Pamoja na "Jitihada za Kuhujumu" Upinzani Arusha, CCM Wazidi Kuangukia Pua Kwa Kila Ovu Wanalopanga

Nyie bavicha acheni makelele yenu. Mplekeeni uji kamanda Lema huko selo na sio kukaa hapa na kupika majungu.
 
CHADEMA MSITAFUTE VISINGIZIO ARUSHA, SISI WAKAZI WA HAPA TUNA HITAJI MAENDELEO KAMA MLIVYO AHIDI MSIANZE KULETA VISINGIZIO VYA STORI, HAMNA JIPYA TENA SUBIRINI KUBWAGWA NA ENDELEENI KUOTA

Hii post yako ina matege mkuu! Hebu ipitie tena na ujitathmini kidogo
 
Utakaa jela bila njaa?

Hilo swali lako anatakiwa aulize mtoto mwenye umri wa miaka 2 au 3! Umechukilia njaa kama kigezo cha kukaa jela? Inashangaza sana kuwa na imani iliyochakaa namna hii! Nawaza tu kwa mapana, kwa mtazamo huo, tutakwama sana mkuu.
 
CHADEMA MSITAFUTE VISINGIZIO ARUSHA, SISI WAKAZI WA HAPA TUNA HITAJI MAENDELEO KAMA MLIVYO AHIDI MSIANZE KULETA VISINGIZIO VYA STORI, HAMNA JIPYA TENA SUBIRINI KUBWAGWA NA ENDELEENI KUOTA

Arusha hakuna watu wenye akili maiti sampuli yako wewe
 
Back
Top Bottom