LGE2024 Pamoja na kudaiwa kushinda Uchaguzi kwa zaidi ya 100% Wanaccm Wanaona aibu, hawashangilii

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Binadamu wote wasio na Ubongo wa Wanyama na wale wenye Utashi wa Mtu wanacho kitu kinachowatofautisha na Wanyama wa Porini au wale wa kufugwa kama Paka, Mbwa, mbuzi,Ngombe nk Watu hawa wanayo hisia inayowafanya waone aibu, yaani kuna mambo ambayo hawawezi kuyafanya hadharani kwa sababu ya Utu walio nao, Wanaona aibu kuyafanya hata kama mambo hayo yatawafanya wapate hela

Kuonea Aibu jambo baya ama lile la kudhalilisha Utu wa Mtu ni ishara ya Binadamu huyo kuwa na Akili timamu.

Hiki ndicho kinachowatokea Wanaccm wengi, wanaona aibu kushangilia ushindi wa ghilba uliojaa mauaji, utekaji na damu.

Lakini Je inawezekanaje mtu mwenye utashi wa Binadamu kuwa Mwanaccm? Jibu wanalo wenyewe

View attachment 3165338
Vipi kikao chenu za Kamati Kuu kimesemaje?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Sio ukweli mkuu. Wana CCM wanashangilia, ila kwa kuwa watanzania walio wengi hawajitokeza kupiga kura kwa kupuuzia uchaguzi na wanaendelea tu na mishe zao kana kwamba hakukuwa na uchaguzi ndio maana unaona pako kimya.

CCM ni wachache ukilinganisha na watanzania. Ila watanzania wengi wamesusia chaguzi na kuwaachia CCM na wananchi kiduchu wanaojitambua. Na hii ndio faida ya CCM, maana kwa uchache wao wanaamua hatima ya nchi.

Tuendelee kususia chaguzi. Tuiache CCM itawale mpaka vitukuu vyetu.

Wabongo wapo busy na uchaguzi wa Marekani kuliko uchaguzi wao 😅
 
Back
Top Bottom