Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,129
- 18,743
- Thread starter
- #61
Ni jibu la kukosa akili. Ikiwa hampendezwi na wao kuwaweka katika kundi la nchi masikini kuliko zote duniani, msipendezwe na wao kuwaweka katika uchumi wa kati kwa sababu ni watu hao hao.Waliotuweka kwenye orodha ya nchi masikini yaani LDc ndio hao waliotuweka kwenye nchi zinzifikia Uchumi wa Kati
Labda kawaulize wao ndio watakupa majibu, vinginevyo ni ule mwendelezo wa kupinga hata visivyopingika
Lakini tunawajua mlivyo wanafiki - leo mtaita watu wafadhiri, kesho mabeberu