Pamoja na kuzindua miradi mbali mbali naona na kampeni inapigwa hapo hapo

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Mi naona kwa harakati hizi zinazoendelea za mh rais za kuzindua miradi mbali mbali kuna kampeni zinaendelea^kufanywa hapo hapo.

Upinzani mmeshashikwa pabaya mmeachwa sana shtukeni hamna lenu mwaka huu na leo form inarudishwa ya ugombea awamu ya pili mtasubiri sana mwaka huu.

Poleni sana.
 
Magufuli haitaji kupiga kampeni Mkuu hata akikaa ofisini lazima achaguliwe kwa kishindo
Kazi zake zinambeba
 
Hii ni kampeni 100% ndiyo maana hata Kilosa alianza kwa kum'bagaza mbunge wa CCM akidhani ni mbunge wa upinzani.
 
Back
Top Bottom