Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,035
- 6,907
- Thread starter
- #21
Eti kule kumbe unasikia na kuhadithiwa? PoleWewe Chalamila wacha kuja hapa kujipigia debe. Mbeya mbona ni ile ile ya miaka yote? Miundombinu hovyo kabisa kule.
Mabadiliko kidogo yanayoonekana sasa sehemu kubwa ni asante kwa Sugu kutokana na pressure aliyokuwa anaipiga alipokuwa mbunge!