shaw
Senior Member
- Jan 22, 2012
- 143
- 70
Nilipata nafasi ya kwenda kusalimia mh Marando hvi karibuni kupata niseme jambo moja tu kwa Watanzania kua anahitaji faraja yetu sisi Watanzania lakini naamin atafarijika zaid akiona watu wa mlengo wake wakiwa karibu na yeye katika kipindi hiki kigumu anachopita kama tu tulivyo jumuika na Lema hatuna budi kuonesha moyo kama huo kwa Mwenzetu. Na nna dhani hili linaweza kuwa la maana sana kwake