Pamoja na mambo makubwa yanayotekelezwa na Serikali ya awamu ya 5, hii ndio CHADEMA

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
IMG-20171118-WA0021.jpg
IMG-20171118-WA0022.jpg


Kwa wanaojiuliza na kujifariji kua kuna mambo makubwa yanayifanyika awamu hii, wananchi wao wameikataa kabisa CCM, Yanayofanywa na serikali awamu hii hayajawagusa kabisa.

Wamegoma kuisikua CCM pamoja na kutumia nguvu kubwa kumaanisha wanayoyafanya lakini bado waneona kua hata malaika aibukie CCM hawezi kubadili taifa lao. Bado wanaendelea kuyasaka mabadiliko hawajachoka.

Cha msingi vyombo vyetu vya dola vitumie sheria zilizo kwenye katiba yetu kuwatumikia wananchi badala ya kulalamikiwa kuwabeba CCM ambao bado umma unaonekana kuwakataa, Wananchi wamewakataa CCM ambao walikiri kutumia pesa za umma ilikulazimisha kupendwa.
 
Msiseme mmeibiwa Kura tuu....maana the main issue mnayoiongeleaga kila siku,kila uchaguzi hamjawahi kufikiria kuisolve wala kuitafutia utatuzi lakini mnaishia kujifariji kwa vitu vidogo sana ambavyo toka enzi ya Mrema vilikuwepo,akaja Lipumba vikatokea na hata Lowassa 2015 ilitokea na tukaona matokeo yake.

mpaka sasa hamtaki kusolve the main issue mnajifariji kwa vitu vya ajabu ajabu sana na vidogo kwa macho.
 
View attachment 633349 View attachment 633347 View attachment 633349 View attachment 633347 Kwa wanaojiuliza na kujifariji kua kuna mambo makubwa yanayifanyika awamu hii, wananchi wao wameikataa kabisa CCM, Yanayofanywa na serikali awamu hii hayajawagusa kabisa.

Wamegoma kuisikua CCM pamoja na kutumia nguvu kubwa kumaanisha wanayoyafanya lakini bado waneona kua hata malaika aibukie CCM hawezi kubadili taifa lao. Bado wanaendelea kuyasaka mabadiliko hawajachoka.

Chamsingi vyombo vyetu vya dola vitumie sheria zilizo kwenye katiba yetu kuwatumikia wananchi badala ya kulalamikiwa kuwabeba CCM ambao bado umma unaonekana kuwakataa, Wananchi wamewakataa CCM ambao walikiri kutumia pesa za umma ilikulazimisha kupendwa.
Nyomi mbana ni single yenu tangu enzi ya Dr.Slaa? ???? Kura ndiyo muhimu bana
 
Hakuna kiongozi wa upinzani aliyekuwa unakusanya nyomi kama mrema hivi vitu ni kawaida mwisho wa siku sanduku la kura huwa lina amua nani anafaa kuliongoza taifa hili pendwa la Tanzania
Endelea kuamini upuuzi, “bandu bandu humaliza gogo” unaweza usione sasa lakini effect yake itaonekana tu hata kama ni baada ya miaka 50. Ulitegemea Mugabe angekumbwa na msukosuko wa namna hii hasa baada ya kupigiwa vigelegele na wananchi walala hoi baada ya kuwanyang’anya wazungu na matajiri mashamba? Alionekana shujaa na mzalendo lakini leo wanasema wamemchoka aende zake.
 
TATIZO LA VYAMA VYA UPINZANI NI KATIBA INAYOHALAISLHA UHARAMIA WAKATI WA CHAGUZI NA WATU HATA KAMA WANA USHAHIDI WA AINA GANI HAWARUHUSIWI KUHOJI!

ACTUALLY TATIZO LA VYAMA VYA UPINZANI NI UHARAMIA WA CCM UNAOLINDWA NA KATIBA! USIDHANI WATU WATAKUSANYIKA KWENYE KWENYE MIKUTANO KWA HIYARI YAO KAMA HAWANA NIA.

KAMA WATZ, N I WAPENDA MIKUTANO, MBONA CCM HAMKUSANYI WATU KAMA HAWA HADI MNAWASOMBA KWA MALORI TOKA VIJIJINI?

KAMA MIKUTANO HAINA INFLUENCE, KWA NINI MNAZUIA WATU WASIKUSANYIKE KWA VISINGIZIO VYA KIPUMBAVU?

KAMA CHADME HAWANA MADHARA KWA CCM, KWA NINI MNAWAOGOPA KIASI HICHO?

MUGABE = CCM
 
Back
Top Bottom