Pamoja na ulinzi huu wa kininja kwa polisi Lwakatare asaidia kutangazwa kwa matokeo

HarakatiNews

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
218
185
Lwakatare amesaidia utangazaji wa matokeo ya mtaa mmoja wa Bukoba uitwao Katatwolanso ambapo mgombea wa CDM alishinda. Matangazo yalichelewa hadi saa 5:00 asubuhi tangu kura kupigwa jana. chini ya polisi walivyovalia kininja matokeo yalitangazwa kwa mgombea wa CCM kupata kura 278 na ukawa 561.
 
Bukoba-Mitaa iko 66 CCM imepata 35 huku Ukawa 31 (CDM 29 na CUF 2) Pia wajumbe waliotakiwa ni 330 ambapo UKAWA imepata wajumbe 205 na CCM 125.
 
Hayo ndo mambo sasa ukileta matokeo ya jumla inasaidia sana na tunawashukuru harakatinews na makamanda wote,hongereni CDM kwa kuanza na mitaa mingi ikiwemo kata ya kashai ambayo ni tageti sana
 
Bukoba-Mitaa iko 66 CCM imepata 35 huku Ukawa 31 (CDM 29 na CUF 2) Pia wajumbe waliotakiwa ni 330 ambapo UKAWA imepata wajumbe 205 na CCM 125.
Wakuu hebu twende hatua zaidi wakati tunaripoti matokeo ... tuseme hapo kabla ccm ilikuwa na mitaa mingapi na sasa mingapi imeenda upinzani ama vice versa.... ahsnte kwa taarifa
 
Kilicho iangusha baadhi ya Mitaa ni UKUWA kusimamisha wagombea kwa tiketi ya CUF sio siri hii ndoa pia itaigharimu CDM ....laiti kata ya Bilele wangesimamisha wagombea wa CDM km ilivyokua Kashai ambapo CDM imechukua vyote 9 nadhani ata bilele mfano Omukigusha na Uswahilini CCM wamechukua dhidi ya CUF....
 
Tunaomba vyama Vya ukawa vyote viende kwa wananchi kuwaelimisha na kuwahamasisha viache kukaa ofisini, mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba. Wasije wakatuangusha kura za maoni ya katiba na 2015, Tafadhali sana wananchi tunawategemea.
 
Kwa matokeo haya ni ushara iliyo wazi kuwa 2015 upinzani unachukua inchi, nawashauri ukawa wajipange sawasawa na kuanzia january wajipange waende kwa wananchi wawaeleze ukweli ya nchi inapoelekea kwa hadi sasa nchi imeyumba haina mwelekeo tena Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rais wetu dr. Jakaya Kikwete
 
Kwa matokeo haya ni ishara iliyo wazi kuwa 2015 upinzani unachukua inchi, nawashauri ukawa wajipange sawasawa na kuanzia january wajipange waende kwa wananchi wawaeleze ukweli ya nchi inapoelekea kwa hadi sasa nchi imeyumba haina mwelekeo tena Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rais wetu dr. Jakaya Kikwete
 
Tunaomba vyama Vya ukawa vyote viende kwa wananchi kuwaelimisha na kuwahamasisha viache kukaa ofisini, mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba. Wasije wakatuangusha kura za maoni ya katiba na 2015, Tafadhali sana wananchi tunawategemea.

Hiyo ndio rai kuu kwa ukawa. Unafahamu taabu kubwa ya ukawa ni kujitangaza na kujiimarisha mijini tu na kusahau kura nyingi zipo vijijini. Kwa sasa wanayo manpower ya kutosha. Viongozi wote wa ukawa waende vijijini kuanzia sasa kutangaza elimu ya uraia na kufungua vituo na kutoa mafunzo kwa viongozi huko huko. Wangekuwa makini wakati wa ujazaji na urejeshaji fumu za wagombea wao pingamizi zisingekuwa nyingi hivyo haswa kwa chadema. Makosa ya wazi kabisa na ya kimtego yameonekana na yakitokea hivyo kwenye chaguzi zinazofuata kwenye uchaguzi mkuu itakuwa kilio kwao. Fomu zote zipitiwe kwa makini kubaini makosa kabla hazijarudishwa kwa wasimamizi. Viongozi wa ngazi cha chini wawezeshwe pikipiki kueneza vyama na pia vipaza sauti vidogo vya kutumia battery ambavyo thamani yake haizidi elfu 20. Viongozi watahadharishwe mapema na mbinu chafu zinazoweza kutumiwa na ccm n.k.
 
Aisee,ofcoz hata kaka Ruge amechangia sana kwa sisi kulose confidence,ofcoz magamba tumeyachoka...
 
Kama Bukoba- Kagera kumeamuka Basi ata Dar itaamuka tuondoe nduli Fisiemu

Sijaelewa unamaanisha nini lakini ulitakiwa urudi nyuma kabisa miaka ya 90's wakati vyama vingi vinaanza tayari Ndimara Tegambwage alishakuwa mbunge kupitia NCCR kabla hajaingia Rwakatare kupitia CUF mpaka anakuwa KUB ..na hata maeneo unayoyaona leo wapo wabunge wa CCM haimaanishi walikuwa wanashinda kwa haki zaidi zaidi zilikuwa ni hujuma kama unavyoona leo maeneo kibao,naamini umeelewa mkuu.
 
Kilicho iangusha baadhi ya Mitaa ni UKUWA kusimamisha wagombea kwa tiketi ya CUF sio siri hii ndoa pia itaigharimu CDM ....laiti kata ya Bilele wangesimamisha wagombea wa CDM km ilivyokua Kashai ambapo CDM imechukua vyote 9 nadhani ata bilele mfano Omukigusha na Uswahilini CCM wamechukua dhidi ya CUF....

wewe unataka kusemaje!!!? ndoa ni nzuri lakini viongozi hawakukujipanga vzr!
ilitakiwa kusoma mazingira chama kipi kinakubalika eneo hilo!
Next tme mbona magamba wanagaragazwa!!!
 
 frn65 vf77 G3z9X3vnD9KEAWcHAAAAAElFTkSuQmCC

tutakumbuka kwa mengi mambaya uliyotufanyia lakini kwakweli , hata siku ya kiyama usifufuke ubaki huko huko.

Ulitoka mavumbini na sasa umerudi mavumbini........jina la Yesu lihimidiwe.
 
Back
Top Bottom