Pamoja na miundombinu bora ya Ethiopia, bado Wananchi ni masikini. Watanzania tujitafakari

Kila kona ya nchi yetu, watanzania wanafurahia kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Mheshimiwa Rais Magufuli katika sekta ya elimu ikiwemo kutoa elimu bila malipo kwa shule za msingi na sekondari Mpaka mwezi Februari 2020, serikali iligharamia malipo hayo kwa shilingi trilioni 1.01 ikiwa inatoa wastanin wa bilioni 23 kila mwezi kulipia elimu hiyo kwa watoto maskini wa wakitanzania.

Mbali na kutoa elimu bure, serikali ya Mhe Rais Magufuli imeongeza idadi ya shule za msingi kutoka 16,899 mwaka 2015 hadi 17,804 mwaka huu; na shule za sekondari kutoka 4,708 mwaka 2015 hadi shule 5,330 mwaka 2020. Vilevile, serikali mekarabati shule kongwe za sekondari 73 kati ya 89. Shule hzo sasa ni nzuri san ana ukarabati kwa shule zilizosalia unaendelea.

Katika kuboresha mazingira mazuri ya masomo kwa Watoto wetu, serikali imejenga mabweni 253 na vyumba vya maabara ya 227. Aidha, serikali ya JPM metoa vifaa kwenye maabara zipatazo 2,956 na imepunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la uhaba wa madawati, ambapo idadi yake imeongezeka kutoka madawati 3,024,311 mwaka 2015 hadi kufikia 8,095,207; sawa na ongezeko la zaidi ya asilimia 200.

Utawala wa Mheshimiwa Rais Magufuli pia umeongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu kutoka shilingi bilioni 348.7 mwaka 2014/2015 hadi shilingi bilioni 450 mwaka wa Fedha 2019/2020

Kutokana na hatua hizo, uandikishaji wa wanafunzi wa darasa la kwanza umeongozeka maradufu kutoka wastani wa wanafunzi milioni 1 mwaka 2015 26 hadi kufikia milioni 1.6 hivi sasa. Aidha, idadi ya wanafunzi wa kidato cha I – IV imeongezeka kutoka 1,648,359 mwaka 2015 hadi 2,185,037. Idadi ya wanafunzi wa VETA imeongezeka kutoka 117,067 mwaka 2015 hadi 226,767 mwaka 2020; na idadi ya wanafunzi wa Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC) imeongezeka kutoka 6,693 mwaka 2016/17 hadi 9,736 mwaka 2018/19.

Kwa upande wa vyuo vikuu, idadi ya wanafunzi wanaojiunga mwaka wa kwanza imeongezeka kutoka 65,064 mwaka 2015 hadi 87,813 mwaka 2020; na wenye kupata mikopo wameongezeka kutoka 98,300 mwaka 2014/2015 hadi 130,883 mwaka 2019/2020. (Takwimu zote ni kwa mujibu wa hotuba ya Mhe Rais Magufuli wakati wa kufunga Bunge tarehe 16 Juni 2020)

Ubora wa elimu pia umeongezeka sana kutoka na uwekezaji wa elimu uliofanywa na Serikali ya JPM. Mwezi Agosti mwaka huu tulishuhudia katika matokeo ya mtihani wa kidato cha Sita, katika shule 10 bora kitaifa, shule za Serikali zilikuwa 8 na shule mbili tu za watu binafsi. Na katika shule hizo 8 za serikali shule 3 ni za kata ambazo ni Kasimiri, Mwandeti na Dareda . Shule kongwe za serikali katika orodha hiyo ya kumi bora zilikuwa ni Mzumbe, Shule ya wasichana Tabora, shule ya wavulana Tabora, Iiliboru na Kibaha.

Viva Mhe Rais Magufuli. Watanzania tunakwenda kukuchagua kwa kura nyingi Oktoba 28 ili tuendelee kupata elimu bila malipo na mikopo ya masomo vyuo vikuu tena inayotolewa kwa wakati bila kusubiri kwanza migomo. Tunakwenda kukuchagua ili shule za serikali ziendelee kung’aa katika ubora. Tukikupa miaka mitano mingine tutashuhudia watanzania wakipendelea zaidi watoto wao wasome shule za serikali kuliko shule binafsi kama ilivyokuwa zamani. Tutakuchagua wewe mwana maendeleo. Watanzania wapenda maendeleo tumchague Rais Magufuli.
 
Sera kama za magufuli na viburi vya marais wao. Kama sie hapa. Wanadhani vitu ndo maendeleo ndo.maana athubutu kusema siwaongezee mishahara najenga nchi.
 
Nchi hii ccm wameichukulia kama shamba la bibi na kuwarubuni watanzani kwa vimiradi vidogovidogo. Angalia Masanja na vitabia vyake. Watanzania wenye sifa zakijinga.
 
Jamani ni kweli tunafata nyayo za Ethiopia? Nauliza maana ni kama tunaanza kufanana ndege, mareli, umeme miradi, mbona kama tunafanana nao tu halafu wao pia hawatoagi ajira na serikali inadhibiti kila kitu.

Halafu wao wanaangalia maendeleo ya vitu kama sisi tu tumeanza kufanana nao.

Naogopa kwamba yakitukuta kama ya Waethiopia walivyo na maisha magumu wanakimbia nchi kila siku, hakuna ajira na watumishi kule hawajapanda madaraja jamaa mmoja nachat nae mwithiopia alibahatika kupata nafasi ya ajira ana degree mshahara dola 60 kwa mwezi na hakuna cha kupanda madaraja.

Tanzania itafanana na Ethiopia, nahofia sana.
Wazungu walianza kukimbia nchi zao miaka mingi sana - hata Ethiopia walienda na bado wanaenda. Huyo aliye kupa hayo mawazo anafikiri wazungu ni bora!
 
Hivi ni kwanini serikali ya Ethiopia ilishaamua maisha ya wananchi wake yawe magumu kiasi kile?
Last week nimetoka huko, nilikaa wiki moja addis ababa, hotel zao nyoko sana, kuna moja iko karibu na airport inaitwa sky duuh nilitamani kutotoka nje the way kulivyo kukali, but chakula chao kibaya sana sana

Mji mzuri sana, flyover za kufa mtu, ila omba omba kibao, nashangaa mnavyosema kuna masikini sana
 
Na ndege zao zaidi ya 100 zimewasaidiaje raia wa kawaida wa nchi hio?

Ma flyover yao pale Addis Ababa yamezuiaje waethiopia wasije kufia kwny makontena huku bongo?Tena wana ma-flyover ya ukweli kweli achana na hizi za mfugale type

Productivity za SGR zao zimewasaidiaje wana nzengo wa huko?

Wao Ethiopia kua Africa’s leading international hub kumewasaidiaje raia wao?Na by the way kiwanja chao cha Ndege kikubwa cha Bole Intl Airport kiko kwny top 5 ya viwanja vikubwa Africa.
We kweli unapafahamu

Ile airport yao Bole int. Ni nuksi, uwanja mkubwa balaa, wana midege mingi kama daladala,

Niliambiwa reception natakiwa kukaa C 10 nisubiri ndege yangu ya kunirudisha bongo asee nilitembea na kupanda milift mpaka nikachoka, distance ndefu sana mweeh!

Ila waethiopia wadada Wana sura, rangi, na nywele nzuri ila shape sifuri sifuri
 
Wanapenda mnoo kuolewa na watu wa nje ya ETH.. Ethiopia ndiyo nchi yenye raia wengi waliokimbia nchi yao na kwenda kuishi nje
Kumbe ndo maana hostess full kujipendekeza kwa abiria eeh?
 
Serikali haikutafutii chakula, serkali inakuwekea mazingira rahisi ya kutafuta chakula

Chadema ulaghai wenu kwisha Habari
 
Mbn hao wahamiaji haramu huwa wanakuwa na feza nyingi za kuong kupitishwa maborder ..Nina jamaa angu uhamiaji anakuambia muethiopia kukupa dola elf kumi haoni ajabu kwake ili tu umsadie kufuka jamaaa angu yule Ni tajiri haswa
 
Back
Top Bottom