Pamoja na yote kaka zangu

Maty

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
2,167
725
Kaka zangu pamoja na yote tunayozungumza humu wadada kwamba hatupendi mariooo, mara kibamia hitimisho ni kwamba mdada akikupenda kwa dhati hayo yote huwa hayajali kabisa kama huna pesa utapewa na kama una kibamia (ila kinachosimama) atakwambia tu nifanye hv na vile tukae staili hii ili mradi anajua hapa ndio atafika na taratibu mbaba utazoea na mtakuta mnaridhishana kikubwa mdada akupende na wewe ujiamini
 
Shida ya wanaume wakipewa pesa wanadai huyu mwanamke anajua sana kuhonga utasikia hata kwenye baaa amekaa eti aahhh nimeishiwa pesa ngoja nimpigie demu wangu aje na kweli anakwenda akifika ataanza kujisifia oohhh si niliwaambia nyine mmeona? Kumbe masikini ya Mungu we umejipendea zako tu.
 
hahah haahaha apo chacha!!!!!
ni kweli tupu ata km umempenda kweli na unamsaidia kikawaida tu ye ataona umemuhonga na apo dhana nzima ya penz itachakachuliwa na atakuchukulia km MUVABO ATM...!!!
 
MATY .....MATY..wanipa raha mie
dah mariooooo wanakuboa eennh?bt leo umewahurumia kdg
yap akikupenda demu uwez jali km ni marioo au kibamia...
niaje idd i mama ..nguo mpya tutapata??na viatu vpya....
 
Kaka zangu pamoja na yote tunayozungumza humu wadada kwamba hatupendi mariooo, mara kibamia hitimisho ni kwamba mdada akikupenda kwa dhati hayo yote huwa hayajali kabisa kama huna pesa utapewa na kama una kibamia (ila kinachosimama) atakwambia tu nifanye hv na vile tukae staili hii ili mradi anajua hapa ndio atafika na taratibu mbaba utazoea na mtakuta mnaridhishana kikubwa mdada akupende na wewe ujiamini

Naaaaam yaani ni namna ya kulikoroga zege unalizungusha zungusha na beleshi
 
hahah haahaha apo chacha!!!!!
ni kweli tupu ata km umempenda kweli na unamsaidia kikawaida tu ye ataona umemuhonga na apo dhana nzima ya penz itachakachuliwa na atakuchukulia km MUVABO ATM...!!!

Wee umeishamchakachua tembo wako najua
 
Ulipo ingia jamvini ulitangaza kutafuta mchumba, je ulisha pata?
Kaka zangu pamoja na yote tunayozungumza humu wadada kwamba hatupendi mariooo, mara kibamia hitimisho ni kwamba mdada akikupenda kwa dhati hayo yote huwa hayajali kabisa kama huna pesa utapewa na kama una kibamia (ila kinachosimama) atakwambia tu nifanye hv na vile tukae staili hii ili mradi anajua hapa ndio atafika na taratibu mbaba utazoea na mtakuta mnaridhishana kikubwa mdada akupende na wewe ujiamini
 
Kaka zangu pamoja na yote tunayozungumza humu wadada kwamba hatupendi mariooo, mara kibamia hitimisho ni kwamba mdada akikupenda kwa dhati hayo yote huwa hayajali kabisa kama huna pesa utapewa na kama una kibamia (ila kinachosimama) atakwambia tu nifanye hv na vile tukae staili hii ili mradi anajua hapa ndio atafika na taratibu mbaba utazoea na mtakuta mnaridhishana kikubwa mdada akupende na wewe ujiamini
haaaaa maty ulosema ni kweli kabisa halafu wanaume huwa hawajui tu mwanamke akikupenda kwa dhati kabisa na ukagundua huyu ananipenda nakwambia huwa tunakuwa vipofu wala hatuoni na suala la kusalitiwa huwa ndo halipo kabisa coz huwa tuaamini huyu anayenitaka hawezi kufanana na mpenzi wang,lakini wanaume kwani wanayajua haya?tabu tupu tena ukimuonyesha unampenda ndo vitimbi vitazidi atakuonyesha hana hata time na ww.
 
Shida ya wanaume wakipewa pesa wanadai huyu mwanamke anajua sana kuhonga utasikia hata kwenye baaa amekaa eti aahhh nimeishiwa pesa ngoja nimpigie demu wangu aje na kweli anakwenda akifika ataanza kujisifia oohhh si niliwaambia nyine mmeona? Kumbe masikini ya Mungu we umejipendea zako tu.

kwa maelezo yako hayo DA naona bado wanawake mna tatizo la kuwafahamu vizuri wanaume!nasisitiza bado hamjatujua vizuri!poleni........
 
haaaaa maty ulosema ni kweli kabisa halafu wanaume huwa hawajui tu mwanamke akikupenda kwa dhati kabisa na ukagundua huyu ananipenda nakwambia huwa tunakuwa vipofu wala hatuoni na suala la kusalitiwa huwa ndo halipo kabisa coz huwa tuaamini huyu anayenitaka hawezi kufanana na mpenzi wang,lakini wanaume kwani wanayajua haya?tabu tupu tena ukimuonyesha unampenda ndo vitimbi vitazidi atakuonyesha hana hata time na ww.

hayo mapenzi ya dhati unayoyasema yakuwapi nowadays????acheni zenu ninyi!kuyeyushana tu na kuzinguana ndo kumejaa siku hizi!mnapeana raha baada ya siku mbili kila mtu natime yake, ndo mtindo huo!ladies are so material-based nowadays!!!!!!!
 
Kuongezea, Kinadada mkipenda msipende kabisaaaa!, utapata Mdada yu tayari kumfanyia jamaa, kila kitu yaani amependa 110%, Nao madume hupenda lakini hawafikii 70%, ndo maana utapata bado jamaa ana jicho la kishogoni, japo apenda kimwana!!

Kinadada msipende jamaa kama malaika, hawa ni viumbe wa mungu!!!!!!!
 
tatizo la hawa kaka zetu wakigundua tu kuwa unawapenda mmmmh hivyo vitimbi vyake asikwambie mtu......hapa cha muhim ht kama umempenda usimwonyeshee kiviiile.....
 
kumbe eeeeeeeeh!
 
Mhhh.. hapo kwenye bold :bowl:
 
Back
Top Bottom