Pamoja na kuwa Chato itatangazwa mkoa kwenye kilele cha mbio za Mwenge Oktoba 14, ukweli ni kuwa CCM haiyaenzi mema ya hayati Magufuli

Ivi kwanini inatumika nguvu kubwa kutuaminisha umma wa watanzania kuwa mwendazake ni shujaa sio alichofanya kikubwa zaidi ya mikwara na vitisho ambalo limetengeneza tabaka la walamba miguu, wanafiki na wanaojipendekeza
 
Chatto inapiganiwa kuwa Mkoa kwa kuwa imetimiza vigezo au kwa kuwa iliwahi kutoa Rais wa Jamhuri au kwa kuwa tunataka kutuliza fukuto la 'Watikrit' wa Kanda ya Ziwa?
Mipango ya Chato kuwa mkoa ilikuwa ikiratibiwa na dikteta uchwara mwenyewe kimyakimya mpaka siku ya mazishi yake ndio yule mzee akaropoka ndio umma ukastuka na Mama akawajibu palepale.

Kwa mtu anayetumia akili zake vizuri unaelewa wazi Mama hawezi kufanya upumbavu huo wa kijiji cha Chato kugeuka kuwa mkoa.
 
Huyo sizonje alifanya jambo gani kwa Taifa? Yaani anasifiwa na kuabudiwa kama mwokozi.

Mtu mwenyewe kavuruga haswa. Acheni ujinga
 
Hakuna mtu anaweza kusimamia mambo ya jitu katili, libanafsi na mumiani. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
una masuala kadha wa kadha ambayo yameibuka na kukatisha tamaa wananchi wa kawaida. Tozo ambazo kiuhalisia ni makandamizo kwa wananchi wa kawaida. Wamachinga kuondolewa kimabavu kwenye miji mikubwa na mafisadi kuavhiwa huru kana kwamba hawakuliibia taifa. Haya ni baadhi ya mambo ambayo yanaonyesha kuwa Ccm haienzi yale hayati JPM aliyasimamia.

Kuna uwezekano mkubwa sana kuwa Chato itatangazwa kuwa mkoa. Na hii sio justification kuwa Ccm ya awamu ya sita inamuenzi hayati JPM. Hii ni danganya toto na siasa za kinafiki . Maana Ccm hii chini ya rais Samia haisimamii yale ambayo hayati JPM aliyasimamia.
View attachment 1953542
 
Hakuna mtu anaweza kusimamia mambo ya jitu katili, libanafsi na mumiani. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Nje ya mada kidogo, ukatili upi? Ubinafsi upi? Maana kama angekuwa mbinafsi sijui kama angejitoa namna hii kwa taifa lake. Fafanua bro
 
Nje ya mada kidogo, ukatili upi? Ubinafsi upi? Maana kama angekuwa mbinafsi sijui kama angejitoa namna hii kwa taifa lake. Fafanua bro

Amejitoa kwani alikuwa halipwi mshahara? Au kwakuwa alikuwa anatumia maneno kujitoa ndio ukaona anajitoa kweli? Kipindi chake ndio upendeleo wa kikanda na kikabila ulishamiri. Kipindi chake tumeshuhudia watu kutekwa, kuuwawa na hata kupotea tena katika mazingira ambayo yeye alikuwa na ufahamu wa mambo hayo. Kipindi chake tumeshuhudia chaguzi za kishenzi, kikatili, kinyama na kihayawani, tena ni kwa maagizo yake.
 
Chato hoyee iwe makao makuu ya nchi, CCM watakuwa wameenzi yote ya hayati Rais Magufuli.
 
Back
Top Bottom