Elections 2010 Pamoja na kuukwaa ubunge, Mustafa Akunaay bado katibu TATO...........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,463
911,172
Ninashindwa kuelewa hivi mtu mmoja ataweza kujirundikia kazi kibao wakati kuna watanzania wengi wapo vijiweni.......................Mustafa Akunaay ni Mbunge kupitia Chadema wa Jimbo la Mbulu lakini bado ni kibosile wa TATO...............yaani kweli old habits die hard...................
 
I need to check: but I am just wondering if it is wrong for a person to assume more than one role hasa mbunge, as long as anatimiza wajibu wake sawasawa, though I also dont know TATO. Na kama TATO haijatoa kauli ya kumwondoa ukatibu...? Au pengine mipango inafanyika kumtafuta mtu mbadala maana ni mapema kweli kufanya changes. Ninapenda kufikiri kuwa pengine it is too early to judge Mustaafa; let time tell
 
what is the probl. Waziri ni mbunge, mbunge ni body member Tanesco, na Tanapa. Achilia mbali ukuu wa mkoa
 
Ninashindwa kuelewa hivi mtu mmoja ataweza kujirundikia kazi kibao wakati kuna watanzania wengi wapo vijiweni.......................Mustafa Akunaay ni Mbunge kupitia Chadema wa Jimbo la Mbulu lakini bado ni kibosile wa TATO...............yaani kweli old habits die hard...................
Mbona Aden Rage ni Kiongozi Simba na ni Mbunge! uende kulala
 
How come umeamua kum-pinpoint Mustafa Akuunay? Wenye "kofia" mbili mbona ni wengi sana let alone tatu even nne in some cases.... What so special about him?
 
Sofia SIMBA:Mwenyekiti wa UWT, Mbunge wa JMT, Mbunge was SADC, Waziri wa Jinsia na watoto,
 
huyu aliyeandika kuhusu cuf anaishi nchi gani? Tanzania hakuna cuf tena kuna ccm b
 
Nafikiri umeandika hii post baada ya kupigwa kibuti na mwanaye, I see no prob on having more than 1 or 2 roles
Almost kila mtanzania ana post zaidi ya moja tena ziko involving, mama Rwakatare,zito etc
 
Mkuu una maslai uko TATO nini? au ndo mambo ya conflict of interests
 
Rutashubanyuma umekurupuka tu na kuanza kuandika. Akunay ana nafasi kama ifuatavyo

1. Executive Secretary TATO
2. Board member - Karibu trade fair Ltd
3. Advocate - Akunay & Company advocates
4. Mbunge - Jimbo la mbulu
5. Na bado alikuwa awe Naibu Speaker wakamchakachua.

Wewe vipi una nafasi gani kwenye nchi hii?? Mjumbe wa nyumba kumi wa CCM
 
hata vitabu vitakatifu vimeandika alonacho anaongezewa yule ambaye hana hata kile kidogo alicho nacho ananyang'anywa habari ndo hiyo.
 
Ninashindwa kuelewa hivi mtu mmoja ataweza kujirundikia kazi kibao wakati kuna watanzania wengi wapo vijiweni.......................Mustafa Akunaay ni Mbunge kupitia Chadema wa Jimbo la Mbulu lakini bado ni kibosile wa TATO...............yaani kweli old habits die hard...................
Mkuu kwa hili naomba niseme kwamba una kiherehere!!!!!!!!!1

Transition to any authority au power needs maandalizi na taratibu, ulitaka atamke tu kwamba kaachia badala ya kushirikiana na wenzake kukabidhi hiyo nafasi kwa mpango?

Karibia kila kiongozi hapa nchini (tena CCM) na kofia nyingine kama tatu hivi

Pia kwa namna ulivyoweka, nadhani inabidi mawaziri wote waachie ubunge kwani uwaziri ni full time job na ubunge ni full time job, let alone bodi wanzopeana
 
Back
Top Bottom