Pamoja na makeke ya awamu ya tano, hakuna tofauti ya makusanyo TRA

Uwezowako mdogo...kama kila siku mnalia wawekezaji wanakimbia, lakini tumeweza kukusanya kiasi kilekile, inamaanisha tumeongeza mapato...kwa bahati mbaya, wachache sana wataelewa simple logic kama hiyo
Duu kweli wewe uwezo wako mkubwa.. Mtoa mada ana point,tulitegemea sasa angalau 1.5 trillion na kuendelea iwe inakusanywa mana kelele zilizopo mtaani ni kwamba watu walikua hawalipi kodi,sasa wanalipa lakini makudanyo ni almost the same. Serikali ya mwendo kasi,naona kweli speed ni nzuri. Nasubiri barabara 6 kutoka dar hadi chalinze na flyover gorofa sita pia. Hii movie sijui lini itaisha mana ni zaidi ya series
 
Duu kweli wewe wako mkubwa.. Mtoa mada ana point,tulitegemea sasa angalau 1.5 trillion na kuendelea iwe inakusanywa mana kelele zilizopo mtaani ni kwamba watu walikua hawalipi kodi,sasa wanalipa lakini makudanyo ni almost the same. Serikali ya mwendo kasi,naona kweli speed ni nzuri. Nasubiri barabara 6 kutoka dar hadi chalinze na flyover gorofa sita pia. Hii movie sijui lini mana ni zaidi ya series
Kadirio ni trion 1.268 kwa mwezi ili kwa mwaka wapate trion 15.1. Hiyo trion 1.5 ni zako tu kwa mwaka huu labda mwakani.
 
Duu kweli wewe wako mkubwa.. Mtoa mada ana point,tulitegemea sasa angalau 1.5 trillion na kuendelea iwe inakusanywa mana kelele zilizopo mtaani ni kwamba watu walikua hawalipi kodi,sasa wanalipa lakini makudanyo ni almost the same. Serikali ya mwendo kasi,naona kweli speed ni nzuri. Nasubiri barabara 6 kutoka dar hadi chalinze na flyover gorofa sita pia. Hii movie sijui lini mana ni zaidi ya series
Mizigo imepungua sana sana. Lakini kodi imeongezeka kidogo. Huoni tofauti wewe?
 
Duu kweli wewe wako mkubwa.. Mtoa mada ana point,tulitegemea sasa angalau 1.5 trillion na kuendelea iwe inakusanywa mana kelele zilizopo mtaani ni kwamba watu walikua hawalipi kodi,sasa wanalipa lakini makudanyo ni almost the same. Serikali ya mwendo kasi,naona kweli speed ni nzuri. Nasubiri barabara 6 kutoka dar hadi chalinze na flyover gorofa sita pia. Hii movie sijui lini mana ni zaidi ya series
Mkuu umesahau ile Barabara juu ya Bahari kutokea beach ya Aga khan pale hadi Coco Beach... sijui ya kazi gani na mkataba keshasign kazi haijaanza hadi leo.. na amesema anasepa Dar... kuna watu walimuambia haiana maana hiyo barabara akawatumbua nadhani...
 
Huyo ndo Magu mkuu..Mzee wa kutumbua majipu ambayo hayajaiva:D:D:D:D:D:D
 
Biashara nyingi zinazopumulia mashine nyingi sana kwa sasa, kadri siku zinavyokwenda zinazokata pumzi zinapungua. Ukiacha kupungua kwa tax base, taifa linatengeneza wategemezi ambao tayari walishatoka kwenye utegemezi.

Kwenye kampeni alisema kuna kodi za ajabu nyingi sana, angerekebisha kwanza kodi na mfumo wake kisha awashikie bango wazilipe.
 
Yale Yale tu.....July Mwaka 2015 kodi ilikuwa bilioni 914 Mwaka huu pamoja na kodi za miamala kelele bandarini kodi trilioni moja tu..
.
Jk walikuwa wanamshambulia bureeeeee!!!!!
Wewe huoni tofauti ya bilioni 100! Hiyo ni bajeti ya wizara!

Au hakuna kizuri kwako!
 
Yale Yale tu.....July Mwaka 2015 kodi ilikuwa bilioni 914 Mwaka huu pamoja na kodi za miamala kelele bandarini kodi trilioni moja tu..
.
Jk walikuwa wanamshambulia bureeeeee!!!!!
Watu mna roho za kichawi unaombea tu mapato yashuke faida ya nani
Haya tuseme mapato ni vile vile,lakini magufuli amedhibiti matumizi
Hakuna safari
Hakuna semina
Magufuli kaondoa wafanyakazi hewa 12500,piga hesabu hapo,halfu hiyo pesa irudishe hazina,bado utasema mapato hayajapanda?
 
Yale Yale tu.....July Mwaka 2015 kodi ilikuwa bilioni 914 Mwaka huu pamoja na kodi za miamala kelele bandarini kodi trilioni moja tu..
.
Jk walikuwa wanamshambulia bureeeeee!!!!!
.. Ni Tanzania pekee utakuta mwananchi anafurahia kushuka kwa makusanyo sababu ya siasa za vyama ....ndio, .... mtanzania yupo radhi kushangilia makusanyi kushuka eti kisa ushabiki wa vyama
 
Back
Top Bottom