HarakatiNews
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 218
- 185
Lwakatare amesaidia utangazaji wa matokeo ya mtaa mmoja wa Bukoba uitwao Katatwolanso ambapo mgombea wa CDM alishinda. Matangazo yalichelewa hadi saa 5:00 asubuhi tangu kura kupigwa jana. chini ya polisi walivyovalia kininja matokeo yalitangazwa kwa mgombea wa CCM kupata kura 278 na ukawa 561.