Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,591
Kumbe Mudy shoga, Asante nilikuwa sijuiBinti alikua mamaako ndio ukazaliwa shoga ww
Kumbe Mudy shoga, Asante nilikuwa sijuiBinti alikua mamaako ndio ukazaliwa shoga ww
Haya maneno huwa mnadanganyana kwenye kahawa.ndio tatizo letu waswahili
nimejaribu kugoogle israel car,ni kweli wanaunda car,lakini kwakweli ni masikitiko,yaani jamaa pesa yote inaishia kwenye silaha tu
Trump alipowakomalia wasikanyage marekani si uliwaona walivyolalamika. Wanalilia kuruhusiwa kuingia nchi ya makafir USA, wanachoma bendera ya marekani halafu Trump anawakomalia wanapiga kelele, au nayo hiyo ni porojo. Wanafiki wakubwa nyie Iran bado saana. Leo depo leo Syria limepigwa tena na hao hao Israel na wamewaambia wakiweka kambi Syria ni kichapo hapo hapo na wamefanya kweli.
Ushahidi umejaa google we searchWeka ushahidi hapa co unaongea tu
Ushahidi umejaa google we search
Andika IRANIANS PROTEST TRUMP VISA BAN.
Kuhusu mkong'oto wa ghala la silaha la iran syria jana ipo CNN kila siku sasa kwasaba wewe unaangalia TBC1 tu search kwenye google au jpost.com website ya Israel au check ya syria.
Kama lugha haipandi usirudi tena kwangu
Mjomba cheki Syria News askari wao 4 wameumia wanatslangaza syria wenyewe .Yani CNN!!!! na istoshe website ya israel!! Wote hao vibaraka unategemea kitachosemwa ni cha kweli!! Waafrika tuna tabu sana.
Yani CNN!!!! na istoshe website ya israel!! Wote hao vibaraka unategemea kitachosemwa ni cha kweli!! Waafrika tuna tabu san
Yani CNN!!!! na istoshe website ya israel!! Wote hao vibaraka unategemea kitachosemwa ni cha kweli!! Waafrika tuna tabu sana.
Ukimtoa Russia na mizizi yake ndan ya Iran, Iran hana lolote lileWENYEWE WANASEMA KAMA IRANI IKIACHIWA BILA YA VIKWAZO NDANI YA MIAKA 20 INAWEZA KUFIKIA LEVEL ZA JAPAN, NI TISHIO KUBWA SANA IKIACHIWA NDIO MAANA WANAIEKEA VIKWAZO, INAFIKIA MPAKA SASA ANATENGENEZA FIGHTER JETS ZAKE MAGARI YA KIVITA YA KISASA YAKE, BALLISTICS ZENYE UWEZO WA KUPIGA MASHARIKIYAKATI NA ULAYA YENYE UWEZO WA KUBEBA VICHWA VYA NUCLEARS, ANA S-300, ANA MIFUMO YAKE YA ANGA YA KUJILINDA MENGI AMBAYO ANAITENGENEZA MWENYEWE, KIUFUPI IRAN KABARIKIWA, TUNGEPIGWA VIKWAZO SISI MWAKA MMOJA TU TUNGEZIDI KUISOMA
Swali lililoulizwa na ulichojibu inaonyesha dish linasumbuliwa na upepoWANAITWA WENYE AKILI US NA ULAYA WANAWEKA VIKWAZO NA KUPIGA KELELE MIAKA 50 NYUMA WAKIPINGA MAENDELEO YA IRAN, WW ULIEKO MBAGALA UNAULIZA KWA VITU GANI WANAVYOZALISHA, BASI ITAKUA ATA HABARI MKUU HUFATILII , INGIA GOOGLE ALAF ANGALIA IRAN ANA MINERALS GANI AMBAZO ZINAWAUMIZA VICHWA WAZUNGU BUT WW MTZ UNAPINGA
Iran ni taifa la kigaidi lazima lifuatiliwe kwa ukaribuMkuu meza ya mazungumzo ata kipindi cha Obama ilikuepo na wakaondolewa baadhi ya vikwazo, sasa cha kushangaza Tramp kaja na mpya, sjui nn anataka tramp kwa hao waajemi, yy hataki ata meza ya mazungumo yaani ni ubabe tu
Hata internet unayotumia waliobun ni makafiri, kuanzia google, Facebook na mengineo, sasa unatumia product za watu unaowaita makafiri ajabu kweliVikwazo vya makafiri ndio vilivyofanya hivyo