana.. . . .Na hivi Jumapili. . . . .

Itakuwa kapulizia na ile mambo . . . . . .

Sanaaaaaa..........Rais kapiga kitu cha mkanda nje...........
najaribu kuweka picha sijui kuna kwikwi gani leo................
 
Kwa hili tu huwa hapotei njia hata umeme ukikatika. . . .. Cinq sur cinq
 
Rais wangu nadhifu jamani.........leo kaingia mkutanoni kachomekea.......duniani zaidi ya Obama na Kikwete nani mwingine anachomekea.........?........Aaaaaah.......sifa zake tumpe bana........RAIS KAPENDEZA........

Sioni kitu!
 
Mtu pekee niliyemuona kabadili nguo ni rais kwenye huo mkutano.........wengine wote kama wamerudia mashati.........hali ya hewa Dom ipoje.....?.......

Kuna baridi hawajaoga na wengine wemekesha bar
 
Mtu pekee niliyemuona kabadili nguo ni rais kwenye huo mkutano.........wengine wote kama wamerudia mashati.........hali ya hewa Dom ipoje.....?.......

We mwana. . . . . Kwa juzi was cold kama 24-26 sijui jana na leo
 
Na hicho kilikuwaga kigezo pia cha kuchaguliwa kwake, kwa hiyo hapo hakuwaangusha kabisa kwa miaka kumi:peace::peace:

Kanti bilivu mai aizi........aisee.......karibu sana wakwetu........muda sana.......
hapa sasa naamini 2005 sikudanganyika mwenyewe...........
 
  • Thanks
Reactions: bht
Kanti bilivu mai aizi........aisee.......karibu sana wakwetu........muda sana.......
hapa sasa naamini 2005 sikudanganyika mwenyewe...........
Kitambo wakwetu, si unajua tena! Huu ndo muda wa kuchungulia chungulia kimtindo huku. Vipi hali ya hewa huko home baada ya anko kuchinjwa ? Eti nikweli mlihamia chanikiwiti?:A S-cry:
 
Rais wangu nadhifu jamani.........leo kaingia mkutanoni kachomekea.......duniani zaidi ya Obama na Kikwete nani mwingine anachomekea.........?........Aaaaaah.......sifa zake tumpe bana........RAIS KAPENDEZA........

Mlianza na kusema JK ni Handsome mkampa kura,wanawake bwana
 
Cha kusikitisha zaidi ni kwamba eti kapendeza kwa kuvaa Polo shirt ya mirangi rangi kama bumblebee halafu kachomekea lakini ana mtumbo flani hivi na kule kuchomekea kumelifanya tumbo lining'inie ila kwenye macho ya wengine eti kapendeza....

Hahahaaa daaah I'm just SMDH!

But then again what do you do if that's their [or more precise, her] standard....?

You just shake your damn head and keep it movin':laugh:
 
Back
Top Bottom