Pamoja na kuelezwa kwamba kaathilika bado ananivutia sana, nifanyeje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pamoja na kuelezwa kwamba kaathilika bado ananivutia sana, nifanyeje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Hmaster, May 12, 2011.

 1. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mambo! Moja kwa moja kwenye mada: Hapa ofisini kwetu mi ni mgeni kiasi, nina miezi kadhaa tangu niajiliwe hapa. Nimetokea kumpenda sana msichana mmoja ambaye yuko bomba kinomi. Demu wala siyo wa kujiskia ingawa ni mzuri. Naye ananichangamkia sana. Kwa vile sina kikwazo home nilianzisha soga za kutaka kumnasa. Kuna mtu ambaye kwa kweli tunaheshimiana na tunajuana kwa muda mrefu sana baada ya kuona naelekea kumtaka yule dada alinieleza wazi kwamba niwe mwangalifu kwani huyo binti ameshaathilika na ngoma. Nikashtuka, lakini moyo bado haujaamini na bado nampenda; nifanyeje jamani?:dance::amen:
   
 2. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kapimeni? Baada ya kupata majibu ya vipimo mtaamua la kufanya
   
 3. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hilo nalo jambo!:clap2::clap2::clap2:
   
 4. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Akuombeaye kheri...MUHESHIMU.
   
 5. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Lisemwalo lipo....kama halipo basi laja.......
   
 6. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  nadhani roho yako haijakwambia vibaya sana sababu
  huyo ni bin adamu ila upo tayari kuzingatia mambo yale yanayohusiana na ishu kama hizo
  kama hupo tayari kaa pembeni kabla hujakwazika na kumkwaza huyo mrembo.
  JE WEWE UMEPIMA AU UNAMYOOSHEA TU MWENZIO VIDOLE..........??????
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  May 12, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wewe mapenzi na ofisi wapi na wapi? Fanya kilichokupeleka kazini! Mapenzi weka pembeni.
  Ni hayo tu!
   
 8. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #8
  May 12, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Iweke vizuri mheshimiwa manake toto nnalolizungumzia kulivumilia inataka hadi uache kazi!:rapture:
   
 9. SAWEBOY

  SAWEBOY JF-Expert Member

  #9
  May 12, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  Kama una uhakika unataka kumuoa basi sio mbaya ukamweleza nia yako kwa uwazi na yeye kama ameathirika akiwa muungwana atakuambia au akikubali kuwa muoane ni jambo jema lakini mpe condition kwamba lazima muende kupima VVU ili kujua hali zenu hapo ndo utajua ukweli kuwa ameathirika au laa! kuna watu wengi hasa wadada akiwa mzuri tu watu wanaanza ohoho kaathirika kumbe wivu tu umewajaa .

  Lakini kwa jinsi ulivyoleta hii sred yaonekana wewe ni mzinzi/kitombi tu na huna haja ya kuoa ila ni chovya chovya tu kila sehemu, angalia sana kuchoma choma kubaya utaishia down ......yaani unataka kumaliza K zote za hapa duniani? we vipi bana??
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  May 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Follow Your Heart
   
 11. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #11
  May 12, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe mwenyewe umepima???? Sio umseme mwenzako wakati wewe huna uhakika na hali yako
   
 12. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #12
  May 12, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,460
  Likes Received: 3,715
  Trophy Points: 280
  Huyo aliyekwambia amejuaje kwamba ana ngoma
  je wewe
  bora mkapime muwe na uhakika
  ukipata ukweli utaamua kunyoa au kusuka
   
 13. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #13
  May 12, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye Red....Je,utamlisha nini huyo ?Labda mtakula magodolo.....
   
 14. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #14
  May 12, 2011
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Dah! Hii imeniacha hoi, yaani mkuu nimecheka sana kwa comment yako hasa hapo kwenye blue siju green
   
 15. T

  TAITUZA Member

  #15
  May 12, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeye anamtaka na wewe pia, shenzy zenu. Hawezi kumtangazia mwenzake kwani aliona wapi majibu ya huyo binti? Acheni ujinga. Na kama wewe umempenda na umesikia hayo huna haja ya kushtuka na kujitenga sana nae, kwani waathirika hawahitaji kuwa karibu na watu? Huyo haumwi tb,ukoma au ebola. Vvu haiambukizi kwa kuwa karibu nae, na kama umempendaaa mtongoze na mkapime (km unataka kumuoa)na hata ukikuta kaathirika iwe siri yenu sio ndo iwe matangazo kokote uendako.
   
 16. T

  TAITUZA Member

  #16
  May 12, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na utambue wengine hawakuuupata kwa kujiuza, tusiwakatishe tamaaa ya kuishi na kujikuta wao wakiueneza kwa makusudi.
   
 17. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #17
  May 12, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,006
  Likes Received: 2,658
  Trophy Points: 280
  we mkokote muende mkapime,hoyo anaesema ana ukimwi ye kamjuaje?zisije zikawa ni zile za kupima kwa macho.
   
 18. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #18
  May 12, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Acha tamaa fuata taratibu sio kila umuonaye unataka kugonganisha vikojoleo!itakula kwako!
   
 19. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #19
  May 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kapimeni kwanza-ili upate confirmation-isije kuwa ni maneno ya mtaani tu-la sivyo itaku-cost
   
 20. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #20
  May 12, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,640
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  aiseeeeee :A S 39:
   
Loading...