Pamoja na udhaifu wake lakini Mbowe kafanikiwa kwa hili dhidi ya wafuasi wa Chadema

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Igwe wanaJF

Pengine wangi hawajui kinachoendelea lakini kwa jicho la umakini utagundua pamoja na madhaifu makubwa lakini Mbowe kafanikiwa kwa kiasi kikubwa ku-brainwash wafuasi wa Chadema kwa kiasi kikubwa.

Unaweza ukafikiri ni nguvu za giza la hasha katumia udhaifu wa uelewa wa mambo na kupandikiza imani ya muujiza miongoni mwao.

Mbowe anajua kabisa anashindwa katika chaguzi lakini anafanya makududi kutengeneza sarakasi ili wafuasi waamini na huenda akatangaza kujitoa kwenye uchaguzi Kinondoni na Siha.

Kama ni ulozi Basi ni wa kiwango cha juu. Kudos Mbowe
 
Namna mbowe anavyowageuza geuza wanazi wa chadema hana tofauti na mchezaji mesi anavyowageuza mabeki wa timu pinzani namna atakavyo!
 
Wameshaanza kujiaminisha kuwa wakifa wanaenda mbinguni kwa sababu wao ni wafuasi wa Chadema.
Kumbe wakifa waende lumumba badala ya mbinguni? Wewe na hako kadem wakudadavuliwa mna undugu? Kama ndivyo mnawaza nini kumsaidia mdogo wake anayeolewa na mwanamke mwenzake?
Mwacheni mbowe na hangaikeni kutafuta vijinafasi vya uteuzi!
 
Wapuuzi tu hao makamanda. Huko mbinguni walishawahi kufika?
 
Hahaha zile movie za bandarini zimeisha sikuhizi hakuna press tena za ikulu pamepooza, hakuna story tena.
Hivi Dodoma hatuendi tena?! Au tunasubiria smelter ya Thompson wa makinikia ifike?!
 
Nlidhani mleta uzi ana maono ya mbali kumbe ni walewale wa kule kule wanaoishi kwa nguvu ya mopasho!!!!
 
Hicho alichonacho Mbowe ni kipaji cha kuzaliwa nacho, japo fani yake ni Dj wa music, makamanda kawatuliza kinoma
 
Wafuasi wa chadema wanapinduliwa tu kama chapati huku wakikenua,kuna wanaojielewa kinondoni wamesusa
 
Ile miwani yake Na macho ana act kuongea kwa kituo kama Mwanaharakati. Wakari huo mapimbi wametoa macho kumsikiliza Mi huwa siwaelewi. Hawajui target ya Jamaa ni ruzuku mapimbi wananishangaza Sana.
 
Igwe wanaJF

Pengine wangi hawajui kinachoendelea lakini kwa jicho la umakini utagundua pamoja na madhaifu makubwa lakini Mbowe kafanikiwa kwa kiasi kikubwa ku-brainwash wafuasi wa Chadema kwa kiasi kikubwa.

Unaweza ukafikiri ni nguvu za giza la hasha katumia udhaifu wa uelewa wa mambo na kupandikiza imani ya muujiza miongoni mwao.

Mbowe anajua kabisa anashindwa katika chaguzi lakini anafanya makududi kutengeneza sarakasi ili wafuasi waamini na huenda akatangaza kujitoa kwenye uchaguzi Kinondoni na Siha.

Kama ni ulozi Basi ni wa kiwango cha juu. Kudos Mbowe
1518284361705.png
Days our go,
 
Back
Top Bottom