herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,129
- 4,712
Si ndio hapo. Yani Mungu huyu huyu anayetusisitiza tupendane (mpende jirani yako Kama nafsi yako) ndio atuletee mtu asiye na upendo na aliyejaa chuki kuu na ukatili moyoni mwake??Wewe ni boya mmoja tu, eti nchi ilifunga ili kumpata JPM baada ya kumpata kafanyaje?
Unadhani Mungu anasikia maombi ya watu wapumbavu?
Ukivuta taswira ya Mungu alivyo, Unadhani Mungu anavaa suti?
Mungu hawezi kuweka kiongozi Dikteta, muuaji, katili Kama JPM wako, viongozi wanaowekwa na Mungu ni viongozi wenye hekima, Hitler, Saddam, Mobutu ,Idd Amin na JPM wako ni zao la Ibilisi