Pamoja na hujuma wanazofanyiwa, Chadema wanaendelea na ujenzi wa ofisi za majimbo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,323
217,345
Hiki chama kwa sasa ni kama kimeshindikana, hawawezi tena kukitoa kwenye reli , pamoja na unyama wote wanaotendewa lakini hawaachi mikakati yao ipotee.

Hebu jionee mwenyewe

Wakati_mwenyekiti_wa_chama_Mh._Freeman_Mbowe__yupo_Gerezani,_ujenzi_wa_Ofisi_za_chama_unaendel...jpg
Ujenzi_wa_ofisi_za_Chadema_jimbo_la_Mbarali_eneo_la_Madibila,_Mbeya,_unaendelea,_kwa_nguvu_za_...jpg
 
Mwaka huu chadema lazima wamnyoe mtu sirini by any means hata kama ni kwa kutumia meno
 
Back
Top Bottom