Pamoja na Watanzania kumlaumu Magufuli, Wakenya walimkubali sana

Magufuli alimalizia tu project alizokuwa ameanzisha Kikwete, alikuwa ameshaziombea hela, hana.jipya la kujivunia, zaidi ya ukatili kwa binadamu wenzake!! Legacy yake ni uonevu na ukatili kwa wenzake kama vile wenzake ni wanyama wa mwituni, hilo ndo atajivunia hana jipya
Upo sahihi
 
Muacheni mhutu apumzike kwa amani maana "kasha umaliza mwendo" Kama ilivyo kwa binadamu wengine lazima mtu awe katika sehemu kuu mbili yaani pande mbili za coin mfano JPM alisimamia Sana nidhamu kwa watumishi wa umma lakini JPM huyo huyo alikuwa mvunjaji mkubwa wa Sheria.
 
Ukitaka kumfahamu vizuri JPM nashauri ulizia popote pale duniani lakini sio Jamii forum hapa kuna maadui zake tu
Aliowabambika kesi wako humumu, walioibiwa pesa zao na TRA wako humu humu, wale walioporwa fedha Bureu De Change wako humu humu, waliofukuzwa kazi eti vyeti feki wakati na yeye ana PhD feki waki humu humu, aliowaambia wakae na navi yao nyumbani wako humu humu.

Mcheza kwao hutuzwa.
 
Kukubaliwa kwa Magufuli na Wakenya siyo ajabu.Wao waliyaona ya nje tu, ya ndani hawakuyajua.

By the way,kuna Watanzania wanamkubali sana Iddi Amin ila Waganda hawakutaka hata kuiona maiti yake.
 
kama huna hoja si bora unyamaze,utapungukiwa akili ukinyamaza?
Hoja itajibiwa kwa hoja. Utopolo unategemea ujibiweje? Eti wakenya walimkubali magufuli! Kwa lipi hasa? Kwa kuchoma vifaranga? Kwa kutaifisha ng'ombe? Au kwa kuuwa biashara ya mahindi?
 
Mkuu amini usiamini Magu angeongoza kenya kwa miezi 3 tu, Nchi ingewaka moto yote.
 
Back
Top Bottom