Pamoja na kutakiwa kujiuzulu; Ngeleja agoma...

rais kutokuwa tayari kuwalipa dowans yupo sahihi,kwani hayo ndio matakwa ya watanzania. kwa ngeleja na werema kukomalia hoja ya kuwalipa dowans si matakwa ya watanzania,ni matakwa ya genge la watu wachache yani mafisadi.
 
Wiliam Ngeleja,waziri wa nishati na madini na Fredrick Werema,mwanasheri mkuu wa serlkali.Wote ni wateule wa rais Kikwete lakini walionekana dhahiri kuwa wanatofautiana na bosi wao kuhusu swala la kuilipa dowans au la.Ngeleja na Werema walisimama kidete kukubali malipo ya fidia kwa dowans,lakini bosi wao kikwete siku ya kilele cha maadhimisho ya kuzaliwa kwa ccm aliweka wazi kwamba haungi mkono kuilipa dowan

KUTOKANA NA KUTOFAUTIANA KIMTAZAMO NA BOSI WAO,NGELEJA NA WEREMA WAJIUZULU.

Ndugu kwenye hilo Kikwete ndio mnafiki na anatuzuga tu watanzania tuone yuko upande wetu lakini ukweli ni kwamba yeye ndio mlipwaji na mwenzake Muajemi Rostam Aziz! Ngeleja na Werema hawawezi kuwa na guts za kupingana na bosi wao kama ni kweli kwanini asiwafukuze kazi kwa kumharibia?
 
huo mchezo wa kuigiza dowans ni yao na hao akina ngeleja na watchdogs wa Rostam na mkwere
 
Kwa vile Waziri Ngeleja amekuwa Waziri wa mgawo wa umeme badala ya kuhakikisha nchi inaondokana na adha ya kukosa nishati ya umeme, naungana na Zitto kumtaka Bwana Ngeleja abwage manyanga na kwamba tangu Ngeleja aingie pale Wizarani mgao wa umeme umekuwa ni kitu cha kawaida.

Hata hivyo nashangaa sana kile kinachofanana na laissez faire attitude ya Wabongo kuufyata kwenye mapungufu mengi yanayojitokeza kila kukicha na katika kila sekta nchini. Watu wamelewa kweli na ufukara kiasi ambacho shortcuts ndio mbadala. Hii ni pamoja na kukumbatia dhana ya kuridhia utumiaji wa MITUMBA hadi nguo za ndani ili mradi mtu kavalia kitu. Nguo mtumba, household appliances mtumba, gari mtumba, vitanda hospitalini mtumba, ... , list ndefu tu. Halafu mlo kwa mama ntilie. Mtu mzima unasita kudai MFUMO mbadala unaoweza kuikomboa nchi na kukupa wewe maisha bora, badala yake unaridhia destitution ili mradi shillingi miatano yako imekupa sahani moja kwa mama ntilie. Bora maisha.

Hii migao ya umeme itaisha lini kama watu wanakaa kimya tu bila kuwaadabisha kina Ngeleja na mfumo wote unaoendekeza upuuzi huu?
 
Mkuu naungana na wewe yaani huyu Ngeleja hana ufanisi wowote toka ameingia wizara hiyo, kwa kifupi huyo bwana amekuwa kuwadi wa mafisadi kama kutetea malipo ya dowans, hafanyi kitu chochote kuboresha power supply, it is better akaachia hicho cheo kwani kimemshinda.
 
...aaagh jamaa sioni anachofanya hapo kwenye hiyo post, nakumbuka wakati yupo kampuni flani hivi as mwanasheria siku ya VALENTINE day aliwanunulia wahanga wake wote(Mademu aliowakamua) zawadi za g-string nyekundu woote hahahahahahahahahah
 
Ningekuwa mimi Kikwete hii wizara ningempa mbunge wa Chadema halafu nampeleka puta puta mgao ukianza namuweka waziri kiti moto :biggrin1:
 
unajua kuna laana. mfano kama babu yako alilaaniwa
basi laana hizo zitaenda mpaka kwa vitukuu mpaka
aombewe ili ivunjwe.TUMELOGWA NA ALIYETULOGA KAFA
 
Back
Top Bottom