Pamoja na vikwazo vyote lakini,,,,,,,Iran overtake israel in scientific research

Over the last two decades Iran has achieved great milestone in becoming a scientific superpower as its research and development productivity has grown dramatically, surpassing Israel in terms of production of scientific

Pamoja na propaganda zote hizo ukweli ni kwamba Iran raia wake wengi wana dandia maboti kwenda nchi za makafir kutafuta maisha bora.
 
WENYEWE WANASEMA KAMA IRANI IKIACHIWA BILA YA VIKWAZO NDANI YA MIAKA 20 INAWEZA KUFIKIA LEVEL ZA JAPAN, NI TISHIO KUBWA SANA IKIACHIWA NDIO MAANA WANAIEKEA VIKWAZO, INAFIKIA MPAKA SASA ANATENGENEZA FIGHTER JETS ZAKE MAGARI YA KIVITA YA KISASA YAKE, BALLISTICS ZENYE UWEZO WA KUPIGA MASHARIKIYAKATI NA ULAYA YENYE UWEZO WA KUBEBA VICHWA VYA NUCLEARS, ANA S-300, ANA MIFUMO YAKE YA ANGA YA KUJILINDA MENGI AMBAYO ANAITENGENEZA MWENYEWE, KIUFUPI IRAN KABARIKIWA, TUNGEPIGWA VIKWAZO SISI MWAKA MMOJA TU TUNGEZIDI KUISOMA
Nchi ngapi hazina vikwazo lakini hazijafika level ya Japan?! Usicheze na Japan wewe,hao Iran si waliondolewa vikwazo kipindi Cha Obama,Je nini kilibadilika zaidi ya kutumia mabilioni ya Dola kusapoti ugaidi kuanzia Lebanon mpaka Gaza huku raia wake wakiwa hoi kiuchumi. Juzijuzi tu hapa kulizuka maandamano Iran kupinga matumizi ya mabilioni Dola kusapoti Hezbollah na Hamas,Serikali ikatumia jeshi kuzima maandamano
 
Hii mbona inajulikana kitambo iran wapo juu more than taifa la shetani!!
Sasa kama ndivyo inavyojulikana basi Iran wakawashambulie Israel halafu uone kitakachotokea kwa Iran kisha njoo hapa useme tena Israel ni shetani. Ushetani umewapa wewe?
 
Kwani Obama kakaa miaka mingapi madarakani?? Tatizo lako unakuja humu kuhubiri misa mkuuu na unaongoea kichuki zaidi, maana nikikuuliza lini na kwa evidence gani uniletee lini Iran imesaport magadi, na labda nikuambie tu kuwa hao hizbullah sio magaidi wamo kwenye serikali halali ya Lebnon na pia hao Hama's sio magaidi wapo kwa ajili ya kuilinda ardhi yao, nikikuambia izrail ndio magaidi nitakua nakosea? Usiongee missa humu mkuu ata kama huipendi Iran

Kwani wanaosema Marekani anasapoti ugaidi wana Ushahidi?!
 
Nenda pakistan defence forum,halafu kuna subforum ya iran kisha tafuta uzi unaitwa made in iran,una karibu kila kitu kinachoundwa iran,mitambo,zana za kilimo,usafiri,silaha,madawa,mitambo ya mahospitalini etc
Bidhaa Kama Hizo Mbona Zinaundwa Nchi Nyingi Tu Duniani Tena Isitoshe Mchina Kakamata Soko Kikweli Kweli!
 
Sasa kama ndivyo inavyojulikana basi Iran wakawashambulie Israel halafu uone kitakachotokea kwa Iran kisha njoo hapa useme tena Israel ni shetani. Ushetani umewapa wewe?

Sasa aende akampige bila kuchokozwa! Wakati Uislam unakataza mpaka yeye akuanze! , pia uislamu unakataza kudhulumu na halikadhalika kukubali kudhulumiwa.
 
haha...irani wana ujuzi kweli...maybe ndio maana wanakua tishio kwa nchi za magharibi....lakini kusema kua wamewazidi wayahudi?? siriazi??
 
Kitu kikubwa ila walichofanya ni Mapinduzi ya kiislam sio Mapinduzi ya Kiuchum & Technology kuna ma Shekhy wengi kuliko sceincetist
 
Sasa kama wanaweza wakaendelea ndani ya vikwazo sasa kilio hicho cha nini? Halafu mbona wanafanya tu "Reverse Engineering", hawana ubunifu wowote wanaoweza kufanya.

Nashangaa watu hamna kabisa " Uzalendo" mnakaa tu kusifia vya wenzenu lkn vya kwenu hata wenyewe hamvijui..!! Very pathetic.
 
Back
Top Bottom