Pamoja na vikwazo vyote lakini,,,,,,,Iran overtake israel in scientific research

Write your reply...mwenye picha ya gari made in israel,au hata kiberenge tu atuwekee hapa
Umeambiwa weka picha hapa.
Nyie Mnataka Ubishi Usio Na Sababu Tu! Haya Isiwe Tabu!

Made In Israel;
201.jpg

33093690315_9d9432058f_b.jpg
13734.jpg

Kavim_7305252_201311_01.jpg

Haargaz_Urbanit_bus_in_Central_Bus_Station_of_Petah_Tikva_-_02.jpg
 
nimejaribu kugoogle israel car,ni kweli wanaunda car,lakini kwakweli ni masikitiko,yaani jamaa pesa yote inaishia kwenye silaha tu
Si Kweli Mkuu Kwamba Hela Zimeishia Kwenye Silaha! Hata Kama Israel Wana Mapungufu Yao Lakini Tuwe Wakweli, Israel Wameplay Part Kubwa Sana Kwenye Sayansi Na Teknolojia Na Wameunda Vitu Vingi Tu Hasa Katika Upande Wa TEHAMA Mfano Mifumo Ya Computer; Hardwares And Softwares. Wame-Develope Vitu Kama Vile USB Flash Drive, Microprocessors n.k. Softwares; Mifumo Ya Driver-Assistance Inayotumika Na Makampuni Makubwa Ya Magari Kama Vile GM Motors, BMW n.k. Zipo Inventions Nyingi Tu Ambazo Wamezivumbua Pia Zipo Ambazo Ni US-Made Lakini Ukifuatilia Kiundani Utagundua Waisraeli Pia Wamehusika.

Huko Kwenye Military Pia Ndio Usiseme; Mifumo Ya Defence Kama Vile Arrow 3, Irone Dome, David's Sling n.k. Ni Teknolojia Ya Muisraeli.
 
Kama ingekuwa ni kweli basi wangekuwa wameishaifuta Israel ktk uso wa dunia kama alivyotamani rais wao.

Vv
 
uzuri kuna mtu katoa screenshot ya magazeti ya israel yakidai iran inaanza kuwaovertake katika Research and development,
mifumo ya kijeshi hata iran wanayo,ndo maana anga lake haliingiliwi,israel ni wazuri kwa software japo kuna mataifa kama south korea etc wanawapiga bao
 
Mahmoud Ahmadinejad Rais wa Iran aliyepita aliposema"SIKU MOJA ISRAEL ITAFUTWA KWENYE RAMANI YA DUNIA" siyo kwamba alikuwa anaongea kwa kutania tu, alikuwa anamaanisha haswaa.
 
uzuri kuna mtu katoa screenshot ya magazeti ya israel yakidai iran inaanza kuwaovertake katika Research and development,
mifumo ya kijeshi hata iran wanayo,ndo maana anga lake haliingiliwi,israel ni wazuri kwa software japo kuna mataifa kama south korea etc wanawapiga bao
Research and development Ranking sio kwa kufanya Research Kama research. Nadhani utakua umenielewa
 
Back
Top Bottom