Laiti kama Bob angeishi muda mrefu kama Michael basi wangelingana...wengi tushiakuwa watu wazima sana ila tulikuta Bob kashiafariki pamoja na hayo bado nyimbo zake tunazijua...all in all wote wakali sanaaaBob Marley aliimba Reggie na Michael Jackson aliimba Pop style, lakini kila mmoja wao alijizolea umaarufu mkubwa ulimwenguni kutokana na kazi zao kuvuta hisia za watu wengi
View attachment 787003
Pia wengi wanasema Bob marley nyimbo zake zilikuwa na mashairi yenye ujumbe mzito ambao ulivutia watu wengi. Na Michael jackson nae hivyo hivyo
View attachment 787005
Je kati ya hawa nani ambaye alitisha zaidi na hatokaa asaulike pamoja na aina za miziki yao kuwa tofauti?
NANI ZAIDI?
Sent using Jamii Forums mobile app