Pamoja na kejeli zote kwa viongozi wetu wa dini leo wamegeuka lulu

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Tujikumbushe kauli mbaya na kejeli zilizowahi kutolewa na viongozi mbalimbali wa serikali na chama
cha ccm dhidi ya viongozi wa dini.

Na leo haohao wanawabembeleza na kuwaalika katika vikao vya usiku kuwaomba msaada ili waweze kuwa maraisi.
 
Mwana unagonga VICEROY, vodka, regency au valeur, maana ulichoandika ni kibwagizo cha ulonayo moyoni mwako....funguka tukuelewe!!!!!!
 
Back
Top Bottom