Pamoja na kwamba mimi ni mwana CCM mzuri lakini haya siyaafiki

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Mi ni miongoni mwa Wana CCM ambao sikupendezwa na Mheshimiwa Tundu Lissu Kupigwa risasi ,

Mimi ni Miongoni mwa Wana CCM ambao hatukukubaliana na jinsi nchi ilivyokuwa inaendeshwa na Bwana Magufuli, Mimi na akina Kagasheki, Mwandosya, January Makamba na Butiku tulikuwa hatukubaliani na hayo,

Mimi ni Mwana CCM ambaye Sikubali na sijawai kuamini Kama Mbowe ni Gaidi , labda anaweza akawa na tuhuma nyingine za kuchochea vurugu na kutotii amri za Mamlaka ila si Kwa kiwango cha ugaidi!

Mimi ni Mwana CCM ambaye sikukubaliana na jinsi wanaharakati na waandishi walivyoshughulikiwa Kipindi cha Magufuli na wengine wenye mawazo mbadala wakatishiwa Kama bwana Evarist Chahali na kukimbia nchi, Mama yake Kabendera Erik akatiweka kisa Mwanaye kabambikiwa kesi, Wazee wa Ben saanane wanalia hawajui alipo,

Mimi ni Mwana CCM ninayependa KATIBA mpya, siyo katiba ya maslahi ya wanaotaka kutawala bali wananchi Kwa ujumla, na cha kushangaza zaidi ni Mwana CCM nayeamini kwamba Tanganyika tunaonewa ndani ya Muungano japo wengi mnaona Zanzibar ndo wanaonewa tu!

Mimi ni Mwana CCM nayependa ushindani wa hoja na siasa za Utani refter kwa Nape Vs Mbowe 2011, Wassira Vs Chadema !!!

Mimi ni CCM ambaye siamini katika kuhama hama vyama kwakuwa ukianza kuhama utavimaliza vyote!!!!!

Mimi ni Mwana CCM nayeamini katika kusameheana kwa makosa madogo mfano Membe anao uwezo wa Kumsamehe Musiba wakayamaliza na niliwai kusema kwamba Cyprian Musiba anakosea sana!!!

Mimi ni Mwana CCM nayependa uhuru wa kutoa maoni na uwazi na kuwepo freedom of expression napenda kuandika na Kuongea!!!

Mimi ni Mwana CCM nayeamini Samia Rais na Mwenyekiti wetu bado anayo nafasi ya Kuyarekebisha makosa madogo Kama kuleta maridhiano!!!

Pia mimi ni Mwana CCM nayependa kuwashuri vijana kutotumika kisiasa

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

BRITANICCA ENCYCLOPEDIA
 
Pia miw ni Mwanaccm ninayeamini waananchi wachato hawatakiwi kipewa maendelwo kama maji ya bomba,?hospital bora kwa sabbu wwngi ni masikini hivyo kuwwkeza kule nikupotezanpesa za serikali
 
britanicca ile story yako ya kuwasaidia CCM kucheza rafu siioni tena! Ile ya 2015 election, mbinu chafu za CCM kuiba kura, naomba link kama hutajali
 
Wewe mwaka 2019 uliapa kuachana na siasa baada ya kuona Magufuli anawaonyoosha mliokuwa kundi la mafisadi. Baada ya Mh Hayati JPM kufariki sasa umekuja kwa kasi nyuzi humu hatupumui.

Shamba la bibi Nyani wameswagwa. Unafurahia tu Mafisadi mmerudi kqa kasi.
 
Mi ni miongoni mwa Wana CCM ambao sikupendezwa na Mheshimiwa Tundu Lissu Kupigwa risasi ,

Mimi ni Miongoni mwa Wana CCM ambao hatukukubaliana na jinsi nchi ilivyokuwa inaendeshwa na Bwana Magufuli, Mimi na akina Kagasheki, Mwandosya, January Makamba na Butiku tulikuwa hatukubaliani na hayo,

Mimi ni Mwana CCM ambaye Sikubali na sijawai kuamini Kama Mbowe ni Gaidi , labda anaweza akawa na tuhuma nyingine za kuchochea vurugu na kutotii amri za Mamlaka ila si Kwa kiwango cha ugaidi!

Mimi ni Mwana CCM ambaye sikukubaliana na jinsi wanaharakati na waandishi walivyoshughulikiwa Kipindi cha Magufuli na wengine wenye mawazo mbadala wakatishiwa Kama bwana Evarist Chahali na kukimbia nchi, Mama yake Kabendera Erik akatiweka kisa Mwanaye kabambikiwa kesi, Wazee wa Ben saanane wanalia hawajui alipo,

Mimi ni Mwana CCM ninayependa KATIBA mpya, siyo katiba ya maslahi ya wanaotaka kutawala bali wananchi Kwa ujumla, na cha kushangaza zaidi ni Mwana CCM nayeamini kwamba Tanganyika tunaonewa ndani ya Muungano japo wengi mnaona Zanzibar ndo wanaonewa tu!

Mimi ni Mwana CCM nayependa ushindani wa hoja na siasa za Utani refter kwa Nape Vs Mbowe 2011, Wassira Vs Chadema !!!

Mimi ni CCM ambaye siamini katika kuhama hama vyama kwakuwa ukianza kuhama utavimaliza vyote!!!!!

Mimi ni Mwana CCM nayeamini katika kusameheana kwa makosa madogo mfano Membe anao uwezo wa Kumsamehe Musiba wakayamaliza na niliwai kusema kwamba Cyprian Musiba anakosea sana!!!

Mimi ni Mwana CCM nayependa uhuru wa kutoa maoni na uwazi na kuwepo freedom of expression napenda kuandika na Kuongea!!!

Mimi ni Mwana CCM nayeamini Samia Rais na Mwenyekiti wetu bado anayo nafasi ya Kuyarekebisha makosa madogo Kama kuleta maridhiano!!!

Pia mimi ni Mwana CCM nayependa kuwashuri vijana kutotumika kisiasa

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

BRITANICCA ENCYCLOPEDIA
Mimba ya Magufuli itawatoa roho kenge nyinyi
 
Cypirin Musiba ni Kija a aliyetumima kisiasa.

Kama makaratasi vile.
 
Kina makamba, nape na mwigulu wanaona ni Zamu yao ya kula nchi hawtakuelewa
 
Huna lolote , wewe ni miongoni mwa wanaccm wanaopigania tumbo tu , ukishalipwa ubongo wako unanyofoka , ninayo mifano ya njaa zako hapa ila muda umenibana kwa sasa , Jf hatujawahi kuwa wajinga .

Itaendelea .....
 
Back
Top Bottom