Pamoja na treni nzuri bado Wachaga wanateseka na magari yao njiani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,949
22,115
Nikiwa narejea Dar toka Arusha mchana saa saba tukiwa na gari la ofisi

Pamoja na treni nzuri janà nimehesabu magari 13 yamepaki pembeni wengine wakiambiana kabisa utàlala wewe leo kwenye gari

Naamini si mbaya kusafiri na usafiri priv lakini kama.mnaweza pandeni hata basi kuepuka mahasibu kama yaliotokea jana

Niliumia zaidi kuona malawyer wangu wawili gari tofauti zimepaki

Imani ikanishinda nikapaki tukapata soln ya gari moja lingine ilibidi waje wah waliobobea
 
Pdidy,
Ni kweli kabisa treni iliyopo sasa bado kabisa, haiwezi kutatua matatizo ya usafiri Tanzania yetu, achilia mbali kipindi hiki cha x-mass. Tunapaswa kuwa na mabehewa mengi zaidi; inashangaza tuna abiria wengi mno badala ya hawa abiria kuwa fursa, wanageuka kuwa karaha. Angalia Mwendokasi Dar, badala ya abiria kuwa fursa wanakuwa kero, kweli Tz tunahitaji rais mjasiriamali.
 
Kipnd hiki cha sikukuu Magari ya abilia yanatumikoshwa kupita kiwango..
Meng asaiv ni go and return hata km hayana uwezo wa kukaa barabarani Masaa zaid ya 12 nonstop
Matokeo yake mengi unayakuta wamii

Kipnd hiki kukuta basi hata Kumi zimefail wami ni kawaidaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom