Uchaguzi 2020 Pamoja na Mapungufu ya Magufuli akisimama mwaka 2020 na wafuatao ntamchagua tena

Hebu tusaidie na sisi...
Zitto Kabwe kafanya mambo gani Kwa Jamii ili watanzania Tumuamini tumpe kura
..kwangu mimi kumchagua Magufuli ni sawa na kukubali ukatili, ubaguzi, na upendeleo, uendelee.

..hatuwezi kuwa na nchi ambayo haina haki sawa kwa wananchi wote. hakuna haki sawa kisiasi, kiuchumi, na kijamii.

,,kwa mtizamo wangu Zitto Kabwe will make a much better President than Magufuli.
 
Orodha ikiongezwa
7. CDM ni TL au Mbo.. au Ex-ccm
8.TLP ni JpM
9.
Nadhani kipindi cha Mchonga Meno ilikuwa yeye na kivuli. Bado atashinda
 
Ikitokea Magufuli akasimama na wafuatao,
1.Magufuli - CCM
2.Zitto Kabwe - ACT Wazalendo
3.CHAUMA- Hasim Rungwe
4.CUF - Ibrahim Lipumba
5.Dovutwa
6.Chief Lotalosa yembe

Sina budi kumpa kura yangu Magufuli, kwakuwa aliosimama nao hawana u serious wowote,

Pia itategemea Chadema atasimama nani,

Simba akizidiwa ula Nyasi

Britannica
Wapinzani ndio wanaotungusha nchi hii, ujinga walioufanya 2015 inaligharimu Taifa kwa muda mrefu sana.
 
Mimi nitaungana na watanzania wengi kutopiga kura hadi itakapopatikana katiba mpya.

Katika muktadha huu ambao nguvu ya CCM ni mchanganyiko wa CCM+POLISI +VYOMBO VINGINE VYA DOLA, kushiriki uchaguzi ni sawa na kulima nafaka kwenye hifadhi ya wanyama pori.
Kushiriki uchaguzi ni sawa na kulima nafaka kwenye hifadhi ya wanyama pori.Ni Sawa na kuweka maji kwenye gunia au Kujaza upepo kwenye gurudumu lililotoboka.

Nimejaribu kufuatilia utaratibu wa zima moto unaoendelea wa kuandikisha na kutoa vitambulisho vya kupiga kura Tanzania nzima nikagundua nia na lengo lao ni ileile kama walivyozoea.

Kwa utaratibu huu hata asiyemtanzania anachukua kadi.Na hili sio kwamba halijulikani ila tu lengo Lao wanalijua litimie.Ila kwa mwendo huu na kasi hii ajali in a one kana wazi. ndo maana Wanasema kushiriki uchaguzi ni Sawa na kulima nafaka kwenye pori la wanyama.

Mwenye akili fikiria unakwenda kituoni na picha.Hakuna cha kuthibitisha Uraia wako au cha kuthibitisha uwepo wako eneo ulilotokea.Hata Jina la balozi wake Halijui.Anapewa kadi.Hii ni nini Sasa.

Watanzania wa sasa sio wajinga.
 
Ikitokea Magufuli akasimama na wafuatao,
1.Magufuli - CCM
2.Zitto Kabwe - ACT Wazalendo
3.CHAUMA- Hasim Rungwe
4.CUF - Ibrahim Lipumba
5.Dovutwa
6.Chief Lotalosa yembe

Sina budi kumpa kura yangu Magufuli, kwakuwa aliosimama nao hawana u serious wowote,

Pia itategemea Chadema atasimama nani,

Simba akizidiwa ula Nyasi

Britannica
Mbona umemshindanisha na watu dhaifu? Ina maana kule CHADEMA hukuona majembe?
 
Back
Top Bottom