Pamoja na jitihada zote ikiwemo ya lockdown jirani zetu Kenya, Uganda, Rwanda maambukizi ya Corona yanapanda iweje kwetu yashuke kutoka 509 mpaka 20?

Circular argument.

Kwa akili hiyo unaweza kusema chochote.

Ukiulizwa unadai si kazi yako kuthibitisha.

Unaweza hata kusema wewe ni Bakhressa.

Halafu ukiulizwa uthibitisho, ukasema aulizwe Bakhressa.

Ridiculous.

Sent from my typewriter using Tapatalk
kwani wewe unaweza kuthibitisha kama kweli wewe ni kiranga???
 
Niliongea na Dr mmoja jamaa yangu mskotishi nikamueleza hii Hali namna serikali ilivyoichukulia tokea kufungwa shule na vyuo mpaka sasaalisema yafuatayo.

Shule zikifunguliwa na vyuo .

1. Wanafunzi wataambukizana Sana.

2.Mamia watakufa katika miezi ya mwanzo.

3. Taarifa zitadhibitiwa mashuleni ila kwa wingi wa vifo na maambukizi itashindikana kuzuia taarif.

4.WHO itaingilia kati.

The future is unknown

Tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea....!!!!!
 
Pamoja na jitihada zote ikiwemo ya lockdown jirani zetu Kenya, Uganda, Rwanda maambukizi ya Corona yanapanda iweje hapa kwetu yashuke kutoka 509 mpaka 20? Hivi kweli kupunguza hofu au kuupuuza huu ugonjwa na kukubali kuishi nao ndiko kumefanya wagonjwa wapone haraka na maambukizi yakome haraka?

Idadi alizotoa jana na PM kituo kwa kitu wagonjwa walobaki nchi nzima kama 20 hivi, kweli ndani ya wiki mbili wagonjwa wanaweza pungua kutoka 509 mpaka 20 kwa nature ya kirusi cha Corona??
Kama ni muujiza nakubaliana nao lakini kitaalamu hesabu inagoma.

Najiuliza viongozi wetu na wananchi wanapoona na kusikia vifo na cases kama Brazil, Marekani, Urusi kutaja kwa uchache wanahisi nchi hizi zimemkosea nini Mungu?

Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Afrika.

Kufungia watu wagonjwa ndani kuna madhara makubwa kulio faida,mtu mmoja anaweza kuwaambukiza familia nzima kama uewafungia ndani.Imunity ya watu waliohuru ni tofauti na immunity ya watu waliofungiwa,lishe ni finyu na watu wanakua wanamawazo na hofu
 
Mataga yameacha kupima watu halafu yanasema wagonjwa wamepungua.

Wahenga walisema"MUNGU HAMFICHI MNAFIKI"!
Covid-19 itabisha hodi kwenye familia za hawahawa wanafiki na wapiga Propaganda na itaondoka na nafsi za watu ili Mungu ajitwalie utukufu....!!!!!
 
Mungu ndiye muweza wa yote, tulijikabidhisha kw mungu,acha azidi kututendea miujiza yake
CORONA BDO IPO ....
Tuzidi kuchukua tahadhari'....
 
Kufungia watu wagonjwa ndani kuna madhara makubwa kulio faida,mtu mmoja anaweza kuwaambukiza familia nzima kama uewafungia ndani.Imunity ya watu waliohuru ni tofauti na immunity ya watu waliofungiwa,lishe ni finyu na watu wanakua wanamawazo na hofu
No body says we need a lockdown. Hata hivyo niko kwenye hiace hapa tuko 2 tu tulovaa barakoa!
 
Pamoja na jitihada zote ikiwemo ya lockdown jirani zetu Kenya, Uganda, Rwanda maambukizi ya Corona yanapanda iweje hapa kwetu yashuke kutoka 509 mpaka 20? Hivi kweli kupunguza hofu au kuupuuza huu ugonjwa na kukubali kuishi nao ndiko kumefanya wagonjwa wapone haraka na maambukizi yakome haraka?

Idadi alizotoa jana na PM kituo kwa kitu wagonjwa walobaki nchi nzima kama 20 hivi, kweli ndani ya wiki mbili wagonjwa wanaweza pungua kutoka 509 mpaka 20 kwa nature ya kirusi cha Corona??
Kama ni muujiza nakubaliana nao lakini kitaalamu hesabu inagoma.

Najiuliza viongozi wetu na wananchi wanapoona na kusikia vifo na cases kama Brazil, Marekani, Urusi kutaja kwa uchache wanahisi nchi hizi zimemkosea nini Mungu?

Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Afrika.
Jiongeze ngudu,
Hilo lawezekana kabisa habu wasikilize hawa wataalamu
 
Acha kulaghai watu hapa!
Hizo DATA(genuine) za Covid-19 Tanzania ziko wapi? Data za mwisho zenye kuakisi Hali halisi ilikuwa ni hiyo Maambukizi watu 509 na vifo 16 na Waliopona 100+(?).

Baada ya hapo Jiwe akaanza kupima Mbuzi, Kondoo, Kware, Mafenesi na Mapapai kuwa navo vina Covid-19...!!

Huu ndo ulikuwa mwanzo mwisho wa taarifa sahihi za Covid-19. Ilikuwa ni hila ya Jiwe kuvuruga mtiririko wa Covid-19 Tanzania kupoteza lengo.

Jiulize hata baada ya Jiwe kui-condemn Maabara ya Taifa under NIMR na kuanzisha ya kwake ILIYOBORESHWA pale Mabibo Data ziko wapi?

Maelekezo na taratibu kulingana na W.H.O. inatakiwa UPDATE YA EVERY 24 HOURS:
- Umepima wangapi under suspect?
- Wangapi wameambukizwa?
- Wangapi wamepona?
- Kama kuna vifo ni vingapi?

That's the trend na nchi zote za Ukanda wa EAC na duniani kote ndo wanavyofanya. Lakini Tanzania ya Magufuli hakuna Maambukizi, hakuna wagonjwa, hakuna walopona wala vifo!
Ukiingia mtaani watu ni BARAKOA kwenda mbele. Kwa Sasa ikatokea mtu kaugua na kufa na COVID-19 ataambiwa Ugonjwa mwingine...!

Mungu ibariki Tanzania...Amen.
Sitaacha kutokukubaliana na wewe kwa sababu ya mtazamo wako hasi, kiasi cha kudiriki kukufanananisha na ndege Kasuku. Unakariri na kurudia uliyokariri (copy and paste). Ati kwa kuwa nchi zingine zinafanya hivyo nasi tuwaige, lol! huo ni ujuha wa kiwango kilichopitiliza. Niamini tu kuwa hunakiri yanayofanywa na jirani yako (ona picha) na kama ulifuzu mitahini shuleni/chuoni ulifuzu kwa juhudi zako mwenyewe.

Nawaambia akina Thomaso kama wewe kwamba takwimu hazitolewi kuficha ukweli. Takwimu zipo na zinatumika kunakohitajika na ndiyo maana maamuzi yanayotolewa yanazingatia matokeo ya uchambuzi wa takwimu hizo.

Kama unataka kuthibitisha kuwa hali ya COVID-19 nchini ni kama ilivyotangazwa na Waziri Mkuu hivi karibuni, linganisha kwa uwiano, ni wangapi walioambukizwa/vifo kutoka kwenye familia yako, ndugu, jirani, mtaani na rafiki zako. Vinginevyo, usikurupuke na mahitimisho yatokanayo na nia yako ovu, kwa sababu bila takwimu hupaswi kusema lolote.

Ugonjwa upo, ili uendelee kusalimika, jisalimishe wewe na familia yako kwa vipimo na mchukue hatua za:.
KUJIKINGA MWAKINGE MAJIRANI
KUJILINDA MWALINDE MWAPENDAO
IMG-20200526-WA0015.jpg
 
Ikiwa hawa wamefaulu,na sisi pia tunaweza kufaulu bila ya Lock down, Tujitahidi kufuata mashariti ya wataalamu wetu na kupiga nyungu kwa wingi nchini
 
Pamoja na jitihada zote ikiwemo ya lockdown jirani zetu Kenya, Uganda, Rwanda maambukizi ya Corona yanapanda iweje hapa kwetu yashuke kutoka 509 mpaka 20? Hivi kweli kupunguza hofu au kuupuuza huu ugonjwa na kukubali kuishi nao ndiko kumefanya wagonjwa wapone haraka na maambukizi yakome haraka?

Idadi alizotoa jana na PM kituo kwa kitu wagonjwa walobaki nchi nzima kama 20 hivi, kweli ndani ya wiki mbili wagonjwa wanaweza pungua kutoka 509 mpaka 20 kwa nature ya kirusi cha Corona??
Kama ni muujiza nakubaliana nao lakini kitaalamu hesabu inagoma.

Najiuliza viongozi wetu na wananchi wanapoona na kusikia vifo na cases kama Brazil, Marekani, Urusi kutaja kwa uchache wanahisi nchi hizi zimemkosea nini Mungu?

Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Afrika.
Kamaa huamini kuwa huamini kuwa Corona imepungua Tanzania, onesha ndugu, jamaa au rafiki yako ambaye kafa kwa Corona. Aidha, pitia pia marafiki zako wa kwenye mitandao kama vile Whatsap, Facebook n.k, kuna aliyefariki ?
 
Pamoja na jitihada zote ikiwemo ya lockdown jirani zetu Kenya, Uganda, Rwanda maambukizi ya Corona yanapanda iweje hapa kwetu yashuke kutoka 509 mpaka 20? Hivi kweli kupunguza hofu au kuupuuza huu ugonjwa na kukubali kuishi nao ndiko kumefanya wagonjwa wapone haraka na maambukizi yakome haraka?

Idadi alizotoa jana na PM kituo kwa kitu wagonjwa walobaki nchi nzima kama 20 hivi, kweli ndani ya wiki mbili wagonjwa wanaweza pungua kutoka 509 mpaka 20 kwa nature ya kirusi cha Corona??
Kama ni muujiza nakubaliana nao lakini kitaalamu hesabu inagoma.

Najiuliza viongozi wetu na wananchi wanapoona na kusikia vifo na cases kama Brazil, Marekani, Urusi kutaja kwa uchache wanahisi nchi hizi zimemkosea nini Mungu?

Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Afrika.
Unadhani Magu lienda chato kwa bahati mbaya?

Unajua pia gamboshi ipo ukanda gani.?

mungu ameidhibiti corona.
 
Pamoja na jitihada zote ikiwemo ya lockdown jirani zetu Kenya, Uganda, Rwanda maambukizi ya Corona yanapanda iweje hapa kwetu yashuke kutoka 509 mpaka 20? Hivi kweli kupunguza hofu au kuupuuza huu ugonjwa na kukubali kuishi nao ndiko kumefanya wagonjwa wapone haraka na maambukizi yakome haraka?

Idadi alizotoa jana na PM kituo kwa kitu wagonjwa walobaki nchi nzima kama 20 hivi, kweli ndani ya wiki mbili wagonjwa wanaweza pungua kutoka 509 mpaka 20 kwa nature ya kirusi cha Corona??
Kama ni muujiza nakubaliana nao lakini kitaalamu hesabu inagoma.

Najiuliza viongozi wetu na wananchi wanapoona na kusikia vifo na cases kama Brazil, Marekani, Urusi kutaja kwa uchache wanahisi nchi hizi zimemkosea nini Mungu?

Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Afrika.
Hauna akili ndugu, tada za Tz hazipo, wewe unazipata wapi????
 
lock down means death ugonjwa huu hauna tiba hivyo huitaji tule sana just imagine waliopo lock down kupewa maindi na maarage
 
Back
Top Bottom