Pamoja na usomi wangu siachi matambiko na mila ng'oo

Jiulize hivi mkuu......Wachina wanaabudu kivyao, wazungu wana wao, wahindi wana wao, waarab wana wao, Africa jee?........ hujiulizi tu?......
Sio nijuilize ,Nisaidie majibu hayo juuu, then ntakupa majibu yangu,nishajiulizaga sana, hebu nitoe tongo tongo ktk maswal hayo, Bila kuruka hata moja, natumia ni mepesi kwako
 
Lazima utambike unajua hata Kwenye uislam nimeiona hii kitu wenyewe wanasema unapokuwa na mtoto kabla hajabalehe bhas mfanyie akhikah sijui km nimeandika Kwa usahihi lakin kitu hiki kinaenda na uchinjaji wa mnyama ni aina ya matambiko bhas mtu wa hv balaa nuksi anasikia tu.
 
Mimi na uislam wangu, na uchaga wangu, na usomi wangu siachi matambiko

Huu ndio ukweli unaotusumbua watu weusi, Wazungu wana dini yao, Waarabu wana dini yao, Wahindi wana dini yao, Wachina wana dini yao, na wanaziishi dini zao, ila cc waafrika tulizikataa dini zetu.

UPOTOSHAJI KUHUSU MIZIMU YA KIAFRIKA NA WAAFRIKA JUU YA UTUMWA WA FIKRA

UPOTOSHAJI KUHUSU MIZIMU

Sina haja ya kutoa salam. Kwani najua wengi hampo salama.

Nimeamua kuleta mada hii tata ili kuwafumbua macho walio wengi. Kwanza nakiri kwamba ukweli unashangaza sana. Truth is stranger tha finction. Asilimia 75% ya watu weusi ni watumwa.

Mizimu ni roho za watu ambao ni ndugu zetu waliokufa ambao wamekuwa trapped in 4th dimension na binadamu wa kawaida tupo third dimension. Wao ndio viumbe wa karibu na sisi sana ukizingatia kuna nine dimensions ulimwenguni. Wote sisi ni wasafiri. Na mwisho wa safari yetu ni tisa.

Wengi wa watu weusi wana laana ya asili kwa sababu ya utumwa wa fikra. Lakini silazimishi mtu akiamini kile nachotoa hapa. Kwani wengi wamekuwa trapped by by the matrix system.

Kila jamii zilizo tuzunguka zina miungu yao. Mfano wayahudi (waisraeli) wana mungu wao wa musa aliyetajwa kitabu cha mwazo. Wanasema ni mungu wa haki. Amesemwa ni mngu wa haki kwani ameweka sheria na adhabu kali kwa mwanadamu. Na mungu wa waisraeli ni mungu wa Time (muda) ambaye ameumba vitu. Sikatai.

Pili kuna mungu wa agano jipya chini ya yesu ambaye ni mungu wa upendo. Mungu huyu yupo na anaabudiwa na warumi( warumi ndio wazungu wa sasa hivi au roman empire)

Mungu wa waisraeli, warumi na waarabu ni mungu wa muda hata ukisoma vitabu vyao kila saa wanajisifu wao ndio wana control time.

Kila jamii za kidunia zina miungu yao mfano wahindi wana mungu brahma, kali, vishu na krishna nk., wachina wana budha pamoja na wajapani na watu wote wenye asili ya macho madogo mungu wao ni sanamu lenye tumbo kubwa linaitwa budha.

Waarabu mungu wao ni allah ambaye anawakiliswa na jiwe lipo maka linaitwa black stone jiwe jeusi ambalo lipo al kaba jiwe hilo lilishuka duniani toka kipindi cha adamu na hawa na watu wakienda kuhiji wanalibusu na kusujudia jiwe hilo kwa kulizunguka mara saba. Jiwe hilo linaitwa hajr al aswad.

Ni ibada ya kuabudu sanamu lakini waislamu wengi hawajui ukweli huu. Ndo mana wanipagana vita na kuwauwa watu weusi wenzao kwa makundi kama boko haramu na al shabab. Ni sawa na mawe yanayotumiwa kuchonga sanamu la yesu wa wakrito wakaliabudu. Haina tofauti wote waislamu na wakristo wote wanamuabudu Saturn au Kronos ndo mana waslamu wanaamini biblia ni kitabu cha mungu ambaye ni saturn katika nguzo zao za imani. Nasisitiza mungu wa wakristo ni Saturn pamoja na waislamu ili ujuwe huu ukweli lazima uwe INITIATE. Kawa wewe sio INITIATE utaishi kutoa sadaka na sijda.

Kronos Ndio mungu wa waislamu na wakristo. Na nguvu zake sio kamili kwani mungu halisi hatoi adhabu wala hataki kunyenyekewa ni mungu wa upendo haijalishi unafanya mabaya au hapana yeye yupo tuu wala hawezi kuhukumu kitu. Duniani tupo kwaajili ya kujifunza hivyo hakuna zuri wala baya. Inategemeana na tafsiri ya kile unachokiona nikzuri kwako kinaweza kuwa kibaya kwa mwenzako.

Kwa sasa kuna mawakala wengi sana makanisani na kisikitini wakiwaaminisha kuwa mizimu ni roho chafu za kuzimu ilihali wakijuwa wao wamepokea shahada za ki freemason ambazo ni ibqda za wazungu na hii ipo katika historia ya mqmbabu zao kwamba ndio asili yao wazungu. Wanawatoa watu weusi wenzao katika ukweli ili kulinda maslahi yao ya kidunia.

Wanachofanya hawa watu wazungu ni kututoa katika asili yetu na sisi kufata mambo yao.

Mzimu ni baba au mama yako aliyekufa je baada mzazi wako akifa utamchukia au utamkumbuka kwa wema aliokufanyia kwa malezi mpaka hapo ulipo fika.? Baba na mama yako nao wana wazazi wao ambao nao walisha tangulia mbele za haki mlolongo unaendela hivo. Lengo la ibada ya mizimu ni kutoa shukrani kwa walio tutangukia kwani wao wanatuona ila sisi hawatuoni ila sio kuwa abudu. Kuna tofauti ya kutoa shukranu na kuabudu mfano kujenga kaburi la ndugu au jamaa ni kuonyeaha shukrani fulani.

Wanachofanya watu wa dini mfano wakristo na waslamu kupiga vita mizimu hasara yake hutaiona hapa duniani na pindi utakapo kufa utawakuta ndugu zako na ma bibi na mababu zako ila hawata kupokea kama sehemu yao kwani wakati upo duniani uliwadhihaki na kuwa adui kwao.

Mizimu wanachotaka ni kuwa na hisia za kibinadamu kutowa sadaka mbali mbali kwao ikiwamo za wanyama kwani huwa wametuzunguka na mkikutana kama ukoo huwa wapo na hupenda.

Mizimu inapenda pombe maji au wanyama wanaochunjwa kwa hesma yao kwani ndio life style ya mwanadamu toka enzi watu wanakunywa pombe. Kwa vitu hivo unatengeza conection ya mafanikio yako hapa duniani na ukifa utakuwa na watu watakao kupokea. Ukifa unaenda sehemu ya ugenini lazima uwe na wenyeji walio kutangulia.

Kama ulivyo zaliwa hapa duniani ukapokewa na wazazi wako na ndugu zako na pia utakapo kufa jua kuna wenyeji ambao walisha kutangulia ambao watakupokea. Je hao wenyeji uliwafanyia jambo gani la maana kuonyesha heshima kwao. Wakati bila wao wewe usinge weza kuzaliwa. Kumbuka marehemu babu yako na bibi yako ndio walizaa wazazi wako ambao unawapenda. Na wazazi wako wana wazazi wao ambao wana wapenda na kuwakumbuka cheni ni ndefu sana kurudi nyuma mpaka wewe ukawepo hapo ulipo daganywa na stori za biblia ya warumi na kurani ya waarabu.

Dini zote ambazo mnaziabudu zote zililetwa na watesi wetu na kuwachukua babu na bibi zetu kama watumwa na wameua watu weusi wengi sana. Alafu leo unajifanya mlokole au mkristi safi au muslam safi jua unajidanganya na unaungana na maadui za wazee wetu na kusahau mila.

Ukoo hauishi, kama ulivyo pokelewa hapa duniani na wazazi wako utapokelewa na ahera na mizimu ya waliokutangulia kama ulikuwa unawatoa katika jina la yesu ndonutajua sasa utakapo ishia na mtu akifa kinachobakiwa nae ni kumbukumbu za maisha yake.

Watu weusi ni watumwa wa fikra za historia ipo wazi kuwa tulijishusha chini na kupokea tamaduni za watu wengine hasa waarabu na wazungu. Ili tufanikiwe gundueni tatizo lipo wapi kwanini tuna mali zote lqkini hatuna baraka tupo katika lindi la umaskini na kusalitiana?

Mfano wa wazi ni filamu ya vikings ambapo ragnar alisahau mizumi ya asili kwao kwa kupokea ukristo na mizimu ikamsahau. Ile filamu ni kwaajili ya kutoa fundisho usisahau ulipo toka.

Mimi siabudu mizimu ila natoa shukrani kwa wazee wangu wote waliotangulia mbele za haki ambao bila wao nisinge weza kuzaliwa na baba na mama yangu kwa kutia sadaka ya denge au maji au chochote nachotaka. Kuna mahali nimwekea alter maalumu ila hakuna anaye ishi hapo porini. Ila kwakuwa najua mizimu ipo na mimi inajua nachofanya.

Ombi langu kwako usigombane na mizimu ya watangulizi wako kwani huwezi jua kama wao ni mizimu huenda na wewe ukawa mzimu pia ila ukiwa mzimu wenye maaadui upande wa pili itakuwa ngumu kwako.

Heshimuni tamaduni zenu tukutane mwezi 12 nyumbani. Kuwa kwako mkristo autimatiki unaona waslamu wanaenda motoni wahindi wanaenda matoni na wayahudi pamoja na watoa shukrani kwa mizimu hii ndo mentality wa matrix wana kuwa na Ego kwamba wao dini yao ndo ya haki na wengine wapo dini ya uongo kumbe wote wamepotea.

Wewe unapokesha kumsifia mungu wa waisraeli usije kudhani eti baraka zinakujua kwako hapana zinaenda kwa waisrael na vilevile unavyo msalia mtume na allah baraka zote zinaenda kwa waarabu ndo mana mtu mweusi ni maskini wa mali akili na fikra.

Elimu hii sio ya ku google ni urithi wangu niliopewa. hivo usije kuniambia uislamu au ukristo ni dini ya haki nikikuomba ushahidi ukaniletea maneno kwa biblia imesema au qurani imesema wewe ulikuwepo au wewe ni mwarabu au mrumi.?
 
Attachments

  • VID-20210819-WA0055.mp4
    12.8 MB
Yani ungekuwa unaishi karibu na mimi ningekupa paja la mbuzi ukapike unywe na pombe yenu ya asili tena umwagie kidogo kwe makaburi ya wazee wenu!!! Huu ni moja ya UZI makini kuwahi kuandikwa Jamii forum aisee!!! Yan You have made my day aseeee!!!!nimefurahi mno mno tungekuwa na akili kama yako tungekuwa mbali sana ndugu yangu!!!
Eti unakuta lijitu jeusi kama mm linajifanya linaongea lafudhi ya kiarabu au linajifa lifuasi la ukristo puuuuuuu !!!! Hizi din tuzifate ila tujue tuna za kwetuu !!!asante kwa uzi bora!!!
Sasa subiri watumwa waje utaona
IMG_20210604_171937.jpg
 
Wewe sio muislam, short and clear. Uliyoyaandika kuhusu uislam na pamoja na kusifia ushirikina inaonyesha hujui lolote kuhusu uislam
Wewe huna islamu wowote unafata mkumbo tuuu!!! Hata mm ni mfata mkumbo hizo dini hazi tuhusu!?? Jiulize kabla ya uislam kuingia Afrika kulikua hakuna watu!?? Waliamini nini!!! Kabla wazungu kuja kulikua hakuna watu!?? Wsliamini nini!?? Waafirka amkeni!!!
 
Tatizo Waafrika hamkubari ukwel sijui mlirogwa na nani?

Wewe unajiita muislam wapi na wapi?

Muislam maanake ni wa ukoo wa Islam je wewe ni uko huo?

Mkristu maanake wa ukoo wa Kristu je wewe ni wa ukoo huo?

Acha ujinga sasa
Majinga hayaelewi kitu hayo
 
Kiukweli napenda sana matambiko na kuanudu (kuomba mizimu) ila sijui HOW TO.

Mtu yeyote anaeweza kunipa ABC nitashukuru sana
 
Wewe watoto wako umewaacha wafikishe miaka 18 ndo ukawapeleka kanisani au msikitini??
Ndio kanisani tulikuwa tunaenda wote lakini walipokuwa wakubwa ilibidi waamue wao kama wao kila mmoja kwa wakati wake kumfuata Bwana Yesu kama mwokozi wao (nadhani hii lugha sio ngeni kwako) bila mi kuwepo na sijawai kuwapeleka makaburini kwa Bibi Kinondoni pale. Kaburi la Bi. Mkubwa lipo upande wa kulia na kaburi la Kanumha Pale.

Maana Baba na Mama wote hawapo na Bibi na Babu na mdogo wangu na Shangazi, trip za makaburini itakuwa shida mbona. Mi ndio nacheki nyumba ya Bi. Mkubwa wao watacheki yangu mimi na sio kutambika ili eti dua zao zisaidie kuondoa mizengwe.
 
Kiukweli napenda sana matambiko na kuanudu (kuomba mizimu) ila sijui HOW TO.

Mtu yeyote anaeweza kunipa ABC nitashukuru sana
Ohooo mkuu achana na hiyo kitu ukiona usiku uko nje ya nyumba kwenye ndoto basi wameshakupa uchawi bila kujua utaanza kutafuta minofu ya binadamu.
 
Bonge la uzi, yaani we acha tu! Nilibatizwa nikiwa 18, eti walinicheka na jina langu la nyumbani (bila aibu wanasema jina la kishenzi) nikapewa jina la kizungu nikashangilia kama zuzu!! Tuzingatie mila zetu, tuwaachie za kwao. Mtaniita mpinga Kristu Ila ni ukweli.
 
Ndio kanisani tulikuwa tunaenda wote lakini walipokuwa wakubwa ilibidi waamue wao kama wao kila mmoja kwa wakati wake kumfuata Bwana Yesu kama mwokozi wao (nadhani hii lugha sio ngeni kwako) bila mi kuwepo na sijawai kuwapeleka makaburini kwa Bibi Kinondoni pale. Kaburi la Bi. Mkubwa lipo upande wa kulia na kaburi la Kanumha Pale.

Maana Baba na Mama wote hawapo na Bibi na Babu na mdogo wangu na Shangazi, trip za makaburini itakuwa shida mbona. Mi ndio nacheki nyumba ya Bi. Mkubwa wao watacheki yangu mimi na sio kutambika ili eti dua zao zisaidie kuondoa mizengwe.
Basi umuache na yeye awafundishe kuabudu kupitia mizimu, na wao wakifikisha miaka 18 watachagua wenyewe kama wanaendelea au lah, kama wa kwako walivyofanya
 
Mimi na uislam wangu, na uchaga wangu, na usomi wangu siachi matambiko

Huu ndio ukweli unaotusumbua watu weusi, Wazungu wana dini yao, Waarabu wana dini yao, Wahindi wana dini yao, Wachina wana dini yao, na wanaziishi dini zao, ila cc waafrika tulizikataa dini zetu.

UPOTOSHAJI KUHUSU MIZIMU YA KIAFRIKA NA WAAFRIKA JUU YA UTUMWA WA FIKRA

UPOTOSHAJI KUHUSU MIZIMU

Sina haja ya kutoa salam. Kwani najua wengi hampo salama.

Nimeamua kuleta mada hii tata ili kuwafumbua macho walio wengi. Kwanza nakiri kwamba ukweli unashangaza sana. Truth is stranger tha finction. Asilimia 75% ya watu weusi ni watumwa.

Mizimu ni roho za watu ambao ni ndugu zetu waliokufa ambao wamekuwa trapped in 4th dimension na binadamu wa kawaida tupo third dimension. Wao ndio viumbe wa karibu na sisi sana ukizingatia kuna nine dimensions ulimwenguni. Wote sisi ni wasafiri. Na mwisho wa safari yetu ni tisa.

Wengi wa watu weusi wana laana ya asili kwa sababu ya utumwa wa fikra. Lakini silazimishi mtu akiamini kile nachotoa hapa. Kwani wengi wamekuwa trapped by by the matrix system.

Kila jamii zilizo tuzunguka zina miungu yao. Mfano wayahudi (waisraeli) wana mungu wao wa musa aliyetajwa kitabu cha mwazo. Wanasema ni mungu wa haki. Amesemwa ni mngu wa haki kwani ameweka sheria na adhabu kali kwa mwanadamu. Na mungu wa waisraeli ni mungu wa Time (muda) ambaye ameumba vitu. Sikatai.

Pili kuna mungu wa agano jipya chini ya yesu ambaye ni mungu wa upendo. Mungu huyu yupo na anaabudiwa na warumi( warumi ndio wazungu wa sasa hivi au roman empire)

Mungu wa waisraeli, warumi na waarabu ni mungu wa muda hata ukisoma vitabu vyao kila saa wanajisifu wao ndio wana control time.

Kila jamii za kidunia zina miungu yao mfano wahindi wana mungu brahma, kali, vishu na krishna nk., wachina wana budha pamoja na wajapani na watu wote wenye asili ya macho madogo mungu wao ni sanamu lenye tumbo kubwa linaitwa budha.

Waarabu mungu wao ni allah ambaye anawakiliswa na jiwe lipo maka linaitwa black stone jiwe jeusi ambalo lipo al kaba jiwe hilo lilishuka duniani toka kipindi cha adamu na hawa na watu wakienda kuhiji wanalibusu na kusujudia jiwe hilo kwa kulizunguka mara saba. Jiwe hilo linaitwa hajr al aswad.

Ni ibada ya kuabudu sanamu lakini waislamu wengi hawajui ukweli huu. Ndo mana wanipagana vita na kuwauwa watu weusi wenzao kwa makundi kama boko haramu na al shabab. Ni sawa na mawe yanayotumiwa kuchonga sanamu la yesu wa wakrito wakaliabudu. Haina tofauti wote waislamu na wakristo wote wanamuabudu Saturn au Kronos ndo mana waslamu wanaamini biblia ni kitabu cha mungu ambaye ni saturn katika nguzo zao za imani. Nasisitiza mungu wa wakristo ni Saturn pamoja na waislamu ili ujuwe huu ukweli lazima uwe INITIATE. Kawa wewe sio INITIATE utaishi kutoa sadaka na sijda.

Kronos Ndio mungu wa waislamu na wakristo. Na nguvu zake sio kamili kwani mungu halisi hatoi adhabu wala hataki kunyenyekewa ni mungu wa upendo haijalishi unafanya mabaya au hapana yeye yupo tuu wala hawezi kuhukumu kitu. Duniani tupo kwaajili ya kujifunza hivyo hakuna zuri wala baya. Inategemeana na tafsiri ya kile unachokiona nikzuri kwako kinaweza kuwa kibaya kwa mwenzako.

Kwa sasa kuna mawakala wengi sana makanisani na kisikitini wakiwaaminisha kuwa mizimu ni roho chafu za kuzimu ilihali wakijuwa wao wamepokea shahada za ki freemason ambazo ni ibqda za wazungu na hii ipo katika historia ya mqmbabu zao kwamba ndio asili yao wazungu. Wanawatoa watu weusi wenzao katika ukweli ili kulinda maslahi yao ya kidunia.

Wanachofanya hawa watu wazungu ni kututoa katika asili yetu na sisi kufata mambo yao.

Mzimu ni baba au mama yako aliyekufa je baada mzazi wako akifa utamchukia au utamkumbuka kwa wema aliokufanyia kwa malezi mpaka hapo ulipo fika.? Baba na mama yako nao wana wazazi wao ambao nao walisha tangulia mbele za haki mlolongo unaendela hivo. Lengo la ibada ya mizimu ni kutoa shukrani kwa walio tutangukia kwani wao wanatuona ila sisi hawatuoni ila sio kuwa abudu. Kuna tofauti ya kutoa shukranu na kuabudu mfano kujenga kaburi la ndugu au jamaa ni kuonyeaha shukrani fulani.

Wanachofanya watu wa dini mfano wakristo na waslamu kupiga vita mizimu hasara yake hutaiona hapa duniani na pindi utakapo kufa utawakuta ndugu zako na ma bibi na mababu zako ila hawata kupokea kama sehemu yao kwani wakati upo duniani uliwadhihaki na kuwa adui kwao.

Mizimu wanachotaka ni kuwa na hisia za kibinadamu kutowa sadaka mbali mbali kwao ikiwamo za wanyama kwani huwa wametuzunguka na mkikutana kama ukoo huwa wapo na hupenda.

Mizimu inapenda pombe maji au wanyama wanaochunjwa kwa hesma yao kwani ndio life style ya mwanadamu toka enzi watu wanakunywa pombe. Kwa vitu hivo unatengeza conection ya mafanikio yako hapa duniani na ukifa utakuwa na watu watakao kupokea. Ukifa unaenda sehemu ya ugenini lazima uwe na wenyeji walio kutangulia.

Kama ulivyo zaliwa hapa duniani ukapokewa na wazazi wako na ndugu zako na pia utakapo kufa jua kuna wenyeji ambao walisha kutangulia ambao watakupokea. Je hao wenyeji uliwafanyia jambo gani la maana kuonyesha heshima kwao. Wakati bila wao wewe usinge weza kuzaliwa. Kumbuka marehemu babu yako na bibi yako ndio walizaa wazazi wako ambao unawapenda. Na wazazi wako wana wazazi wao ambao wana wapenda na kuwakumbuka cheni ni ndefu sana kurudi nyuma mpaka wewe ukawepo hapo ulipo daganywa na stori za biblia ya warumi na kurani ya waarabu.

Dini zote ambazo mnaziabudu zote zililetwa na watesi wetu na kuwachukua babu na bibi zetu kama watumwa na wameua watu weusi wengi sana. Alafu leo unajifanya mlokole au mkristi safi au muslam safi jua unajidanganya na unaungana na maadui za wazee wetu na kusahau mila.

Ukoo hauishi, kama ulivyo pokelewa hapa duniani na wazazi wako utapokelewa na ahera na mizimu ya waliokutangulia kama ulikuwa unawatoa katika jina la yesu ndonutajua sasa utakapo ishia na mtu akifa kinachobakiwa nae ni kumbukumbu za maisha yake.

Watu weusi ni watumwa wa fikra za historia ipo wazi kuwa tulijishusha chini na kupokea tamaduni za watu wengine hasa waarabu na wazungu. Ili tufanikiwe gundueni tatizo lipo wapi kwanini tuna mali zote lqkini hatuna baraka tupo katika lindi la umaskini na kusalitiana?

Mfano wa wazi ni filamu ya vikings ambapo ragnar alisahau mizumi ya asili kwao kwa kupokea ukristo na mizimu ikamsahau. Ile filamu ni kwaajili ya kutoa fundisho usisahau ulipo toka.

Mimi siabudu mizimu ila natoa shukrani kwa wazee wangu wote waliotangulia mbele za haki ambao bila wao nisinge weza kuzaliwa na baba na mama yangu kwa kutia sadaka ya denge au maji au chochote nachotaka. Kuna mahali nimwekea alter maalumu ila hakuna anaye ishi hapo porini. Ila kwakuwa najua mizimu ipo na mimi inajua nachofanya.

Ombi langu kwako usigombane na mizimu ya watangulizi wako kwani huwezi jua kama wao ni mizimu huenda na wewe ukawa mzimu pia ila ukiwa mzimu wenye maaadui upande wa pili itakuwa ngumu kwako.

Heshimuni tamaduni zenu tukutane mwezi 12 nyumbani. Kuwa kwako mkristo autimatiki unaona waslamu wanaenda motoni wahindi wanaenda matoni na wayahudi pamoja na watoa shukrani kwa mizimu hii ndo mentality wa matrix wana kuwa na Ego kwamba wao dini yao ndo ya haki na wengine wapo dini ya uongo kumbe wote wamepotea.

Wewe unapokesha kumsifia mungu wa waisraeli usije kudhani eti baraka zinakujua kwako hapana zinaenda kwa waisrael na vilevile unavyo msalia mtume na allah baraka zote zinaenda kwa waarabu ndo mana mtu mweusi ni maskini wa mali akili na fikra.

Elimu hii sio ya ku google ni urithi wangu niliopewa. hivo usije kuniambia uislamu au ukristo ni dini ya haki nikikuomba ushahidi ukaniletea maneno kwa biblia imesema au qurani imesema wewe ulikuwepo au wewe ni mwarabu au mrumi.?
Kamwe narudia kamwe mzungu hawezi kuzaa mtu mweusi. Hivyo kusema kwamba uzao wa Adam na Hawa ndiyo uzao wetu sisi watu weusi ilhali wao walikuwa ni wazungu ni uongo amboa mimi sikubaliani nao kamwe. Mota mada uko sahihi 100%
 
hebu lete andiko
yaani nyie watumwa mmekuwa mazuzu kabisa. Eti unataka nikuletee andiko tena bila shaka ni kutoka kwenye bible au quran.

Yaani ni ujinga wa kiwango cha lami mtu akikwambia TAZANI hakuwahi kuwepo, wewe ukamwambia aliwahi kuwepo. Akamwambia ulete ushahidi kama TAZANI aliwahi kuwepo kweli, wewe ukamuwekea CD ya TAZANI kwenye deki ukuoneshe huyo TAZANI ashuhudie

Ni ujinga wa kiwango cha lami mtu anakwambia SPIDER MAN hakuwahi kuwepo, wewe ukasema aliwahi kuwepo. Akataka ushahidi ukamuwekea CD ya movie ya SPIDER MAN alafu unamwambia angalia pale kwenye dakika ya 18:33 utamuona SPIDER MAN akipaa, na wewe ukauona ni ushahidi unaishikika

Na ji ujnga wa kiwango cha lami vile vile mtu anakwmabia Yesu hajawahi kuwepo na mbingu haipo, wewe unamwambia Yesu alikuwepo na mbingu ipo. Akakwambia umpe ushahidi ukaenda kumfunulia biblia ambapo yapo masimulizi ya Yesu na mbingu

Yaani wafia dini mmekuwa makondoo wa Yesu na Mohamad bila hata kufatilia hizo hadithi za vitabuni ziliandikwa na akina nani kwa madhumuni gani.

Shtukeni makondoo nyie
 
Mungu akusaidie umjue Yesu ili uekwepe moto wa milele
 
Back
Top Bottom