Pamoja na udhaifu wake ila kuna kilichokuvutia kuoa/kuolewa, tuambie tujifunze

Sokoro waito

JF-Expert Member
Nov 21, 2014
2,201
2,586
Natumai hamjambo,

Wazee wetu wenye busara huwa wana mtazamo chanya juu ya swala la kuchagua mwenzi wa maisha huku wakisisitiza kutokuwa na vigezo vingi na vigumu wakati wa kutafuta mke au binti anapotafutwa na mme.

Nikagundua kupitia maongezi yake kumbe waume wema huoa wake wenye udhaifu na uimara pia, lakini akanambia hatahivyo kila mme ana kitu fulani kilichomvutia hata akamuoa huyo mke.

JE WEWE KILICHOKUVUTIA UKAMUOA AU UKAOLEWA NAYE NI NINI, JAPOKUWA ANA UDHAIFU WAKE?
 
uzuri wake wa kila idara umenifanya niwe naye ila sio kwa ndoa licha ya kuwa tumepangwa kama watano

jirani yangu baada ya kuambiwa demu wako anapenda kushinda uchi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom