Pamoja na kwamba mimi ni mwana CCM mzuri lakini haya siyaafiki

Mi ni miongoni mwa Wana CCM ambao sikupendezwa na Mheshimiwa Tundu Lissu Kupigwa risasi ,

Mimi ni Miongoni mwa Wana CCM ambao hatukukubaliana na jinsi nchi ilivyokuwa inaendeshwa na Bwana Magufuli, Mimi na akina Kagasheki, Mwandosya, January Makamba na Butiku tulikuwa hatukubaliani na hayo,

Mimi ni Mwana CCM ambaye Sikubali na sijawai kuamini Kama Mbowe ni Gaidi , labda anaweza akawa na tuhuma nyingine za kuchochea vurugu na kutotii amri za Mamlaka ila si Kwa kiwango cha ugaidi!

Mimi ni Mwana CCM ambaye sikukubaliana na jinsi wanaharakati na waandishi walivyoshughulikiwa Kipindi cha Magufuli na wengine wenye mawazo mbadala wakatishiwa Kama bwana Evarist Chahali na kukimbia nchi, Mama yake Kabendera Erik akatiweka kisa Mwanaye kabambikiwa kesi, Wazee wa Ben saanane wanalia hawajui alipo,

Mimi ni Mwana CCM ninayependa KATIBA mpya, siyo katiba ya maslahi ya wanaotaka kutawala bali wananchi Kwa ujumla, na cha kushangaza zaidi ni Mwana CCM nayeamini kwamba Tanganyika tunaonewa ndani ya Muungano japo wengi mnaona Zanzibar ndo wanaonewa tu!

Mimi ni Mwana CCM nayependa ushindani wa hoja na siasa za Utani refter kwa Nape Vs Mbowe 2011, Wassira Vs Chadema !!!

Mimi ni CCM ambaye siamini katika kuhama hama vyama kwakuwa ukianza kuhama utavimaliza vyote!!!!!

Mimi ni Mwana CCM nayeamini katika kusameheana kwa makosa madogo mfano Membe anao uwezo wa Kumsamehe Musiba wakayamaliza na niliwai kusema kwamba Cyprian Musiba anakosea sana!!!

Mimi ni Mwana CCM nayependa uhuru wa kutoa maoni na uwazi na kuwepo freedom of expression napenda kuandika na Kuongea!!!

Mimi ni Mwana CCM nayeamini Samia Rais na Mwenyekiti wetu bado anayo nafasi ya Kuyarekebisha makosa madogo Kama kuleta maridhiano!!!

Pia mimi ni Mwana CCM nayependa kuwashuri vijana kutotumika kisiasa

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

BRITANICCA ENCYCLOPEDIA
Hutaki au
 
Wewe kidampa wa BAVICHAA, mbowe sio gaidi ndio lakini sio kwamba hahusiki na lile kundi haramu la uchomaji shule na masoko.
Lile genge tesaji
 
Acha upumbavu kujuinga JF mapema ndio kigezo cha kuwa anaijua sana CCM ,kwani wanasccm wote wapo JF ,kina mzee warioba na kingunge wapo humu?

Kwanza nikusaidie kilaza wewe nipo JF miaka mingi saa na I'd nyingi sana

Mwanaccm aliyehadithia eti yeye na mmewake walivyoiba kura kujivalisha uhusika tu hata ile ishu ya Dk shika ni usanii tu hakuna lolote

USSR
Wewe ni mpuuzi sana kama chama chako! Unawezaje kubishana na maana CCM mwenzio? Kwahio wewe unawafahamu wanachama wa CCM wote? Pumbavu sana, uoga wako, uongo, ujinga ndio unaokufanya uwe unabadili ID.

WEWE NI MJINGA NA MPUUZI KAMA BAADHI ya WANACCM wengine tu. Umepata Bando ndio unakurupuka kujibu, kaa kwa kutulia.

Kakune Nazi huko ulipwe. Mbuzi wewe

IMG_20210923_180327.jpg
 
Mi ni miongoni mwa Wana CCM ambao sikupendezwa na Mheshimiwa Tundu Lissu Kupigwa risasi ,

Mimi ni Miongoni mwa Wana CCM ambao hatukukubaliana na jinsi nchi ilivyokuwa inaendeshwa na Bwana Magufuli, Mimi na akina Kagasheki, Mwandosya, January Makamba na Butiku tulikuwa hatukubaliani na hayo,

Mimi ni Mwana CCM ambaye Sikubali na sijawai kuamini Kama Mbowe ni Gaidi , labda anaweza akawa na tuhuma nyingine za kuchochea vurugu na kutotii amri za Mamlaka ila si Kwa kiwango cha ugaidi!

Mimi ni Mwana CCM ambaye sikukubaliana na jinsi wanaharakati na waandishi walivyoshughulikiwa Kipindi cha Magufuli na wengine wenye mawazo mbadala wakatishiwa Kama bwana Evarist Chahali na kukimbia nchi, Mama yake Kabendera Erik akatiweka kisa Mwanaye kabambikiwa kesi, Wazee wa Ben saanane wanalia hawajui alipo,

Mimi ni Mwana CCM ninayependa KATIBA mpya, siyo katiba ya maslahi ya wanaotaka kutawala bali wananchi Kwa ujumla, na cha kushangaza zaidi ni Mwana CCM nayeamini kwamba Tanganyika tunaonewa ndani ya Muungano japo wengi mnaona Zanzibar ndo wanaonewa tu!

Mimi ni Mwana CCM nayependa ushindani wa hoja na siasa za Utani refter kwa Nape Vs Mbowe 2011, Wassira Vs Chadema !!!

Mimi ni CCM ambaye siamini katika kuhama hama vyama kwakuwa ukianza kuhama utavimaliza vyote!!!!!

Mimi ni Mwana CCM nayeamini katika kusameheana kwa makosa madogo mfano Membe anao uwezo wa Kumsamehe Musiba wakayamaliza na niliwai kusema kwamba Cyprian Musiba anakosea sana!!!

Mimi ni Mwana CCM nayependa uhuru wa kutoa maoni na uwazi na kuwepo freedom of expression napenda kuandika na Kuongea!!!

Mimi ni Mwana CCM nayeamini Samia Rais na Mwenyekiti wetu bado anayo nafasi ya Kuyarekebisha makosa madogo Kama kuleta maridhiano!!!

Pia mimi ni Mwana CCM nayependa kuwashuri vijana kutotumika kisiasa

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

BRITANICCA ENCYCLOPEDIA
Wewe pengine una kadi tu moyoni sio mwanaccm. Wala hujui kwa nini ccm ni chama cha mapinduzi. Pia huna habari kama ccm itikadi yake ni ujamaa. Bora urudishe kadi yetu.
 
CCM kiasili ni chama cha kuwakomboa na kuwalinda waafrika.
Chama Cha Mapinduzi kinapinga aina zote za uonevu na ukandamizaji.
Kwa bahati mbaya, makaburu uchwara nayo yameibuka ndani yake.
Ni lazima wanaCCM wa kweli kupambambana na makaburu wa ndani.
 
Back
Top Bottom