Pamoja na mziki wao kuwa tofauti je kati ya Michael Jackson na Bob Marley nani alikubalika zaidi ulimwenguni

Richard R Monyo

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
242
265
Bob Marley aliimba Reggie na Michael Jackson aliimba Pop style, lakini kila mmoja wao alijizolea umaarufu mkubwa ulimwenguni kutokana na kazi zao kuvuta hisia za watu wengi
MI0003146038.jpeg

Pia wengi wanasema Bob marley nyimbo zake zilikuwa na mashairi yenye ujumbe mzito ambao ulivutia watu wengi. Na Michael jackson nae hivyo hivyo
michael-jackson-curly-black-hair-1170x600.jpeg

Je kati ya hawa nani ambaye alitisha zaidi na hatokaa asaulike pamoja na aina za miziki yao kuwa tofauti?

NANI ZAIDI?
 
Kila mzuiki una mtu wake mashuhuri, kwenyr rege bob hawezi sahaulika, kwenye pop michael hawezi sahaulika, kwenye hip hop 2pac hawezi sahaulika, ukisema nani maarufu lazima ujue kila mtu ana zama zake hapo, bob alikuwa maarufu sana hata akiwa marehemu jina lake lilivuma sawa na michael alipokuwa mzima, bob alipendwa sana na kizazi fulani na jamii fulani....mziki wa bob unasikilizwa sana kuliko mziki wa michael kwa sasa....
 
So bob ndio zaidi?
 
Bob Marley aliimba Reggie na Michael Jackson aliimba Pop style, lakini kila mmoja wao alijizolea umaarufu mkubwa ulimwenguni kutokana na kazi zao kuvuta hisia za watu wengi
View attachment 787003
Pia wengi wanasema Bob marley nyimbo zake zilikuwa na mashairi yenye ujumbe mzito ambao ulivutia watu wengi. Na Michael jackson nae hivyo hivyo
View attachment 787005
Je kati ya hawa nani ambaye alitisha zaidi na hatokaa asaulike pamoja na aina za miziki yao kuwa tofauti?

NANI ZAIDI?

Wote wawili walikuwa vizuri sana. Try to appreciate both of them in their own right.
 
Bob Marley aliimba Reggie na Michael Jackson aliimba Pop style, lakini kila mmoja wao alijizolea umaarufu mkubwa ulimwenguni kutokana na kazi zao kuvuta hisia za watu wengi
View attachment 787003
Pia wengi wanasema Bob marley nyimbo zake zilikuwa na mashairi yenye ujumbe mzito ambao ulivutia watu wengi. Na Michael jackson nae hivyo hivyo
View attachment 787005
Je kati ya hawa nani ambaye alitisha zaidi na hatokaa asaulike pamoja na aina za miziki yao kuwa tofauti?

NANI ZAIDI?

Hivi unaweza kumpambanisha Golikipa na Fowadi na ukategemea kupata majibu ya Kina ambayo yatakutosheleza kweli?
 
Hao wote wakiimba music tofauti wenye ujumbe tofauti.kwangu Mimi wasanii bora hadi sasa na watakaoendelea kuwa bora hadi naingia kaburini ni Lucky Dube,Michael Jackson na 2pac watu hawa kila siku ziendazo kwa mungu lazima nisikilize nyumba
Wako jacko alitisha mkuu
 
Back
Top Bottom