Pamoja na mgao mkali wa umeme, wizi upo palepale. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pamoja na mgao mkali wa umeme, wizi upo palepale.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by msnajo, Mar 12, 2011.

 1. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Watz tupo katika giza sababu ya mgao wa umeme ambao haujulikan lini mwisho wake. Jambo la kushangaza mno ni kwamba pamoja na huu mgao, wateja wa Tanesco wanaotumia mita za zaman wanalipa bill kama zaman na wakati mwingine zimekuwa zikipanda! Hapa nashindwa kuelewa inakuje matumizi yamepungua lakin bill inaback kama mwanzo. Ukiuliza unajibiwa kuwa ni matumizi yako kwa hiyo lipa! Huu ni ukatili kwa watz walio maskin ambao hata baada za miaka 50 za uhuru bendera, bado tupo gizan. Sababu zinazotolewa ni kuwa mvua hazinyeshi, swali, "mbona majiran zetu hakuna mvua ila cjackia matatizo haya?" Cjamlaum yeyote, naomba tuchangie hoja.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Matumizi yamepungua ila gharama ya umeme imeongezeka ndio maana malipo yapo pale pale.
   
 3. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,053
  Likes Received: 294
  Trophy Points: 180
  Waizi hawa jamaa afu wamezoea! Siwapendi kama njaa.
   
Loading...