Pamoja na Vita miezi 6, Libya bado umeme upo!!

The Khoisan

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
15,334
12,903
Nimekuwa nafuatilia TV siku especially jana na leo. Cha kushangaza pamoja na vita Tripoli bado kuna umeme na wala hakuna visingizio vya oh, mimi siyo Mungu kufanya mvua zinyeshe wala oh vita hivyo umeme hakuna.

Tumeona vilevile Egypt na Tunisia. Kweli nimeamini sisi tuna matatizo!!
 
kuna propaganda zimepangwa ulimwengu
uaminishwe kuwa Kamanda katutoka.
Hivyo yeye Gadaffi binafsi katuambia wanawe
kuwa wakitangaza tu habari hiyo basi tuwajibu
''We know he will not die.'' We know he will not die.
We know he will not die.
We know he will not die.
We know he will not die.
Allah akbar
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom